Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Achana na hilo taahira!Watakatifu wakoje mkuu?
Kwake mtakatifu ni mwanachadema Lisu tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana na hilo taahira!Watakatifu wakoje mkuu?
Hicho ndio kipimo cha mtu mtakatifu?Mtakatifu ni binadamu aliye hai au aliyekufa wa kaliba ya juu sana ambaye dini fulani au watu mbalimbali wanamheshimu kwa namna ya pekee kwa jinsi alivyoonekana kuwa karibu zaidi na Mungu hata akashirikishwa utakatifu wake. Kwa hiyo hutazamwa kama kielelezo cha uadilifu na pengine kama mwombezi pia.
Nyie endeleeni kuugulia maumivu manyumbu nyieVipi sisi ndugu, jamaa na marafiki wa waliouawa? Tumemsamehe?
Vipi sisi wenyewe pwmoja na ndugu, jamaa na marafiki wa waliotekwa, waliojeruhiwa, waliofilisiwa na walioporwa? Tumemsamehe? Kama bado basi peponi atapasikia tu.
Imeandikwa kinachobarikiwa duniani na mbinguni kinapata baraka. Kwa mantiji hiyo JPM yuko motoni, pepo hataiona.
Wewe ndio mpumbavu sasa!Toa upumbavu wako hapa..yan wewe uuwe na kutesa wenzio kimakusudi tu bila hata sababu yoyote ya maana afu utegemee eti utasamehewa tu kilain hiv hiv!!! Hivi wajua maana ya damu ya mtu wewe?! Au wafikiri kumua binadam ni kama kuchinja tu jogoo au beberu la krismas?!!
Shetwan kwake ni jehanam moton tu na tunasema achomwe sana, tena saaana.
Subiri ukifa wiki ijayo utaona wapi utaendaLabda pepo mchafu kupitia uvuvi tu analaana nyingi tu kama atakuwa mbinguni mm siendi
Wewe takatak tu utaenda mbinguni kufanyaje sasaYan ata mimi nikimkuta yule ibilisi mbinguni siingii humo. Huyu muovu lilikuwa onevu sana kwa mengi. Ukiachilia mbali waliouliwa, kuteswa, kupigwa marisasi nk nyumba yetu kimara aliizoa tu akaitupia kule kama takataka tu hadi leo tunatangatanga familia nzima pa kukaa hatuna. Iliniuma mnoo aliposema wa kabila lake wao wasibomolewe sababu walimpa kura!!!!!! Dah!! Magufuli maguful maguful weee...nimekuita mara tatu magu....utachomwa moto sana wee babu.
Ahahahaa, pasua chupa umeze...limagu ni jehenam tuWewe takatak tu utaenda mbinguni kufanyaje sasa
Yan ata mimi nikimkuta yule ibilisi mbinguni siingii humo. Huyu muovu lilikuwa onevu sana kwa mengi. Ukiachilia mbali waliouliwa, kuteswa, kupigwa marisasi nk nyumba yetu kimara aliizoa tu akaitupia kule kama takataka tu hadi leo tunatangatanga familia nzima pa kukaa hatuna. Iliniuma mnoo aliposema wa kabila lake wao wasibomolewe sababu walimpa kura!!!!!! Dah!! Magufuli maguful maguful weee...nimekuita mara tatu magu....utachomwa moto sana wee babu.
bali kama yeye aliyewaita alivyo mtakatifu, ninyi nanyi iweni watakatifu katika mwenendo wenu wote; kwa maana imeandikwa, Mtakuwa watakatifu kwa kuwa mimi ni mtakatifu.Watakatifu ni watu waliofanikiwa kuwa wema mpaka wakati wa vifo vyao na wanaishi na Mungu Mbinguni. Kuwa mtakatifu haimaanishi haukuwahi kutenda dhambi. Hauufahamu hata msemo maarufu wa every saint has a past and every sinner has a future!!?
Wanabodi,
Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa huwaletea makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa. Mada ya leo ni a bit abstract, ambapo Nimesikia sauti ya Voices From Within ikiniambia JPM yuko Mbinguni kwa Baba, hivyo nauliza swali, jee wajua kuwa JPM yuko peponi, Mbinguni, Kwa BABA YAKE?. Why watu wengine waendelee kumshutumu, kumsakama na kumsimanga?. Kwa nini asiachwe ajipumzikie zake kwa amani!. Mtu ameisha tangulia mbele ya haki, kwanini watu waendelee kumsema sema kwa ubaya.
