Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanabodi,
Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa huwaletea makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa. Mada ya leo ni a bit abstract, ambapo Nimesikia sauti ya Voices From Within ikiniambia JPM yuko Mbinguni kwa Baba, hivyo nauliza swali, jee wajua kuwa JPM yuko peponi, Mbinguni, Kwa BABA YAKE?. Why watu wengine waendelee kumshutumu, kumsakama na kumsimanga?. Kwa nini asiachwe ajipumzikie zake kwa amani!. Mtu ameisha tangulia mbele ya haki, kwanini watu waendelee kumsema sema kwa ubaya.
Mimi mwana jf mwenzenu ni Mzee wa Sauti za Ndani "the inner voice", unafanya kitu fulani na mara unasikia sauti from within ikikuambia jambo fulani.
Angalizo kuhusu Abstract Topics.
Issues na mtu akiisha kufa, we all knows what happens to the body, but roho huwa inakwenda wapi, no one knows for sure, hivyo tunategemea mafundisho ya dini zetu.
Kuna sisi dini za wana wa Nabii Ibrahim, Wakristo na Waislamu tumefunzwa kuhusu mbinguni, peponi, ahera, jehanam ya moto wa milele, na kuna siku ya mwisho siku ya hukumu ya mwisho ya kiama atakapo rudi Mwana wa Adamu, ambapo kutakuwa na ufufuko wa miili na uzima wa milele.
Kuna wenzetu wa Buddhism na Hindu ambao ni waumini wa karma, wao wanaamini kwenye after life na incarnation.
Hakuna yeyote awaye yote aliwahi kufa akayashudia hayo na kurejea duniani kututhibitishia mbingu ipo, peponi kupo na motoni kupo, wala waumini wa reincarnation no one can say for sure alikuwa nani before, zaidi ya ushahidi wa deja vu, hakuna uthibitisho wowote wa reincarnation Ila kwa vile na mimi niliishi India, I know for sure karma ipo and it's for real!.
Hivyo hii mada ni mada ya imani, kama wewe huamini, please keep your faith nakuomba usibeze imani za wengine, ukijiona huamini, nakuomba jipitie zako kimya kimya, tuache sisi waumini.
Leo asubuhi nilikuwa nasoma michango ya wachangiaji wa bandiko langu hili,
Kuna mtu akachangia kitu, katika kumjibu nikatumia link hii
Sasa ni wakati nasoma bandiko lenyewe, na naomba nililete hapa bandiko lenyewe lote kwa faida ya wavivu to follow links.
Ndipo nikaisikia sauti, voices from within kuwa JPM yuko peponi, ahera, mbinguni kwa Baba!.
Kwa kawaida ya sauti, huwa inakuambia tuu kitu na haikupi sababu, hivyo naomba msiniulize sababu, hapa kazi yangu ni moja tuu kuwaeleza kile nilichosikia Leo ni JPM yuko peponi!.
Hivyo baada ya kuisikia hiyo sauti nikamsikiliza tena JPM kwa makini sana katika video hii
Nimejirisha bila chembe ya shaka, huyu mtu yuko mbinguni kwa Baba yake!.
Hapa simaanishi kuwa JPM yuko peponi kwasababu he is perfect kama malaika, no!. JPM was a human being hivyo he is not perfect and no one is perfect, kilichofanya hiyo sauti ni despite his human mistakes JPM alitubu kabla ya umauti na kusamehewa makosa yake yote, na ndio maana nimeambiwa, sasa he is in heaven now!.
Kwa bandiko hili, sasa ningewaomba watu humu, kutoendelea kumsakama, kumshutumu, kumsimanga na kuendelea kumsema vibaya, na badala yake tumwache apumzike kwa amani. Kama Mungu mwenyewe amemsamehe na kumuita kwake, who are you kuendelea kumsema sema vibaya?.
Mungu Ibariki Tanzania
Paskali.

Watakatifu ni watu waliofanikiwa kuwa wema mpaka wakati wa vifo vyao na wanaishi na Mungu Mbinguni. Kuwa mtakatifu haimaanishi haukuwahi kutenda dhambi. Hauufahamu hata msemo maarufu wa every saint has a past and every sinner has a future!!?Mtakatifu ni binadamu aliye hai au aliyekufa wa kaliba ya juu sana ambaye dini fulani au watu mbalimbali wanamheshimu kwa namna ya pekee kwa jinsi alivyoonekana kuwa karibu zaidi na Mungu hata akashirikishwa utakatifu wake. Kwa hiyo hutazamwa kama kielelezo cha uadilifu na pengine kama mwombezi pia.
