Voices From Within: Nimeambiwa Watanzania wote Wazalendo wa kweli kwa Taifa, Tumuombee Rais Samia Afya njema

Voices From Within: Nimeambiwa Watanzania wote Wazalendo wa kweli kwa Taifa, Tumuombee Rais Samia Afya njema

Hata mkoloni hakuua ndugu zetu hivi, hii haisahauliki na wala haisameheki muda utasema.
Mkuu kuna muda mimi naamua kushinda kwenye nyuzi za MMU sio kwamba nazipenda sana..!!
Ni vile nasikia uchungu na aina ya watawala tulionao, ukisema tayari wanaanza kutafuta kuteka watu wakawaingilie kinyume na kuwaua.. 😥

Maumivu ni makali kuona tunaenda kurithisha vizazi vyetu taifa ovu lilolojaa laana za umwagaji damu na uongozi mbovu..!!
 
Wanabodi

Saa hizi ni usiku mkubwa, wengine wanaita ni usiku wa manane, nilikuwa nasoma bandiko hili humu JF:
PNA: Makamo wa Rais Dr Nchimbi, atamsaidia sana Rais Samia na Taifa, Ni Mkweli Anayeweza Kumweleza Rais Ukweli!. Ili Kumsaidia Aomba Rais Aombewe!, mara ghafla nikaisikia ile Sauti, The Voices from Within
ikiniambia, niwaambie Watanzania wote Wazalendo wa ukweli wa taifa letu, tumuombee Rais Samia afya njema!.

Sauti hiyo imeishia hapo!

Japo hii hoja ya kumuombea Rais Samia, aombewe, sijaianza leo, Wito kwa Watanzania, Wazalendo wa Kweli wa Nchi Yao, na Wenye Mapenzi Mema na Taifa Lao, Tumuombe Rais Samia!, Tuliombee Taifa Letu!, na hapa
Hoja ya Rais Kuombewa: Je, Rais anapaswa kuombewa na viongozi wa dini tuu pekee au na Watanzania wote wenye mapenzi mema na taifa lao? lakini leo ndio nimeambiwa na The Voices From Within!.

Tunamuombea Rais Samia Afya Njema!

Mzee Pasco.
Acha uchawa. Wengine tunamuombea akakutane na mumewe kipenzi soon. Aaamina
 
Back
Top Bottom