The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Tanzania hatuna viongozi, nchi inaenda tu kama kipofuKatika hali inayoelekea kuonyesha ukosefu wa uthibiti wa bei za vifurushi, Mitandao ya simu imeendelea kupandisha bei za vifurushi.
Hadi jana shilingi 2500 ulikuwa unapata MB 1400, Sasa leo wameshusha tena, mtu unapata MB 1229
Hawa watu huenda wanafanya haya mambo kwa ridhaa ya serikali, maana TCRA ipo, wizara ya mawasiliano ipo lakini hizi bei zinapanda kila kukicha na Waziri mara kibao wananchi wakilalamikia gharama za vifurushi kupanda huwa anakuja hapa kuwapiga watu kiswahili
MTATUBUU😅😅😅Katika hali inayoelekea kuonyesha ukosefu wa uthibiti wa bei za vifurushi, Mitandao ya simu imeendelea kupandisha bei za vifurushi.
Hadi jana shilingi 2500 ulikuwa unapata MB 1400, Sasa leo wameshusha tena, mtu unapata MB 1229
Hawa watu huenda wanafanya haya mambo kwa ridhaa ya serikali, maana TCRA ipo, wizara ya mawasiliano ipo lakini hizi bei zinapanda kila kukicha na Waziri mara kibao wananchi wakilalamikia gharama za vifurushi kupanda huwa anakuja hapa kuwapiga watu kiswahili
Anyway Kam huna 2000 kuipata GB 1 ni kazi ngumu sana kila mtandaoHilo swali niliwahi kiwauliza wakanambia mb 1000 ndio GB 1 eti[emoji1787]
Unaipataje hiyoGo for Tigo Business Pack Data Only (Postpaid)!!
Kama sio Jini Mfyonza Data, hii inaweza kuwasaidia sana.
Binafsi, mimi ni Jini Mfyonza Data lakini pamoja na yote hayo, leo October 20, nimebakiwa na 14GB out of 80GB.
Of course, hazitanifikisha mwisho wa mwezi lakini majority 80GB zinawatosha, au hata kifurushi cha 30GB ambacho nadhani ni 25K bado wengi kinawatosha sana.
Na hiyo 80GB ni only 60K.
Changamoto ni speed lakini sio kwamba huwezi kufanya kazi!!
Una uhakika ilitakiwa kuwa 8GB?!Hata hao ni wezi tu, nilikuwa natumia cha 15k kwa mwezi ambapo wlijuwa wananipa GB 8 na dk.800 mitandao yote! Mpaka nimeachana na Tigo post paid kwa bei hiyo hiyo walikuwa wananipa Gb 7
xxUnaipataje hiyo
Nipe utaratibu kidogo boss..
Mkuu hii ni lazima niende kwenye ofisi za tigo ?
Mie nilijaza fomu yao online kisha wakanipigia. Muhimu unatakiwa kuwa na Kitambulisho cha NIDA, and of course, kwavile ni Business Pack, watakuuliza suala la leseni.Unaipataje hiyo
Kabla ya kulalamika unaijua bei elekezi kwa kila Mb 1?Katika hali inayoelekea kuonyesha ukosefu wa uthibiti wa bei za vifurushi, Mitandao ya simu imeendelea kupandisha bei za vifurushi.
Hadi jana shilingi 2500 ulikuwa unapata MB 1400, Sasa leo wameshusha tena, mtu unapata MB 1229
Hawa watu huenda wanafanya haya mambo kwa ridhaa ya serikali, maana TCRA ipo, wizara ya mawasiliano ipo lakini hizi bei zinapanda kila kukicha na Waziri mara kibao wananchi wakilalamikia gharama za vifurushi kupanda huwa anakuja hapa kuwapiga watu kiswahili
Bila wateja kuja jufanya maamuzi.magumu hakuna kitakacho badilika na walisha jua mtalalamika siku 2 then mtanyamaza, watapandisha kila mwezi, na hakuna mnaweza wafanyaKatika hali inayoelekea kuonyesha ukosefu wa uthibiti wa bei za vifurushi, Mitandao ya simu imeendelea kupandisha bei za vifurushi.
Hadi jana shilingi 2500 ulikuwa unapata MB 1400, Sasa leo wameshusha tena, mtu unapata MB 1229
Hawa watu huenda wanafanya haya mambo kwa ridhaa ya serikali, maana TCRA ipo, wizara ya mawasiliano ipo lakini hizi bei zinapanda kila kukicha na Waziri mara kibao wananchi wakilalamikia gharama za vifurushi kupanda huwa anakuja hapa kuwapiga watu kiswahili
Alimuua mama/baba yako?Muuaji hafai kukumbukwa abadani
Alimuua mumeoAlimuua mama/baba yako?