Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani

Msamaha wa kweli ni kumuomba uliemkosea na akakusamehe, sidhani kama aliomba msamaha kwa wazazi wa saa nane au akwilini na wengine wengi waliopitia machungu katika utawala wake
 


Je, Sauti ya within inatoka kwako tu au zinatoka hata kwa wale "waliojeruhiwa" kwa namna mbalimbali na huyo Kajoni??, kuna walijeruhiwa kiuchumi, kimwili, kijamii (ndugu zao kupotezwa), kudhalilishwa kwa kutumbuliwa hadharani nk, hao wote na wao wanazo sauti from within na wao wanayohaki ya kuongea hizo sauti hadharani kama jinsi wewe unavyoongea hadharani hiyo sauti yako ya within, basi tambua kwamba haki ya kuongea kwa suala hili ipo kwa kila mtu kulingana na jinsi alivyoguswa katika utawala wa huyo Kajoni.
 
Huyu ndiye Mayalla halisi bila ya chemical reaction, keep posting like that
 
Mtoa mada kaeleza vizuri tu kuwa mwamba hayuko peponi kwa sababu he was perfect, alitubu aliamini, akasamehewa, Kuna watu wengi waliona Christo ni katili kwa madai kuwa alifanya fujo kanisani na kwa tukio lile Kuna watu waliumizwa, Rejea Marko 11-15-16 It is just from my mind.
 

Mimi ni Mkatoliki, lakini huyo Laana kum Magufuli ameenda moja kwa moja jehanum....Tena yupo katikati ya moto kama kuni
 
You will be surprised one day utakapomuona yupo mbinguni nawewe ukajikuta moto wa milele, wait and see
Mbingu ipi mnayoiongelea? Labda mbingu iliyo na akina Adolph Hitler, Benito Mussolini, Iddi Amini, Paul Kagame, Pieter Botha, Jean Bokassa !!
 


Kama watu waliumizwa basi huwezi kuwazuia na wao kusema from within hiyo ni sawa na jinsi yeye paskal alivyoguswa na ameongea from within himself.
 
Sifa ya kwenda mbinguni ni moja tu,Kumwamini Yesu Kristo Mwana wa Mungu na kisha kuchukua hatua ya kuttubu dhambi kwa kumaanisha kuziacha kabisa! Yule Mnyangaji (Jambazi) pale msalabani alikiri ni mwenye dhambi na Yesu akamhakikishia kuingia Peponi baada ya kufa,(Luka23:41-43).Kwenda Kanisani tu hakutoshi hata kama mtu anahudhuria misa kila siku.
Kwa hiyo kama JPM alitubu dhambi zake kabla hajafaa yuko Peponi.Lakini kama alikuwa anahudhuria misa na hataki kutubu makosa yake,hiyo "inner voice"itathimini vizuri.
 
Umemaliza kabisa!
 
Aliua, kuteka, kupora na kutesa watu bila sababu zozote za maana.
Mungu muweza wa yote akapindua meza.
Laana ya kijana wa makambako aliyepigwa na polisi, Tiss na jeshi kwa amri yake itamuandama popote alipo.
Mungu hasamehi waovu
Huyu alikuwa muovu
Tuthibitishie?
 
Mbingu ya waliopata neema ya kutubu dhambi zao wakati wa mwisho wa uhai wao, soma Isaya 1:18, hata kama una dhambi gani mbaya ukipata neema ya kutubu Mungu anasamehe na kukutakasa na kuingia katika ufalme wake
Kitubio chenyewe alichofanya ni FEKI. Alifanya kitubio kwa CHAWA wake Cardinal Pengo. Pengo alikuwa ni kiongozi wa kanisa Katoliki Jimbo la Dar es Salaam ambaye alikuwa mnafiki sana. Nina wasiwasi kama maombi ya Pengo yalikuwa yanasikilizwa na Mungu
 
Kumbe Mungu anachagua automatic walio wake? Wengine walishakuwa rejected? Wokovu alioleta YESU una maana gani sasa?

Unamaana Kwa waliochaguliwa.

Hata Nuhu alivyoambiwa ajenge Safina ilikuwa kwaajili yake na familia yake. Ingawaje alitoa mwaliko Kwa watu wengine, Ila mwisho wa siku walioingia ni Wale Wale waliokusudiwa
 
Umeshasema watu wake walichoma na sio yeye
Amri kutoka kwake walisema hata uwe kisheria wao hawajali wametumwa pesa nakama hutoi pesa wameambiwa wachome bila kufanya hivyo hawawezi fikia malengo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…