Vodacom, tiGO wapandisha tena bei za vifurushi vya Internet. Nape unafanya kazi gani?

Hata sisi Airtel ile ya sh 500 Mb 285, sasa ni 245.

Kama kwenu Watumiaji maisha ni magumu hata sisi wa Mitandao maisha ni magumu pia, tunataka hela.
 
Kabla ya Nape, mama yenu nae anafanya kazi gani?

Chanzo cha matatizo kikiwa kule juu, huku chini matatizo hayatakaa yaishe.

Leo atalaumiwa Makamba, kesho Nape, keshokutwa Mwigulu....
Kwaiyo kazi ya Rais ni kusimamia mabando?
 
Mitandao iko mingi
 
Kabla ya Nape, mama yenu nae anafanya kazi gani?

Chanzo cha matatizo kikiwa kule juu, huku chini matatizo hayatakaa yaishe.

Leo atalaumiwa Makamba, kesho Nape, keshokutwa Mwigulu....
Anafanya kazi ya kupandishwa school bus kumzika mchawi aliyeitesa Afrika kwenye lindi la mateso ya ukoloni. Una swali lingine?
 
Nipe utaratibu kidogo boss..
 
Tatizo sio wao ndugu.Ngoma hiyo inatoka juu.Wao wanapopigwa kutoka juu nao wanaangalia nani yuko chini yao wampige ndo maana unaona Govt wako kimya wameuchuna kama hawaoni.
 

Mkuu hii ni lazima niende kwenye ofisi za tigo ?
 
Mimi nilikuwa napata mb 1200 kwa elf2 leo nakutana mb mia9 nikashangaa
 
Kama wanatoa mb 1000 ni sahihi wakisema mb 1000 maana bado hazijafikia kiwnago cha gb. Gb 1 = mb 1024
 
Tanzania Ni nchi Africa ambao inaongoza watu wake kuwa na smart phone ,unakuta mpka muuza genge ,muuza uji ,muuza ngano ,Hadi mam lishe Ana simu ya smath phone nao pia wengi wamejuunga fb na Instagram wanapigwa hell mbaya
 
VODACOM Kifurushi cha tsh 3000 pia wameshusha.

Ilikuwa unapata GB 1.7

Lakini kwasasa unapata GB 1.5
 
Hata hao ni wezi tu, nilikuwa natumia cha 15k kwa mwezi ambapo wlijuwa wananipa GB 8 na dk.800 mitandao yote! Mpaka nimeachana na Tigo post paid kwa bei hiyo hiyo walikuwa wananipa Gb 7
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…