Anaua watoto, halafu analaumu wazazi kuwaachia watoto wao kwenda mitaani!Akifa kifo cha mateso na maumivu nitafurahi sana.
Uzalendo ni kwa mtu au kwa nchi??ikiniambia, niwaambie Watanzania wote Wazalendo wa ukweli wa taifa letu, tumuombee Rais Samia afya njema!.
Iwapo itanilazimu kufanya hivyo bora nimuombee Nchimbi. Mpambanaji ambaye nitamuombea pasipo na kinyongo ni Tundu Lisuu tuWanabodi
Saa hizi ni usiku mkubwa, wengine wanaita ni usiku wa manane, nilikuwa nasoma bandiko hili humu jf https://www.jamiiforums.com/threads...eli-ili-kumsaidia-aomba-rais-aombewe.2418533/
Mara ghafla nikaisikia ile Sauti, The Voices from Within
ikiniambia, niwaambie Watanzania wote Wazalendo wa ukweli wa taifa letu, tumuombee Rais Samia afya njema!.
Sauti hiyo imeishia hapo!
Japo hii hoja ya kumuombea Rais Samia, aombewe, sijaianza leo, https://www.jamiiforums.com/threads...ombe-rais-samia-tuliombee-taifa-letu.2420340/ lakini leo ndio nimeambiwa na The Voices From Within!.
Tunamuombea Rais Samia Afya Njema!
Mzee Pasco.
Lolote baya limkute.Wanabodi

Amen 🙏Kusema ukweli sipendi kusikia taarifa ya afya mbaya au kifo kuhusiana na mwanachama yeyote kuanzia chadema au ccm, sipendi jinsi samia anavyoongoza lakini haiondoi ukweli kuwa bado namtakia afya njema regardless ya matendo yake, akiamua kujiuzulu itakuwa vyema ila siombei afe, awe na maisha marefu, mwisho wa siku wote ni binadamu, na Mungu ndiyo muamuzi
Kwako nguli wa Habari
Anko Pasco
Mkutano upi huo wa IringaPascal Mayalla ni ukweli usiopingika, sisi wote ni viumbe wa udongo ambao hauna uhai isipokuwa roho. Kipindi Dkt Magufuli anafariki, kuna walioumia na kuna waliofurahi (mimi binafsi niliumia sana). Somo tunalojifunza ni kuwa ukiwa na taifa la watu wanao Mtaja Mungu basi ogopa hata kama hauamini hasa linapokuja suala la watu kufa na wewe kusingiziwa hata kama haujafanya moja kwa moja. Kosa mojawapo la Dkt Magufuli kama ilivyo kwa sisi wengi ni kushindwa kabisa kuweka nafasi ya Mungu ktk utendaji wetu. Yaani kudhani tuna akili kuzidi Mungu (ambaye tunamkili ila tunampata 20% ya yeye atatenda). Dkt Samia, Rais wetu kapotoshwa sana na kundi fulani, tumuombee sana, maana nimeona ile Iringa ule haukuwa ujumbe rahisi ule ulikuwa Mkutano wa Nchi na muelekeo wake. Narudia tena Mkutano wa Iringa ulibeba ujumbe mzito sana wa kifaifa.
Eti mtu aliyeua hawa watoto ndo aombewe?
Really 🤔?Whatever the case the situation is tense..!!!