Mimi mwana jf mwenzenu ni Mzee wa Sauti za Ndani "the inner voice", unafanya kitu fulani na mara unasikia sauti from within ikikuambia jambo fulani.
Angalizo kuhusu Abstract Topics.
Issues na mtu akiisha kufa, we all knows what happens to the body, but roho huwa inakwenda wapi, no one knows for sure, hivyo tunategemea mafundisho ya dini zetu.
Kuna sisi dini za wana wa Nabii Ibrahim, Wakristo na Waislamu tumefunzwa kuhusu mbinguni, peponi, ahera, jehanam ya moto wa milele, na kuna siku ya mwisho siku ya hukumu ya mwisho ya kiama atakapo rudi Mwana wa Adamu, ambapo kutakuwa na ufufuko wa miili na uzima wa milele.
Kuna wenzetu wa Buddhism na Hindu ambao ni waumini wa karma, wao wanaamini kwenye after life na incarnation.
Hakuna yeyote awaye yote aliwahi kufa akayashudia hayo na kurejea duniani kututhibitishia mbingu ipo, peponi kupo na motoni kupo, wala waumini wa reincarnation no one can say for sure alikuwa nani before, zaidi ya ushahidi wa deja vu, hakuna uthibitisho wowote wa reincarnation Ila kwa vile na mimi niliishi India, I know for sure karma ipo and it's for real!.
Hivyo hii mada ni mada ya imani, kama wewe huamini, please keep your faith nakuomba usibeze imani za wengine, ukijiona huamini, nakuomba jipitie zako kimya kimya, tuache sisi waumini.
Leo asubuhi nilikuwa nasoma michango ya wachangiaji wa bandiko langu hili,
Kuna mtu akachangia kitu, katika kumjibu nikatumia link hii
Sasa ni wakati nasoma bandiko lenyewe, na naomba nililete hapa bandiko lenyewe lote kwa faida ya wavivu to follow links.
Ndipo nikaisikia sauti, voices from within kuwa JPM yuko peponi, ahera, mbinguni kwa Baba!.
Kwa kawaida ya sauti, huwa inakuambia tuu kitu na haikupi sababu, hivyo naomba msiniulize sababu, hapa kazi yangu ni moja tuu kuwaeleza kile nilichosikia Leo ni JPM yuko peponi!.
Hivyo baada ya kuisikia hiyo sauti nikamsikiliza tena JPM kwa makini sana katika video hii
Nimejirisha bila chembe ya shaka, huyu mtu yuko mbinguni kwa Baba yake!.
Hapa simaanishi kuwa JPM yuko peponi kwasababu he is perfect kama malaika, no!. JPM was a human being hivyo he is not perfect and no one is perfect, kilichofanya hiyo sauti ni despite his human mistakes JPM alitubu kabla ya umauti na kusamehewa makosa yake yote, na ndio maana nimeambiwa, sasa he is in heaven now!.
Kwa bandiko hili, sasa ningewaomba watu humu, kutoendelea kumsakama, kumshutumu, kumsimanga na kuendelea kumsema vibaya, na badala yake tumwache apumzike kwa amani. Kama Mungu mwenyewe amemsamehe na kumuita kwake, who are you kuendelea kumsema sema vibaya?.
Mungu Ibariki Tanzania
Paskali.
Kusemwa kwa wema au kwa ubaya kote Ni sahihi Kuna watu waliumizwa acha watoe nyongo Kuna watu walifaidi acha nao wasifu na kuabudu.Wanabodi,

Halafu nyie mnaoletaleta habari zake ndiyo mnakaribisha watu wamropokee,kama yuko mbinguni au peponi atajua yeye na nafsi yake.Wanabodi,

SwadaktaaaMi naamini yuko motoni
"Kwa bandiko hili, sasa ningewaomba watu humu, kutoendelea kumsakama, kumshutumu, kumsimanga na kuendelea kumsema vibaya, na badala yake tumwache apumzike kwa amani."Wanabodi,