Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani

Nikienda mbinguni nikamkuta nitatoka speed kwa kuamini huko sio mbinguni!
Mkuu pilipili kichaa, wee kweli kichaa!. Kule mbinguni kuko plain hakuna vyumba utasema ukajifiche au ukajifungie chumbani, kule kuna sehemu mbili tuu, peponi na motoni, ukikimbia kutoka peponi unadumbukia motoni!. Mkataa pema, pabaya panamuita.

P
 
Haaaa haaaa hawato Isha hao Bwana Mayala but the following is what I know Magufuli is:

They say hypocrisy is the homage that vice pays to virtue. Translation — even Lucifer will genuflect before Jesus. But don’t mistake the serpent’s ministrations with affection for his antagonist. He’s simply playing possum. That’s why President John Pombe Joseph Magufuli — should revel in the applause, but not believe it. Many who bid him adieu were only too happy to see him depart from this World. That’s because they want to return the Executive to the status quo ante. They didn’t choose him to be President. No — the forces of anti National resources for people centered gave him the hallowed office against the wishes of state apparatchiks. But Dr Mugufuli’s legacy will never die.

First, let’s not make the mistake of intellectual simpletons. We need to bow to the basic fact that Dr Magufuli is a rare breed.


But Dr Magufuli stands out in his humility and self-deprecation. He shuns wealth, and fame. In a country where thieves are celebrated, and murderers elevated — Dr Magufuli is the one public servant who forsook worldly possessions. Mark 8:38 asks: “For what shall it profit a man, if he shall gain the whole world and lose his own soul?” Methinks the author in the good book must have had Dr Magufuli in mind.


The simplicity of this Societal and moral giant is the one thing that remains an enigma to me and many. He always roots for the little guy. He abhors hierarchy and disdains flamboyance,he’s ruthlessly self-critical, and accepts the harshest critiques of himself. He always puts himself last. He’s a rare breed
 

Mungu sio wa wafu bali wa walio hai. Anaposema hivo anamaanisha wali hai kiroho. Ukizikwa umeishia hapo hakuna ufufuko wowote. Na Mungu anaposema makaburi yatafunuka watatoka wafu ni wafu wa kiroho sio kimwili na kitu hiki kinatokea sasa. Watu wengi wanaokoka na Kuyaacha makanisa yao mama yaliyojaa uongo na uozo na kwamba hata Mungu wanaemwabudu hawamjui.

Baada ya kifo ni hukumu. Sasa mambo ya kusubir yanatoka wapi
 
Ndugu yangu, Nami ninazidi kumwomba Mungu, uongeze nguvu ya kusali ili uimarike kiimani ili hizo sauti uzisikiazo nafsini mwako ziwe (KWELI) ni za ROHO MTAKATIFU. Mathayo 16:23 (Yesu) "Akageuka, Akamwambia Petro, Nenda nyuma yangu, shetani; u kikwazo kwangu; maana huyawazi yaliyo ya Mungu bali ya Wanadamu. "
 
Yaan we mzee acha utani,yule hayupo huko na akiwepo wengi inabidi tutoke tu hakuna namna
Mkuu pilipili kichaa, wee kweli kichaa!. Kule mbinguni kuko plain hakuna vyumba utasema ukajifiche au ukajifungie chumbani, kule kuna sehemu mbili tuu, peponi na motoni, ukikimbia kutoka peponi unadumbukia motoni!. Mkataa pema, pabaya panamuita.

P
 
Pascal bwana yaani hata Mpito amekupita kudaka matonge ya ugali mwenzio amejipatia ubalozi wa maji wewe ukigeugeu wako,mara JIwe mara mama,Kwa style hii Hadi kesho hutapata nafasi yeyote kwa awamu yeyote
Umekuwa was sana
 
Aliua, kuteka, kupora na kutesa watu bila sababu zozote za maana.
Mungu muweza wa yote akapindua meza.
Laana ya kijana wa makambako aliyepigwa na polisi, Tiss na jeshi kwa amri yake itamuandama popote alipo.
Mungu hasamehi waovu
Huyu alikuwa muovu
 
Yaan we mzee acha utani,yule hayupo huko na akiwepo wengi inabidi tutoke tu hakuna namna
Yaani ufe, upate neema ya kuingia peponi, ushangae kuwakuta peponi wale uliodhani ni wa motoni!, na unaamua bora uende motoni, nakuhakikishia huko motoni ndio utashangaa zaidi na unaweza usiamini macho yako kuwakuta wale uliowadhania ni wa peponi, wakiwemo viongozi wako wa dini!.

