Vodacom Tanzania yadaiwa kutowalipa mawakala wake wa huduma ya kifedha(M-Pesa) kamisheni zao

Vodacom Tanzania yadaiwa kutowalipa mawakala wake wa huduma ya kifedha(M-Pesa) kamisheni zao

...kwanza unaweka roho yako hatarini vibaka na wezi wa mtandao wanakuwinda kama swala bado kamisheni ndio hivyo ni za kinyonyaji bado kwenye kamisheni utakayopata ata kama ni elfu 10 inakatwa kodi 10% yaani aisee tumekua watumwa wa makampuni ya cm ndani ya nchi yetu
Mkuu kweli inasikitisha kwenye laki 2 mteja anakatwa elfu 5 alafu mtoa huduma anaambulia 600 dah alafu bado mtu anajiuliza kwa nini watanzania ni Masikini?
 
Nilifanya miamala ya 33,000,000. Nikalipwa 420,000. Noma .
Ha ha ha haaa milioni 33 ? Duuh kweli uwakala noumaaaa. Yaani hyo pesa ungenunua hata hiace mbili kila siku ungekunja c chini ya laki. Cpati picha hapo ni miamala kama elf 80 hivi
 
Umenena, nilifanya hii biashara nikaajiri mtu. Kuna siku nikaamua kuchukua kitabu cha miamala na kupiga hesabu kujua anayefaidi zaidi ni nani kati yangu na voda. Nilijiona ni kibarua tu. Niliwauzia wanaohitaji kuwa vibarua. Sio biashara hiyo
Hakika Mkuu
 
Ha ha ha haaa milioni 33 ? Duuh kweli uwakala noumaaaa. Yaani hyo pesa ungenunua hata hiace mbili kila siku ungekunja c chini ya laki. Cpati picha hapo ni miamala kama elf 80 hivi
Watu wengi ni wavivu wanapendakufanya kazi nyepesi.isiyoumiza kichwa wala nguvu. Milioni 30 ukimunua gari ya abiria kwa siku unaingiza
 
Mkuu kweli inasikitisha kwenye laki 2 mteja anakatwa elfu 5 alafu mtoa huduma anaambulia 600 dah alafu bado mtu anajiuliza kwa nini watanzania ni Masikini?
Mtaji ni wako fremu unalipa kodi na umeme juu unalipia na tozo za usafi wa mji/mtaa unalipa.

Na mitandao hii hii imamilikiwa na.watanzania wanatunyonya lakini kila siku mnawasema Mabeberu tu.
 
Hivi hakuna namna mawakala wakawa na umoja kidai haki yao sbb mtaji ni wako angalau basi kwenye kila kato upate asilimia 35 au arobaini na hawa wanaoitwa wakala mkuu waondolewe kama mashirika yalivyowaondoa wenye nyumba wasioishi la sivyo bora kufanya kazi nyingine yaani 5000 mtu anakatwa ww unabaki na mia 600 ndo maana asilimia 80 kama siyo tisini ya mawakala hawapati hata laki kwa mwezi
 
Ha ha ha haaa milioni 33 ? Duuh kweli uwakala noumaaaa. Yaani hyo pesa ungenunua hata hiace mbili kila siku ungekunja c chini ya laki. Cpati picha hapo ni miamala kama elf 80 hivi
Kwani ni hela yake mkuu? Hizo ni hela watu zinaingia na kutoka...yake hapo ni kama 3M tu...
 
Back
Top Bottom