Voices From Within: Nimeambiwa Watanzania wote Wazalendo wa kweli kwa Taifa, Tumuombee Rais Samia Afya njema

JF ni user generated forum, ikiongozwa na freedom of opinion, kila mtu humu yuko free kutoa mawazo yake yoyote, hatupangiani, kama wengine mnachagua watu wa kuwaongelea, huo ni uhuru wenu, hamna mamlaka ya kupangia wengine, nani wamuongelee, na nani wasimuongelee, tusipangiane!,
Ndio maana kuna viongozi wanaonekana kama malaika, lakini ni mashetani, na kuna viongozi wanaonekana kama ni mashetani, kumbe ndio malaika.
Hivyo wanaomuona ni shetani, wako right kutokana na vigezo vyao vya ushetani, na sisi tunaomuona kama malaika, tuko right kutokana na vigezo vya umalaika wake.
Ila mimi kwasababu ni mwandishi wa habari, pia nina wajibu kwa jamii, kuisaidia kuwabaini malaika na shetani ili kufanya an informed decision. Jukumu hilo nililitimiza kikamilifu Je, wajua japo Mungu huweka Serikali za Mataifa kuna Serikali/Viongozi wa Mungu na Shetani? Tusiruhusu Ushetani kwa kuchagua mashetani

P
Kama ulivohuru kumuongelea ambae majority tunamuignore uaisahau rights come with responsibility ukimuongelea ukisha post sio mawazo yako tena ni mali ya jamii ndo maana hakuna anaejadili choice ya makoti yako hapa ila unachojadili kuna jenz humu inatakiwa tuku tackle ili wapate all materials kuamua nini sahihi wengine wakati anatangazwa na marekani kama jambazi sugu walikuwa watoto tunaweka rekord sawa
 
Naunga mkono hoja.
P
 
JF ni user generated forum, ikiongozwa na freedom of opinion, kila mtu humu yuko free kutoa mawazo yake yoyote, hatupangiani, kama wengine mnachagua watu wa kuwaongelea, huo ni uhuru wenu, hamna mamlaka ya kupangia wengine, nani wamuongelee, na nani wasimuongelee, tusipangiane!,
Ndio maana kuna viongozi wanaonekana kama malaika, lakini ni mashetani, na kuna viongozi wanaonekana kama ni mashetani, kumbe ndio malaika.
Hivyo wanaomuona ni shetani, wako right kutokana na vigezo vyao vya ushetani, na sisi tunaomuona kama malaika, tuko right kutokana na vigezo vya umalaika wake.
Ila mimi kwasababu ni mwandishi wa habari, pia nina wajibu kwa jamii, kuisaidia kuwabaini malaika na shetani ili kufanya an informed decision. Jukumu hilo nililitimiza kikamilifu Je, wajua japo Mungu huweka Serikali za Mataifa kuna Serikali/Viongozi wa Mungu na Shetani? Tusiruhusu Ushetani kwa kuchagua mashetani

P
Senge la media
 
Unajua Kuna watu kwenye jamii wanachukiwa coz walipewa script inayochukiza waicheze yaani wawe kama majambazi wakuu makatili kwenye movie!!!

Mfano hili la October 29,Kuna chuki na lawama kibao,lakini ukute huo mchoro alichorewa MTU Fulani utokee kwa kujua Wala kuto kujua mradi chama kishike dola!!

Nilishaacha mihemko ya chuki za watu hasa viongozi coz maisha wanayoishi ya script walizochorewa na sio uhalisia wa maisha yao!!!inawezekana wakiwa huko sirini Huwa wanalia na kujuta sana lakini hawana namna wameingizwa kwenye mfumo huo na hawana namna ya kufanya kuepuka reputation Yao ya kiroho isianguke na kuwaumiza!
Makonda ni mmoja kati ya wengi kwenye hayo!!
Aliyemshambulia TA Lissu pale Dodoma ni nani!
 
Back
Top Bottom