Voices From Within: Nimeambiwa Watanzania wote Wazalendo wa kweli kwa Taifa, Tumuombee Rais Samia Afya njema

Voices From Within: Nimeambiwa Watanzania wote Wazalendo wa kweli kwa Taifa, Tumuombee Rais Samia Afya njema

To hell!! Kwanini aombewe asife ili iweje, kwani wanaokufa wao sio watu ..na je si ndugu zetu?

Acha kujitwisha vitu vya kijinga, tafuta ugali wako watoto waende chooni na mwache aliyefikisha siku zake hapa duniani arudi kwa mola. Na vitabu vilishaandika yeyeto aliyezaliwa na mwanamke siku zake ni chache hapa duniani ...R. I. P
 
Tanzania tupo watu 50m+, tangazo lilitolewa Oktoba 29, 2025 na Jeshi la Polisi, lilitangaza amri ya dharura ya kutotoka nje kuanzia saa 12 jioni katika Jiji la Dar es Salaam lenye watu approx 6m+.

Embu tukumbushe leta na source ya katazo la kutokutoka nje nchi nzima likihusisha watu zaidi ya 45m+
Sensa ya 2022 ni watu 65m,miaka mitatu baadae ni watu 68m,leo 70+m,una uhakika ilikua dar tu?
 
Wanabodi

Saa hizi ni usiku mkubwa, wengine wanaita ni usiku wa manane, nilikuwa nasoma bandiko hili humu JF:
PNA: Makamo wa Rais Dr Nchimbi, atamsaidia sana Rais Samia na Taifa, Ni Mkweli Anayeweza Kumweleza Rais Ukweli!. Ili Kumsaidia Aomba Rais Aombewe!, mara ghafla nikaisikia ile Sauti, The Voices from Within
ikiniambia, niwaambie Watanzania wote Wazalendo wa ukweli wa taifa letu, tumuombee Rais Samia afya njema!.

Sauti hiyo imeishia hapo!

Japo hii hoja ya kumuombea Rais Samia, aombewe, sijaianza leo, Wito kwa Watanzania, Wazalendo wa Kweli wa Nchi Yao, na Wenye Mapenzi Mema na Taifa Lao, Tumuombe Rais Samia!, Tuliombee Taifa Letu!, na hapa
Hoja ya Rais Kuombewa: Je, Rais anapaswa kuombewa na viongozi wa dini tuu pekee au na Watanzania wote wenye mapenzi mema na taifa lao? lakini leo ndio nimeambiwa na The Voices From Within!.

Tunamuombea Rais Samia Afya Njema!

Mzee Pasco.
🤣🤣🤣🤣🤣🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
Last kick of a dying horse
 
Pascal Mayalla ni ukweli usiopingika, sisi wote ni viumbe wa udongo ambao hauna uhai isipokuwa roho. Kipindi Dkt Magufuli anafariki, kuna walioumia na kuna waliofurahi (mimi binafsi niliumia sana). Somo tunalojifunza ni kuwa ukiwa na taifa la watu wanao Mtaja Mungu basi ogopa hata kama hauamini hasa linapokuja suala la watu kufa na wewe kusingiziwa hata kama haujafanya moja kwa moja. Kosa mojawapo la Dkt Magufuli kama ilivyo kwa sisi wengi ni kushindwa kabisa kuweka nafasi ya Mungu ktk utendaji wetu. Yaani kudhani tuna akili kuzidi Mungu (ambaye tunamkili ila tunampata 20% ya yeye atatenda). Dkt Samia, Rais wetu kapotoshwa sana na kundi fulani, tumuombee sana, maana nimeona ile Iringa ule haukuwa ujumbe rahisi ule ulikuwa Mkutano wa Nchi na muelekeo wake. Narudia tena Mkutano wa Iringa ulibeba ujumbe mzito sana wa kifaifa.
Eeh sijajua iringa kulikuwa na nn!
Anyway, kwamba Magufuli hakumtanguliza Mungu????
 
Hebu tukumbushane ni ujumbe upi huo wa Iringa?
 
Back
Top Bottom