aitel na tigo wameshapunguzaHaya makampuni ni Cartels.
Ukiona Voda wamepiga Panga MB, tegemea in few days na makampuni mengine kufanya the same.
Hawa jamaa wanakaa kwenye meza wanakubaliana waminye kwa pamoja ili wasiharibiane biashara
1GB ina 1024MB.Kama hicho ofa maaalum wameona tunafaid hizo dakika. Mwanzo ilikua 2000 unapata dk 100 na gb 1.kwa wik
Wakaona hapana.wakafuta dk 100 zikawa 30 na mb 1000.na kitu najiuliza kwanin kwenye vifurush vingine wanasema gb 1 ila hicho cha ofa wanaandika mb 1000 badala ya kusema gb.ni nini malengo?
No sawa sawa na kumwambia mtu nakupa laki kumi.kwa nin usiseme nakupa mil.1? Au inakua mb 1000 ila pale kunakua na boshen flan mana kinaenda sio poa ghafla mteja umefika 75%ya matumizi.
Ila mungu sio athuman japo wanatudhulum kwa kila hali mara salio limekatwa kwa kujiunga na game mara sijui mb zimeliwa na auto update anawakomesha hela hazina baraka
Wanatafuta pesa ya uchaguzi ujaoVifurushi vya Data kila siku vinaongezwa gharama na hawa Providers kama wapendavyo na Nape na wizara yake pamoja na TCRA wako kimya.
Leo asubuhi TIGO wamekuja na menu mpya.
Nape atupishe maana hata Rais hamuondoi kama vile anafanya kazi katika kampuni binafsi ya Rais.View attachment 2400109View attachment 2400107View attachment 2400108
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Mawaziri mzigo ni 1. Makamba 2. Aweso 3. Mbarawa 4. Bashe. 5. Jafo 6. Mwigulu 7. Nape 8. Gwajima 9. Kairuki 10 GwajimaVifurushi vya Data kila siku vinaongezwa gharama na hawa Providers kama wapendavyo na Nape na wizara yake pamoja na TCRA wako kimya.
Leo asubuhi TIGO wamekuja na menu mpya.
Nape atupishe maana hata Rais hamuondoi kama vile anafanya kazi katika kampuni binafsi ya Rais.View attachment 2400109View attachment 2400107View attachment 2400108
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app