Yan ata mimi nikimkuta yule ibilisi mbinguni siingii humo. Huyu muovu lilikuwa onevu sana kwa mengi. Ukiachilia mbali waliouliwa, kuteswa, kupigwa marisasi nk nyumba yetu kimara aliizoa tu akaitupia kule kama takataka tu hadi leo tunatangatanga familia nzima pa kukaa hatuna. Iliniuma mnoo aliposema wa kabila lake wao wasibomolewe sababu walimpa kura!!!!!! Dah!! Magufuli maguful maguful weee...nimekuita mara tatu magu....utachomwa moto sana wee babu.Labda pepo mchafu kupitia uvuvi tu analaana nyingi tu kama atakuwa mbinguni mm siendi
Wanabodi,
Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa huwaletea makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa. Mada ya leo ni a bit abstract, ambapo Nimesikia sauti ya Voices From Within ikiniambia JPM yuko Mbinguni kwa Baba, hivyo nauliza swali, jee wajua kuwa JPM yuko peponi, Mbinguni, Kwa BABA YAKE?. Why watu wengine waendelee kumshutumu, kumsakama na kumsimanga?. Kwa nini asiachwe ajipumzikie zake kwa amani!. Mtu ameisha tangulia mbele ya haki, kwanini watu waendelee kumsema sema kwa ubaya.
Mimi mwana jf mwenzenu ni Mzee wa Sauti za Ndani "the inner voice", unafanya kitu fulani na mara unasikia sauti from within ikikuambia jambo fulani.
Angalizo kuhusu Abstract Topics.
Issues na mtu akiisha kufa, we all knows what happens to the body, but roho huwa inakwenda wapi, no one knows for sure, hivyo tunategemea mafundisho ya dini zetu.
Kuna sisi dini za wana wa Nabii Ibrahim, Wakristo na Waislamu tumefunzwa kuhusu mbinguni, peponi, ahera, jehanam ya moto wa milele, na kuna siku ya mwisho siku ya hukumu ya mwisho ya kiama atakapo rudi Mwana wa Adamu, ambapo kutakuwa na ufufuko wa miili na uzima wa milele.
Kuna wenzetu wa Buddhism na Hindu ambao ni waumini wa karma, wao wanaamini kwenye after life na incarnation.
Hakuna yeyote awaye yote aliwahi kufa akayashudia hayo na kurejea duniani kututhibitishia mbingu ipo, peponi kupo na motoni kupo, wala waumini wa reincarnation no one can say for sure alikuwa nani before, zaidi ya ushahidi wa deja vu, hakuna uthibitisho wowote wa reincarnation Ila kwa vile na mimi niliishi India, I know for sure karma ipo and it's for real!.
Hivyo hii mada ni mada ya imani, kama wewe huamini, please keep your faith nakuomba usibeze imani za wengine, ukijiona huamini, nakuomba jipitie zako kimya kimya, tuache sisi waumini.
Leo asubuhi nilikuwa nasoma michango ya wachangiaji wa bandiko langu hili,
Kuna mtu akachangia kitu, katika kumjibu nikatumia link hii
Sasa ni wakati nasoma bandiko lenyewe, na naomba nililete hapa bandiko lenyewe lote kwa faida ya wavivu to follow links.
Ndipo nikaisikia sauti, voices from within kuwa JPM yuko peponi, ahera, mbinguni kwa Baba!.
Kwa kawaida ya sauti, huwa inakuambia tuu kitu na haikupi sababu, hivyo naomba msiniulize sababu, hapa kazi yangu ni moja tuu kuwaeleza kile nilichosikia Leo ni JPM yuko peponi!.
Hivyo baada ya kuisikia hiyo sauti nikamsikiliza tena JPM kwa makini sana katika video hii
Nimejirisha bila chembe ya shaka, huyu mtu yuko mbinguni kwa Baba yake!.
Hapa simaanishi kuwa JPM yuko peponi kwasababu he is perfect kama malaika, no!. JPM was a human being hivyo he is not perfect and no one is perfect, kilichofanya hiyo sauti ni despite his human mistakes JPM alitubu kabla ya umauti na kusamehewa makosa yake yote, na ndio maana nimeambiwa, sasa he is in heaven now!.
Kwa bandiko hili, sasa ningewaomba watu humu, kutoendelea kumsakama, kumshutumu, kumsimanga na kuendelea kumsema vibaya, na badala yake tumwache apumzike kwa amani. Kama Mungu mwenyewe amemsamehe na kumuita kwake, who are you kuendelea kumsema sema vibaya?.
Mungu Ibariki Tanzania
Paskali.