A bad thing about to opt kuingia motoni by choice, huko hakuna either or, kuna neither nor only. Ni there is neither change of mind nor turning back!.

P
 
Waambie waache ufala, shetani humfuata shetani mwenzake.

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Hilo si la kuuliza. Kwa imani yangu JPM yupo Mbinguni kwa Baba.
Ni Waafrika wachache wenye/waliokuwa na Moyo kama wa JPM.

Ikumbukwe kwamba, JPM alijua kabisa kwamba, kulinda rasilimali za Nchi kwa manufaa ya Watanzania dhidi ya MABEBERU ni sawa kabisa na kuvaa kitanzi shingoni.
Pamoja na kujua hivyo hakusalimu amri, hakulegeza kamba, alikaza uzi mpaka dakika ya mwisho.

Mara kadhaa alinukuliwa akisema" Nime sacrifice maisha yangu kwa ajili ya Watanzania maskini"
Siku moja mtanikumbuka kwa mazuri, wala si kwa mabaya.
Mtu kama huyo anakosaje kuingia Mbinguni?
 
Yule mwizi mbingu ataisikia tu lbda kma misukuma Ina mbingu yao sawa lkni ya Jehova huyu aisee aingii hta kwa maombi ya mtume yyte apokelewi yule na shetani wana udugu
 
Kilichomponza Magufuli ni kukosa busara, papara, na ubinafsi wa hali ya juu.

Laiti kama angekuwa anajipa muda wa kufikiri na kushauriwa kabla ta kutenda, naamini angekuwa kiongozi wa kukumbukwa Tanzania.

Lakini angalia, hivi vitendo vyote amevifanya ama amebariki
  • Utekaji
  • Kauli za hovyo zisizo na staha
  • Ubinafsi
  • Chuki
  • ukabila wa wazi wazi
  • Uwizi wa uchaguzi
  • Maadili sifuri

Mwisho wa siku siwezi kumuhukumu sana kwamba anastaili kuwa wapi kwa sababu sijui pia alikuwa anapigana battle ya aina gani ndani yake.

Ila ni vizuri kuweka historia sawa ili tusije mpata mtu wa aina ya Magufuli akaongoza nchi tena
 
Usiingilie kazi ya Mungu.
Ujiridhishe wewe ni nani mbinguni?
Looo!!!!!!!!!!?.
 
Matendo ya mtu anayoyafanya duniani ndio yanayoamuwa hatima yake baada ya kifo dusidanganyane yeye ndiye aliyekuwa kiuongozi mkuu wa nchi na wakati wa kipindi chake tuliona mä tukio ya kutisha katika nchi hii na hatukusikia kuchukua hatua yoyote wala hata kukemea maiti ziliokotwa kwenye vipolo, watu walitekwa na wengine kupotezwa ambao mpaka leo hajulikani walipo kama wako hai au wameuwawa kwa hivyo hatima ya marehemu tumuwachie Mungu, sisi waislamu tunasema mungu atamlipa anavyostahili kwa Matendo yote aliyoyasimamia katika utawala wake. Na hapa nawashauri wanasheria wa haki za binadamu watizame uwezekano wa kumfungulia kesi aliyekuwa mkuu wa polisi kamanda sirro kwa sababu kwa vyovyote kuna mengi anayajuwa y aliyokuwa yana tokea,
 
Najiuliza tu unapoongelea zana ya pepo/peponi na Jehanum kuzimu iko pale kaburini, kwamba wale roho zao ziko pale zimelala kwa utulivu na wabaya zinaangaika.
Mtu anapokufa cha kwanza kuondoka katika mwili wake ni roho ambayo uacha mwili. Na mwili huu ndiyo uzikwa, kuchomwa na kuwa majivu pia kuna wale wanaokaushwa kama huko Indonesia na hata Misri ya zamani.

