Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani

Umeona huna chako kwa Mama sasa umeamua kujiunga Sukuma gang rasmi na kujiweka wazi. Toka lini Shetani akaenda peponi? Wewe una mikosi japo am sorry to say that maana hata shetani Jiwe alikukataa na kukuita Mtu mwenye njaa kama wakumbuka. Mimi nashauri Mama akae kando na wewe.
 
Kumbe huwa sometimes unajiwasha data??
 
Mtu kama meiba uchaguzi na kuvuruga mifumo ya maisha ya watu wengi anaachwaje kwanfano
 
Wanamuunga mkono mwovu nao ni waovu kama yeye mwisho wao ni jehenamu. "Atendaye dhambi ni wa ibilisi" 1 Yohana 3:8
Tunaokolewa kwa neema na sio kwa matendo!. Sauti imeniambia neema hii imemshukia, saa hizi yuko peponi, ahera mbinguni kwa Baba yake na yuko na BABA yake!. WAEFESO 2:8-9, “kwa maana mmeokolewa kwa neema, kwa njia ya imani; ambayo hiyo haikutokana na nafsi zenu, ni kipawa cha Mungu (yaani zawadi kutoka kwa Mungu); wala si kwa matendo, mtu awaye yote asije akajisifu”.
P
 
Mtu kama meiba uchaguzi na kuvuruga mifumo ya maisha ya watu wengi anaachwaje kwanfano
Hukumu ya mwisho operates kwa karma, yanachukuliwa mema yako yote against mabaya, mema yakizidi mabaya, unaingia peponi!. Kule unaweza kushangaa kukuta Osama, Saadam na Ghadafi wakiingia peponi, halafu Obama, Bush na Blair wakatupwa motoni!.
P
 
Hukumu ya mwisho operates kwa karma, yanachukuliwa mema yako yote against mabaya, mema yakizidi mabaya, unaingia peponi!. Kule unaweza kushangaa kukuta Osama, Saadam na Ghadafi wakiingia peponi, halafu Obama, Bush na Blair wakatupwa motoni!.
P
Mim sijui ayo nazungumzia kusemwa ni lazima mtu asemwe kwa mabaya au kwa mazuri inategemewa enzi za uhai wako uliwekeza wapi.
 
Kwani Tanzania hakuna atheists? Religion is fiction.
This is your right. Nikiwa sekondari Tambaza, Mwalimu wangu wa siasa akiitwa Meela, alitufundisha, kwa vile hakuna aliyekufa akarejea duniani kutupa mrejesho kama ni kweli Mungu yupo au hayupo na mbinguni na peponi kupo, it's better to play it safe in order to be on a safe side.

If you believe Mungu yupo, ukifa ukakuta Mungu hayupo, you have everything to gain kwa kuishi kwa hofu ya Mungu and nothing to loose kwa kukuta hakuna Mungu.

Lakini ikiishi kwa kuamini hakuna Mungu, hivyo kuishi bila hofu ya Mungu, siku ukifa ukakuta Mungu yupo, you have everything to loose and nothing to gain!.
You better believe!
cc. Kiranga
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…