Sitacheka kama leo jamani😀😀Naunga mkono hoja!! Ile TAKATAKA haiwezi kufika peponi kamwe!! Mahali lake ni jehanamu tu.
Wao wenyewe chini ya Kassim Majaliwa walimdhihaki. Kumtembeza mitaani kwenye miji ya Dodoma, Zanzibar, Mwanza na Geita kiasi hicho ni UDHALILISHAJI wa hali ya juu sana.
Kumbeukeni Magufuli alikuwa analindwa na kikosi Maalum cha Askari wenye sare na wasii na sare, Askari wenye mabastola na AK 47, Askari wenye ving'amuzi vya kwenye laptop, magari ya Internet Jammer na utambuzi wa vilipuzi. Na mwisho alikuwa na Helicopter juu angani!! Majaliwa alimtembeza kama samaki wa feri waliochina, ndiyo aende Pepo gani huyo?
Inaonekana akili yako inafikiri Mungu ni LisuAliua, kuteka, kupora na kutesa watu bila sababu zozote za maana.
Mungu muweza wa yote akapindua meza.
Laana ya kijana wa makambako aliyepigwa na polisi, Tiss na jeshi kwa amri yake itamuandama popote alipo.
Mungu hasamehi waovu
Huyu alikuwa muovu
Kutubu lazima itangazwe kwenye tv?Kwamba alitubu? We ulijuaje wakati nchi nzima ilikua kwenye taharuki hata maaskofu tu walifichwa kinachoendelea!!
Mara alitubu, mara alikua anachapa kazi ofisini, mwingine akadai alikua busy kwenye maombi ya mfungo kuombea taifa!!!
Mnatuchanganya tu wananchi, Bora mkae kimya
Wanabodi,
Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa huwaletea makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa. Mada ya leo ni a bit abstract, ambapo Nimesikia sauti ya Voices From Within ikiniambia JPM yuko Mbinguni kwa Baba, hivyo nauliza swali, jee wajua kuwa JPM yuko peponi, Mbinguni, Kwa BABA YAKE?. Why watu wengine waendelee kumshutumu, kumsakama na kumsimanga?. Kwa nini asiachwe ajipumzikie zake kwa amani!. Mtu ameisha tangulia mbele ya haki, kwanini watu waendelee kumsema sema kwa ubaya.
Mimi mwana jf mwenzenu ni Mzee wa Sauti za Ndani "the inner voice", unafanya kitu fulani na mara unasikia sauti from within ikikuambia jambo fulani.
Angalizo kuhusu Abstract Topics.
Issues na mtu akiisha kufa, we all knows what happens to the body, but roho huwa inakwenda wapi, no one knows for sure, hivyo tunategemea mafundisho ya dini zetu.
Kuna sisi dini za wana wa Nabii Ibrahim, Wakristo na Waislamu tumefunzwa kuhusu mbinguni, peponi, ahera, jehanam ya moto wa milele, na kuna siku ya mwisho siku ya hukumu ya mwisho ya kiama atakapo rudi Mwana wa Adamu, ambapo kutakuwa na ufufuko wa miili na uzima wa milele.
Kuna wenzetu wa Buddhism na Hindu ambao ni waumini wa karma, wao wanaamini kwenye after life na incarnation.
Hakuna yeyote awaye yote aliwahi kufa akayashudia hayo na kurejea duniani kututhibitishia mbingu ipo, peponi kupo na motoni kupo, wala waumini wa reincarnation no one can say for sure alikuwa nani before, zaidi ya ushahidi wa deja vu, hakuna uthibitisho wowote wa reincarnation Ila kwa vile na mimi niliishi India, I know for sure karma ipo and it's for real!.
Hivyo hii mada ni mada ya imani, kama wewe huamini, please keep your faith nakuomba usibeze imani za wengine, ukijiona huamini, nakuomba jipitie zako kimya kimya, tuache sisi waumini.
Leo asubuhi nilikuwa nasoma michango ya wachangiaji wa bandiko langu hili,
Kuna mtu akachangia kitu, katika kumjibu nikatumia link hii
Sasa ni wakati nasoma bandiko lenyewe, na naomba nililete hapa bandiko lenyewe lote kwa faida ya wavivu to follow links.
Ndipo nikaisikia sauti, voices from within kuwa JPM yuko peponi, ahera, mbinguni kwa Baba!.
Kwa kawaida ya sauti, huwa inakuambia tuu kitu na haikupi sababu, hivyo naomba msiniulize sababu, hapa kazi yangu ni moja tuu kuwaeleza kile nilichosikia Leo ni JPM yuko peponi!.
