IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,878
- 7,526
What are you trying to achieve pascal?
Mikutano upi wa iringa naomba nijuzePascal Mayalla ni ukweli usiopingika, sisi wote ni viumbe wa udongo ambao hauna uhai isipokuwa roho. Kipindi Dkt Magufuli anafariki, kuna walioumia na kuna waliofurahi (mimi binafsi niliumia sana). Somo tunalojifunza ni kuwa ukiwa na taifa la watu wanao Mtaja Mungu basi ogopa hata kama hauamini hasa linapokuja suala la watu kufa na wewe kusingiziwa hata kama haujafanya moja kwa moja. Kosa mojawapo la Dkt Magufuli kama ilivyo kwa sisi wengi ni kushindwa kabisa kuweka nafasi ya Mungu ktk utendaji wetu. Yaani kudhani tuna akili kuzidi Mungu (ambaye tunamkili ila tunampata 20% ya yeye atatenda). Dkt Samia, Rais wetu kapotoshwa sana na kundi fulani, tumuombee sana, maana nimeona ile Iringa ule haukuwa ujumbe rahisi ule ulikuwa Mkutano wa Nchi na muelekeo wake. Narudia tena Mkutano wa Iringa ulibeba ujumbe mzito sana wa kifaifa.
...To my point of view..!Really 🤔?
BalaaaMkutano upi huo wa Iringa
Kwa hiyo Lissu ni the chosen one?Wote waliojaribu kupambana na Lissu wamekufa, hawapo na wengine wamekua vichaa.... maybe she is next.
Wazalendo, uzalendo upi?Wanabodi
Saa hizi ni usiku mkubwa, wengine wanaita ni usiku wa manane, nilikuwa nasoma bandiko hili humu jf https://www.jamiiforums.com/threads...eli-ili-kumsaidia-aomba-rais-aombewe.2418533/
Mara ghafla nikaisikia ile Sauti, The Voices from Within
ikiniambia, niwaambie Watanzania wote Wazalendo wa ukweli wa taifa letu, tumuombee Rais Samia afya njema!.
Sauti hiyo imeishia hapo!
Japo hii hoja ya kumuombea Rais Samia, aombewe, sijaianza leo, https://www.jamiiforums.com/threads...ombe-rais-samia-tuliombee-taifa-letu.2420340/ lakini leo ndio nimeambiwa na The Voices From Within!.
Tunamuombea Rais Samia Afya Njema!
Mzee Pasco.
Mkuu hivi wenge ( mawenge wenge) ni kitu gani hasa?Saa 9 hii , bila shaka unaota ndoto za majinamizi.
Amka usali kisha ulale tena , maana una wenge la usingizi.
Kwani huyu Mwanamke anaumwa?Ninaona aibu kumuombea! Na ninajisikia vibaya kumuombea!
Mtaalamu Mshana Jr tunakuomba ukikaa kwenye ofisi yako huko ebu tumia darubini 🔭 🔭 zako kumzoom huyu Mama wa kiswahili anaumwa au propaganda?Whatever the case the situation is tense..!!!
Huyo mwanamke utadhani ni mnyama chui asiye na huruma, hana utu hata kidogo,Anaua watoto, halafu analaumu wazazi kuwaachia watoto wao kwenda mitaani!
She must be a devil. No sane person will be moved by the demise of a devil.
Namwombea rais wangu kila uchwao,ewe mwenyezi mungu mtukuka na mwenye wingi wa rehma kwa dhati kabisa tunakuinamia tukikuomba umpe afya iliyo njema rais wetu,umuepushe na hila Ovu za iblisi na vijakazi wao,washindwe kwa kila hali,wewe mola wetu ni jabali usiyeshindwa lolote basi kwa hekma zako umpe afya iliyo bora rais wetu na umjaalie maisha marefu kiongozi wetu,#AMINANinaona aibu kumuombea! Na ninajisikia vibaya kumuombea!