sinajinasasa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 2,988
- 4,152
Alafu mtaji ni wako na kila kituDaaa upuuzi mtupu,yaani kwenye buku 5 napewa Tsh 600? Khaaaaa!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alafu mtaji ni wako na kila kituDaaa upuuzi mtupu,yaani kwenye buku 5 napewa Tsh 600? Khaaaaa!!
Mkuu kweli inasikitisha kwenye laki 2 mteja anakatwa elfu 5 alafu mtoa huduma anaambulia 600 dah alafu bado mtu anajiuliza kwa nini watanzania ni Masikini?...kwanza unaweka roho yako hatarini vibaka na wezi wa mtandao wanakuwinda kama swala bado kamisheni ndio hivyo ni za kinyonyaji bado kwenye kamisheni utakayopata ata kama ni elfu 10 inakatwa kodi 10% yaani aisee tumekua watumwa wa makampuni ya cm ndani ya nchi yetu
Biashara Kichaa hii.Alafu mtaji ni wako na kila kitu
Ingekuwa buku afadhali mkuu . unapewa kati ya 500 au mia sita then mwisho inakatwa na Kodi. Uwakala uone tu hivo hivo ni ugolo mtupuinamaana unatumia laki mbili kumpa mteja aliyetoa pesa, wanamkata elfu 5, wewe unalipwa buku? huu ni wendawazimu.
Ha ha ha haaa milioni 33 ? Duuh kweli uwakala noumaaaa. Yaani hyo pesa ungenunua hata hiace mbili kila siku ungekunja c chini ya laki. Cpati picha hapo ni miamala kama elf 80 hiviNilifanya miamala ya 33,000,000. Nikalipwa 420,000. Noma .
Ndio hivyo mkuu. Sometimes sh. 60 af wanakwambia watatoa na kodi mwisho wa mweziDaaa upuuzi mtupu,yaani kwenye buku 5 napewa Tsh 600? Khaaaaa!!
Acha kabisa . pia kuna matapeli utalizwa kamtaji kako fasta. Cheki issue nyingine humo hutaaminiNilikuwa naiwaza hii biashara lakini kwa comment hapo juu inaonekana ni biashara kichaa siifikilii tena
Hakika MkuuUmenena, nilifanya hii biashara nikaajiri mtu. Kuna siku nikaamua kuchukua kitabu cha miamala na kupiga hesabu kujua anayefaidi zaidi ni nani kati yangu na voda. Nilijiona ni kibarua tu. Niliwauzia wanaohitaji kuwa vibarua. Sio biashara hiyo
Mimi naona wanafungasha mabulungutu ya pesa nadhani wanafaidi kweli.Ingekuwa buku afadhali mkuu . unapewa kati ya 500 au mia sita then mwisho inakatwa na Kodi. Uwakala uone tu hivo hivo ni ugolo mtupu
Mimi naona wanafungasha mabulungutu ya pesa nadhani wanafaidi kweli.
Watu wengi ni wavivu wanapendakufanya kazi nyepesi.isiyoumiza kichwa wala nguvu. Milioni 30 ukimunua gari ya abiria kwa siku unaingizaHa ha ha haaa milioni 33 ? Duuh kweli uwakala noumaaaa. Yaani hyo pesa ungenunua hata hiace mbili kila siku ungekunja c chini ya laki. Cpati picha hapo ni miamala kama elf 80 hivi
Duuh mamaee[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Nilifanya miamala ya 33,000,000. Nikalipwa 420,000. Noma .
Mtaji ni wako fremu unalipa kodi na umeme juu unalipia na tozo za usafi wa mji/mtaa unalipa.Mkuu kweli inasikitisha kwenye laki 2 mteja anakatwa elfu 5 alafu mtoa huduma anaambulia 600 dah alafu bado mtu anajiuliza kwa nini watanzania ni Masikini?
Kwani ni hela yake mkuu? Hizo ni hela watu zinaingia na kutoka...yake hapo ni kama 3M tu...Ha ha ha haaa milioni 33 ? Duuh kweli uwakala noumaaaa. Yaani hyo pesa ungenunua hata hiace mbili kila siku ungekunja c chini ya laki. Cpati picha hapo ni miamala kama elf 80 hivi
Kama nakuelewa kwa mbaaali lakini bado. Ila fresh sio kesi mkuuKwani ni hela yake mkuu? Hizo ni hela watu zinaingia na kutoka...yake hapo ni kama 3M tu...
Haha haya bwana mwenye kiswahili chepesi atatueleweshaKama nakuelewa kwa mbaaali lakini bado. Ila fresh sio kesi mkuu
Ungeuliza kwanza maana huduma kwa wateja ni rahisi tu kuwapata,kuleta JF kabla ya kuwasiliana na mtoa huduma naona siyo sahihiKabla ya kupiga simu nimeona niulize humu pengine ni Nchi nzima....