Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
Bado Bei ya GESI
Tutaheshimiana tu
Tutaheshimiana tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kila mtu anayo hiyo offer
Usiweke vocha mi niliwasusa si chini ya mienzi miwiliKwangu bado wakaidi.
Na hili naona linafumbiwa macho sanaGESI ni Jipu ambalo nasubiri kuona nani ataelitumbua
Jaribu *149*03#Sio kila mtu anayo hiyo offer
DuhVoda kwangu wamegoma kurudisha hiyo menu
Napendekeza code za kuunganishia vifurushi ziwe sawa mitandao yote kama ilivyo kwa kuongeza salio ni 104 na kuangalia sali ni *102 reli
Kwa sisi wenye laini moja tufanyaje ?Usiweke vocha mi niliwasusa si chini ya mienzi miwili
yaan ngoja nitafute line mbadalaDuh
Nafikiri umewakumbatia kwa kuweka vocha
Ndio zao Mimi nilibaki na M-pesa tuhUkisusa kutumia ukachomoa laini hata mwezi hivi wanarudisha.
Duh inunulie kiswaswadu kisha itelekeze ukoKwa sisi wenye laini moja tufanyaje ?
Hata hiyo *149*03# offer ni zile zile za kwenye menu kuu.Duh inunulie kiswaswadu kisha itelekeze uko
Smartphone yako tafuta lain ya mitandao nafuu utachaka mkuu
Japo nimepata tarifa zao wanakula iyo gb Kama mchwa😂😂yaan ngoja nitafute line mbadala
Mtandao gani kuna unafuu na internet iko stable?Duh inunulie kiswaswadu kisha itelekeze uko
Smartphone yako tafuta lain ya mitandao nafuu utachaka mkuu
Me nimeridhika na kile cha Gb 3.5 kwa 2,000Japo nimepata tarifa zao wanakula iyo gb Kama mchwa😂😂
Kila siku unatumia 2k kununua Mbs ?Me nimeridhika na kile cha Gb 3.5 kwa 2,000