Voices From Within: Nimeambiwa Watanzania wote Wazalendo wa kweli kwa Taifa, Tumuombee Rais Samia Afya njema

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
59,804
Reaction score
134,593
Wanabodi

Saa hizi ni usiku mkubwa, wengine wanaita ni usiku wa manane, nilikuwa nasoma bandiko hili humu JF:
PNA: Makamo wa Rais Dr Nchimbi, atamsaidia sana Rais Samia na Taifa, Ni Mkweli Anayeweza Kumweleza Rais Ukweli!. Ili Kumsaidia Aomba Rais Aombewe!, mara ghafla nikaisikia ile Sauti, The Voices from Within
ikiniambia, niwaambie Watanzania wote Wazalendo wa ukweli wa taifa letu, tumuombee Rais Samia afya njema!.

Sauti hiyo imeishia hapo!

Japo hii hoja ya kumuombea Rais Samia, aombewe, sijaianza leo, Wito kwa Watanzania, Wazalendo wa Kweli wa Nchi Yao, na Wenye Mapenzi Mema na Taifa Lao, Tumuombe Rais Samia!, Tuliombee Taifa Letu!, na hapa
Hoja ya Rais Kuombewa: Je, Rais anapaswa kuombewa na viongozi wa dini tuu pekee au na Watanzania wote wenye mapenzi mema na taifa lao? lakini leo ndio nimeambiwa na The Voices From Within!.

Tunamuombea Rais Samia Afya Njema!

Mzee Pasco.
 
Hiyo ni Fasihi tu anaitumia. Jiongeze.!
 
Fuk Samia.

Akifa kifo cha mateso na maumivu nitafurahi sana.

Watanganyika wazalendo ni wale tunaothamini ubinadamu wa Watanganyika wenzetu.

Tumeona Ufaransa huko na kwingineko huko Ulaya uharibifu wa mali lakini hakuna hata mtu mmoja aliyepigwa risasi ya kichwa.

Hatujaona watoto wa Kifaransa maiti zao zikiwa zimetapakaa mabarabarani.

Wazalendo wa kweli huwa hawauwi raia wenzao.

Fuk Samia. I want the bitch dead.
 
Pascal Mayalla ni ukweli usiopingika, sisi wote ni viumbe wa udongo ambao hauna uhai isipokuwa roho. Kipindi Dkt Magufuli anafariki, kuna walioumia na kuna waliofurahi (mimi binafsi niliumia sana). Somo tunalojifunza ni kuwa ukiwa na taifa la watu wanao Mtaja Mungu basi ogopa hata kama hauamini hasa linapokuja suala la watu kufa na wewe kusingiziwa hata kama haujafanya moja kwa moja. Kosa mojawapo la Dkt Magufuli kama ilivyo kwa sisi wengi ni kushindwa kabisa kuweka nafasi ya Mungu ktk utendaji wetu. Yaani kudhani tuna akili kuzidi Mungu (ambaye tunamkili ila tunampata 20% ya yeye atatenda). Dkt Samia, Rais wetu kapotoshwa sana na kundi fulani, tumuombee sana, maana nimeona ile Iringa ule haukuwa ujumbe rahisi ule ulikuwa Mkutano wa Nchi na muelekeo wake. Narudia tena Mkutano wa Iringa ulibeba ujumbe mzito sana wa kifaifa.
 
Malaika wa nuru amekuangazia, neno la Bwana lihimidiwe.
Amen
 
Kama ilivyo kawaida ya siku zote.
Kichwa cha mada ni cha kipuuzipuuzi tu, ndicho hicho pekee kilichonileta hapa kuandika haya machache bila ya kusoma upuuzi mwingine unaofuata.

Nayasema haya bila ya chembe hata ndogo ya kuyajutia.
 
" Mara ghafla nikaisikia ile Sauti, The Voices from Within
ikiniambia, niwaambie Watanzania wote Wazalendo wa ukweli wa taifa letu, tumuombee Rais Samia afya njema!."

AFYA YAKE IMEKUWAJE? Kwa sasa sio njema?
 
Una uhakika hao watanzania wote wazalendo wa ukweli wa taifa letu wana ari na sababu ya kuombea afya njema ya huyo unaemtaja?

Unafikiri una uwezo wa kuwashawishi watu wamuombee mtu ikiwa wao kutoka within kabisa hawasikii hiyo sauti?

Wanaweza kuomba kweli ila, wakaona bora asiendelee kuteseka na hii dunia iliyojaa shida, maradhi na tabu...
 
Kosa mojawapo la Dkt Magufuli kama ilivyo kwa sisi wengi ni kushindwa kabisa kuweka nafasi ya Mungu ktk utendaji wetu. Yaani kudhani tuna akili kuzidi Mungu (ambaye tunamkili ila tunampata 20% ya yeye atatenda).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…