Roho ya mtu haikai kaburini, mwili ndo ukaa kaburini. Kama roho inakaa kaburini vipi wale wanaochomwa na majivu kupelekwa sehemu mbalimbali mfano baharini, nusu yake inatupwa sehemu nyingine je roho zao zinagawanyika vipi?
Kuna mzee mmoja aliipenda sana nchi fulani lakini yeye alikuwa Mmarekani hivyo aliomba akifa achomwe na majivu yake yagawanywe ktk nchi hizo mbili. Je Roho yake ipo wapi?

Kuna watu waliyoyeyushwa na tindi kali wala kusiwepo masalia yao je roho zao ukaa wapi? Ni vema kutofautisha mwili na roho. Wanasayansi wameweza tengeneza mtu kama robot lakini wameshindwa kumpa pumzi ambayo ndiyo roho toka kwa Mungu.

Ukisoma maandiko matakatifu yanasema "Nalikujua kabla misingi ya ulimwengu kuwapo" hii inaashilia kuwa Roho zetu hata kabla ya kuzaliwa hapa duniani zinakuwepo mahali fulani. Haziwi tumboni mwa mama zetu bali sehemu fulani. Hivyo hivyo tukifa roho zetu haziambatani na miili yetu. Roho uacha mwili na mtu upatwa na mauti.

Ukiangalia na kujifunza hata juu ya Yoga na kusoma sana juu ya "inside eye" utafahamu namna nafsi inavyoweza jitenga na huu mwili japo tunaweza kuwa duniani.

Na tunapokufa roho zetu uondoka katika miili yetu. Hii miili ni vazi tu!

Ni seme tu, hakuna dini yoyote ile duniani inayosema tuwaseme vibaya waliotangulia mbele ya haki. Mtu anae msema marehemu huyo atakuwa na matatizo ya kisaikolojia na chuki binafsi. Kwani hata amseme vibaya huyu kesha tangulia mbele ya haki. Hawezi mjibu.

Hivyo unaemsema marehemu yeyote yule lazima ujiulize lengo lako ni nini na utafaidika na kupata nini? Naamini kila mtu ana uhuru wa kusema akitakacho. Lakini miye binafsi najiuliza. Nikimsema vibaya marehemu je faida nayo pata ni ipi? Sitaki moyo wangu ujenge chuki.

Ni heri nimseme mtu alie hai anaeweza kunijibu au kubadilika kuliko kusemezana na maiti/marehemu isiyo/asiye tambua kitu.

Swala la kujiuliza hivi hawa wenye tabia za kusema marehemu au maiti, toka waseme ni nini kimebadilika na kipi wamekipata kwa kusema vibaya? Je wamepata thawabu gani? Je, wamebadili fikra za wale ambao nao walimpenda huyo marehemu wamuone mbaya? Je sasa wanaishi maisha ya raha mstarehe zaidi ya huyo marehemu? Je wao wanaujua mwisho wao?

Je ni nani anae hukumu na kujua ubaya wa mwanadamu? Ni sisi wenyewe au Mungu?

Binadamu atazamavyo ni tofauti kabisa na Mungu atazamavyo.
 
Mkuu kila binadamu anayo makosa
Tunayasema haya ya Magufuli ili yasitokee tena... kuna kosa moja umesahau kuliweka... limewakumba wengi sana...
Nalo kosa hilo ni
KUBAMBIKA KESI

Mpaka leo nasema kuna watu wako ndani miaka 3, wengine 4 nk... Sisemi kwamba Magufuli kawabambika.. Ila wale wasaidizi wake walikuwa wanaiga mwenendo wa bosi wao...

Watu wameumia jamani... Mungu tu ndiye ajuauye mahali sahihi pa kumuweka... Na pia sisi tuliobaki tuache kuchukiana bila sababu... Tujaribu kuwa na upendo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…