Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani

Kwakua una moyo wa ukaidi ni ngumu sana kupata neema ila kwakua Mungu ni WA huruma anaweza kukupa hiyo neema. Kamsome Saul au Paul yeye alilitesa kanisa la Mungu still Mungu alimuokoa
Unaleta poroganda za sauli tapeli ametapeli wajinga anadaganya hivi nikuulize swali yesu alikuja kuitimiliza taurati kwa kutumia injili sauli nae alipewa kitabu gani nachanini asante
 
M
Mkuu
Mkuu Mshana Junior, ni kweli tatizo mahali haliwezi kukosa kwa sababu John alizaliwa kutoka katika tumbo la mwanamke, Paskali kaeleza kuwa yawezekana hayuko peponi kwa sababu he was perfect John alitambua ni wapi alijikwaa lakini alitubu kabla ya umauti, Hata Yesu bado anapigwa vita hadi Sasa lakini kwa wafuasi wa Kristo tunaamini kwamba ndiye mkombozi wa ulimwengu, Kabla ya kuteswa tunamuona Yesu alijitenga na wanafunzi wake kusali yawezekana alikuwa akitubu ma Hali alipojikwaa kwa sababu alizaliwa kwa jinsi ya kinadamu Kuna matukio kadha wa kadha katika biblia takatifu yanayoonesha namna Yesu alivyokuwa akiwakera baadhi ya watu mfano Rejea Marko 11:15-16 licha ya tukio hili na mengine mfano wa hayo Kuna watu waliumizwa no matter waht waliumizwaje, Lakini hadi hivi Sasa Yesu anahesabiwa haki katika imani hivyo basi Hata Kama bado kuna minung'uniko mahali about John bado kuna mahali Kuna faraja from John.
Kama watu waliumizwa basi huwezi kuwazuia na wao kusema from within hiyo ni sawa na jinsi yeye paskal alivyoguswa na ameongea from within himself.
Mwisho wa siku mwamba anahesabiwa haki katika imani
 
Kitubio ambacho kisingeacha chembe ya shaka ni kile kitubio dhihiri mbele ya mashahidi kwa niaba ya wengine.. Hili la mwendazake lina mashaka mengi kwakuwa speculations ni nyingi.. Anyways dakika za mwisho ndio zimebeba siri zote..nimeshiriki sana dakika za mwisho za wafu wengi kuna siri kubwa sana kati za dunia hizi mbili pale kwenye exit
 
Umenifurahisha sana chief[emoji120][emoji120]
 
It is real, kanisani ni sehemu ya kusanyiko, mbele ya waumini wenye macho ya imani jamaa alitubu kwa kinywa chake.
 
Aliua, kuteka, kupora na kutesa watu bila sababu zozote za maana.
Mungu muweza wa yote akapindua meza.
Laana ya kijana wa makambako aliyepigwa na polisi, Tiss na jeshi kwa amri yake itamuandama popote alipo.
Mungu hasamehi waovu
Huyu alikuwa muovu
Mbona huyo kijana alishughulikiwa kabla hajamuona? Au siyo ule wa siku ya mkutano?
 
Kama Mungu mwenyewe amemsamehe na kumuita kwake, who are you kuendelea kumsema sema vibaya?
Hivi wewe mwenzetu waupata wapi uhakika huu?
Kama kweli kutoka moyoni mwako, wewe wamwonea huruma na hata kujaribu kumbebea mizigo ya dhambi zake, basi wewe ndio LABDA waweza kuja kwenda peponi. Lakini sio huyo aliyekuwa amejaa unafiki kwa kujivisha koti la "mtetezi wa wanyonge". HUYO baba ataendelea kusemwa milele, vizazi na vizazi, kwa dhambi na ushetani wake.
 
Kama yupo kwa baba yake aiseeee na shetani inabidi asamehewe haraka sana.
 

P,

Let my uncle Pombe rest in peace. Lets us discuss future of Tanzania.
 
Why watu wengine waendelee kumshutumu, kumsakama na kumsimanga?. Kwa nini asiachwe ajipumzikie zake kwa amani!. Mtu ameisha tangulia mbele ya haki, kwanini watu waendelee kumsema sema kwa ubaya.
Paskali, ni hulka ya binadamu kutazama nyuma na kuangalia mbele. Utakachokiona huko nyuma ni muhimu ukizingatie ili kwenda mbele kwa tahadhari. Haiwezekani mtu akishatangulia mbele ya haki iwe ndiyo mwisho wa kuchambua matendo yake hapa ulimwenguni. Mazuri na mabaya yake yatachambuliwa haswa kama aliwahi kuwa na wadhifa uliowagusa watu wengi moja kwa moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…