Hivyo baada ya kuisikia hiyo sauti nikamsikiliza tena JPM kwa makini sana katika video hii
Nimejirisha bila chembe ya shaka, huyu mtu yuko mbinguni kwa Baba yake!.
Hapa simaanishi kuwa JPM yuko peponi kwasababu he is perfect kama malaika, no!. JPM was a human being hivyo he is not perfect and no one is perfect, kilichofanya hiyo sauti ni despite his human mistakes JPM alitubu kabla ya umauti na kusamehewa makosa yake yote, na ndio maana nimeambiwa, sasa he is in heaven now!.
Kwa bandiko hili, sasa ningewaomba watu humu, kutoendelea kumsakama, kumshutumu, kumsimanga na kuendelea kumsema vibaya, na badala yake tumwache apumzike kwa amani. Kama Mungu mwenyewe amemsamehe na kumuita kwake, who are you kuendelea kumsema sema vibaya?.
Mungu Ibariki Tanzania
Paskali.
Basi mzalendo ni mumeoAh ah, mzalendo hasiwe Mamako aje awe uyo mwizi?? Kojoa ukalale
Mbingu siyo ya mamakoHkna pepo ya hovyo hovyo Jehova haruhusu kbsa Ile kenge iingie mbinguni mafiii ya chato
Mbona unateseka sana dada?Fuas la dictator utahangaika sana hilo joka shetani lililouwa watu saiv linalia kwa kisukuma mayuuuuu huku moto ukilichoma na Mungu alifanya vizuri kutuondolea hilo lishetan hasa sis huku kanda ya ziwa tuliumizwa sana na hilo uwaji kwa kuuwa ndugu zetu wavuvi kwa kuwatupa ziwani, likaanzisha amcos iliyosababisha hadi sasa baadhi ya ndugu zetu hawajalipwa hela zao za pamba kuanzia meatu,maswa, itilima,dutwa,bariadi,kishapu,kahama,ngudu(kwimba),magu,misungwi,sengerema,geita,chato,mbogwe,bukombe,busega na maeneo mengine chungunzima ndio maana kifo chake kilikua shangwe huku kanda ya ziwa
MBAYA ZAIDI: Lilipoiba uchaguz ndo tuliliona puuz kabisa, yanaohuzunika kifo cha hilo lishetani ni yale mazezeta ya ccm yaliyokuwa yamerundikana kwenye makorido ya lumumba kutukana viongoz wa chadema kisha yanateuliwa saivi yanahaha maana teuz zimeota mbawa na bado 2025 baada ya katiba mpya mtakimbilia burundi kumfata shetani wenu.
Wewe ni Mungu?Uwezekano mkubwa ni yupo mbinguni anafurahi na malaika na watakatifu wengine wa Bwana.[emoji23]
Hivi unajitambua kweli wewe? Unawajua watakatifu wakoje? Labda ulimaanisha watakakitu
Mungu siyo babako wala mamakoUnahubiri ushetani we kibaraka mkubwa ukatoliki gani unaruhusu kuteka na kuua wengine halafu utakaswe kirahisi hivyo.
Lipo motoni linagugumia au lilikuwa shetani lililogeuka binadamu kwa muda mfupi sasa hivi ni shetani pure linye mikia na pembe huko jehanam.
Wewe pia ni taktaka za chooniNaunga mkono hoja!! Ile TAKATAKA haiwezi kufika peponi kamwe!! Mahali lake ni jehanamu tu.
Wao wenyewe chini ya Kassim Majaliwa walimdhihaki. Kumtembeza mitaani kwenye miji ya Dodoma, Zanzibar, Mwanza na Geita kiasi hicho ni UDHALILISHAJI wa hali ya juu sana.
Kumbeukeni Magufuli alikuwa analindwa na kikosi Maalum cha Askari wenye sare na wasii na sare, Askari wenye mabastola na AK 47, Askari wenye ving'amuzi vya kwenye laptop, magari ya Internet Jammer na utambuzi wa vilipuzi. Na mwisho alikuwa na Helicopter juu angani!! Majaliwa alimtembeza kama samaki wa feri waliochina, ndiyo aende Pepo gani huyo?
Ndio unachopenda kusikia hicho?Majaliwa alimtembeza kama samaki wa feri waliochina, ndiyo aende Pepo gani huyo?[emoji24][emoji24][emoji24]
Aliwabutua sana ndio mana mnakovu hayaponiKwa jinsi mnavyombandika hapa ndivyo walioumizwa naye wanavyokosa uvumilivu. Wewe ndiye ungeacha ama sivyo sitaacha kukumbuka madhila ya shetani. The devil incarnation!