Vodacom, tiGO wapandisha tena bei za vifurushi vya Internet. Nape unafanya kazi gani?

January anasakamwa lkn jamani Bora January Mara Mia kuliko hiki kituko kilichosema bunge lisionyeshwe LIVE.....
 
Kwani TTCL wamewaongezea gharama za bandwidth hawa telecoms??

Labda wameongezewa ndo maana kaufyata.
 
Vifurushi vya Data kila siku vinaongezwa gharama na hawa Providers kama wapendavyo na Nape na wizara yake pamoja na TCRA wako kimya.

Leo asubuhi TIGO wamekuja na menu mpya. Nape atupishe maana hata Rais hamuondoi kama vile anafanya kazi katika kampuni binafsi ya Rais.

View attachment 2400109
Mambo magumu kweli yaan
 
SABABU ZILIZOPELEKEA VIFURUSHI KUPANDA NI:-
1. VITA VYA UKRAINE
2. KUPANDA KWA MAFUTA SOKO LA DUNIA.
3. UGONJWA WA CORONA NA EBOLA.
4. UKAME NA KUCHELEWA KWA MVUA...

Sasa hapo waziri wetu anahusikaje na HAIEPUKIKI GHARAMA KUPANDA...

Miongoni mwa majibu wa Amos Makala KUHUSU CHANGAMOTO MBALIMBALI.
Ukisikia akili 1/2 ndy hizi Sasa.
 
Mawaziri mzigo ni 1. Makamba 2. Aweso 3. Mbarawa 4. Bashe. 5. Jafo 6. Mwigulu 7. Nape 8. Gwajima 9. Kairuki 10 Gwajima

Ongezea Jenister, Jafo nk... Kifupi vimeo wapo wengi kila mahala na kilichowaweka ni connections hakuna kingine.

Bahati mbaya hatuna utaratibu wa kitalaam wa kupata watu wazuri zaidi ya connection na ukada wa chama.
 
Kwakweli Ndugu waziri kwa hili anatukosea kweli vifurushi vinapanda hovyo hovyo mno
 
Kuna walamba asali wawili walioshindwa kazi, Nape Nnauye na January Makamba, yaani wamekalia upigaji tu.., vifurushi vinapandishwa bei kila kukicha, hawasemi lolote kwa sababu wana mgao mkubwa humo. Mradi wa umeme Rufiji unahujumiwa kwa makusudi, Makamba analeta porojo za crane la tani 26..., hopeless.
 
Yani hii tz hata sijui tunaelekea wapi,,alafu ni wametoka kubadilisha vifurushi sio mda Leo tena wamebadilisha daah
 
Kampuni zinafanya biashara hawapati ruzuku unaona Tigo wanazingua hamia kwingine ndio biashara ya ushindani kwani hata maduka tunahama tukiona wanatuzingua hapo mimi sioni serikali inawahusu nini makubwa ya serikali ni umeme na maji maana huko wao ndio wanatoa huduma lakini hata huko waki waachia makampuni yafanye biashara nadhani huduma zitaboreka tu serikali ijitoe kwenye kila kitu waache watu wafanye biashara ya maji na umeme kama walivyoruhusu private hospital chaguo la mteja.
 
Mzee suala la mawasiliano huwa haliachwi bila kuwa na regulator na huyo huwa ni chombo cha serikali kitakachosimamia sheria na bei zake. Hiyo sio biashara ya vitumbua
 
Regulation zipo katika biashara zote hata butcher wako regulated wala sipingi lakini hakuna regulation ya kupanga bei hizo ni biashara za ushindani chukulia mfano mashirika ya ndege tena wale wako regulated haswa lakini bei wanashindana wenyewe na huduma. Mambo ya kupangiwa bei enzi za ujamaa na tulishindwa vibaya. Kampuni yoyote kama inataka kushika soko lazima waje na ushindani wa bei na huduma.
 
Haipo hivi, kampuni kufanya biashara huwa kunaendana na matakwa na kanuni za serikali zinazolinda soko(hii tafsiri yake sio ujamaa).

Kusema waachwe waamue tu wenyewe haiwezekani popote pale duniani, kwa kuwa wanaweza wote kwa pamoja kuamua bei ya juu sana. Usikifikiri kwamba voda wakiamua GB1 iwe elfu 10 basi tigo na Airtel wao itakua rahisi, hapana bali tigo na Airtel nao wataweka elfu 10.

Serikali kuregulate Bei haipo kwenye makampuni ya simu bali kwenye makampuni karibu yote yanayotoa huduma, hata kwenye mafuta. Bila bei kuwa regulated na mamlaka uchumi wa nchi huanguka kwa maana kunaweza kuleta inflation

Unapaswa kufahamu tena nchi zote zina mamlaka ya kuregulate bei, pia uelewe kueregulate bei sio kuingilia biashara bali ni kusaidia zaidi biashara kwa maana ya kuweka balance bila hivi Kuna kampuni zingekuwa zinakufa. Hata wewe Leo hii usifikiri ukianzisha kampuni yako ya simu utawauzia watu GB 1 kwa Sh 200, serikali haiwezi kukubali maana utaathiri biashara za wengine pia.
 
Kosa ikiwa kama wana cartel maan wanapanga na ku shawishi au kupanga bei hilo ni kosa lakini ushindani unaruhusiwa biashara ni demand and supply nitajie nchi yoyote inapanga bei elekezi kama sio Tanzania tu. bei ya mafuta duniani inaamuliwa na soko la dunia hakuna mtu anapanga. OPEC wanaleta shida hiyo ila sio kama makampuni makubwa kama Total au BP hawa wanachukuliwa hatua kali. Bodi ya ushindani ni kazi yao kuhakikisha hakuna Cartel uwanja uwe huru na usawa kwa ushindani. Hakuna muwekaji atakuja halafu umpangie bei dawa ya kushusha bei ni ushindani uliosawia kwa wote mteja ataamua wapi akale. unaweza kwenda kula wali maharage kwa mama ntilie alfu na ukala kama huo alfu 10 sehemu nyingine ni mteja mfalme.
 
Haupo serious? Kabisa unasema hakuna nchi Ina mamlaka ya kuregulate price zaidi ya Tz?

Nikutolee mfano wa USA, wao Wana FCC ambayo Ni Kama TCRA ya huku kwetu na wana regulate bei pia za mitandao.

Mfano mwingine rahisi ni UK, wao wana OFCOM, na hii mamlaka huusika na kuregulate bei. Mbona ni rahisi tu kujua haya yote?
Hebu hapa chini soma kidogo
Screenshot_20221029-085309_1.jpg
 
View attachment 2400958
The types of complaint Ofcom deals with
  • Complaints about phone or internet services. ...
  • Complaints about unwanted calls and messages. ...
  • Complaints about TV, radio or on-demand services. ...
  • Complaints about postal services. ...
  • Complaints about wireless interference. ...
  • Complaints about video-sharing platforms (VSP)
Nataka uweke Ofcom wapi wamesema wana regulate bei?
 
Kosa ikiwa kama wana cartel maan wanapanga na ku shawishi au kupanga bei hilo ni kosa lakini ushindani unaruhusiwa biashara ni demand and supply nitajie nchi yoyote inapanga bei elekezi kama sio Tanzania tu. bei ya mafuta duniani inaamuliwa na soko la dunia hakuna mtu anapanga. OPEC wanaleta shida hiyo ila sio kama makampuni makubwa kama Total au BP hawa wanachukuliwa hatua kali. Bodi ya ushindani ni kazi yao kuhakikisha hakuna Cartel uwanja uwe huru na usawa kwa ushindani. Hakuna muwekaji atakuja halafu umpangie bei dawa ya kushusha bei ni ushindani uliosawia kwa wote mteja ataamua wapi akale. unaweza kwenda kula wali maharage kwa mama ntilie alfu na ukala kama huo alfu 10 sehemu nyingine ni mteja mfalme.
1.19 The ending of retail price control after more than twenty years is a major alteration in the regulatory regime. The March Consultation outlined that Ofcom was considering a public information campaign to raise consumer awareness of the change. This UK wide campaign will commence forthwith and will help consumers to understand that from 1 August 2006 consumer choice rather than regulation will be the key determinant of the price and quality of services that customers receive. Annexes 1 and 2 set out the details of this information campaign.
 
Akija front utackia anasema "WENZETU MAREKANI NA ULAYA UKO WANALIPA DATA BEI KUBWA ZAIDI UKILINGANISHA NA SISI, NI VILE TU SEREKALI YETU INA HURUMA NA WANANCHI WAKE"
Kwahiyo sahivi tupo level moja na Marekani[emoji1787].. wanazingua sana
 
Back
Top Bottom