Voices From Within: Nimeambiwa Watanzania wote Wazalendo wa kweli kwa Taifa, Tumuombee Rais Samia Afya njema

Voices From Within: Nimeambiwa Watanzania wote Wazalendo wa kweli kwa Taifa, Tumuombee Rais Samia Afya njema

Ukisoma hapa utaelewa kinachoendelea! Mama anakata moto wakati wowote.
Huyu Mndengereko ni jirani yangu kimkoa sio Mnafiki, kasema kweli alichosahau ni kwamba Sio UVCCM tu pekee ndio Kuna rushwa ni CCM yote na hayo maumoja yao. Kwani yaliyokuwa yanafanyika kipindi wao kwa wao wanachaguana ndani ya chama kuelekea uchaguzi wanadhani yalikuwa ni SIRI..?
Mchengerwa Kanyooka hapo kama Rula
 
😂😂,watu wako obbssessed sana na kifo,,in case hamjui kila mtu atakufa,na kufa siyo adhabu,kufa ni stage ambayo lazima tuipitie sote,,nduguzanguni wakristo wenzangu,hii obbssession na kifo,eti kwamba ukifa ni kama umepewa adhabu,itawatoka lini?😂,nyerere alikufa,ghandi alikufa,JFK alikufa,Bush alikufa,mkwawa alikufa,Yesu alikufa,nabii samwel alikufa,,kila mtu atakufa,hata Pengo aliedhani ataishi milele na akawa anamtukana mzee Ruxa kila siku naye alikufa,hata mzee Ruxa richa ya wema wake alikufa,Lowasa alikufa,,kila mtu atakufa,paskal mayala atakufa,kitima atakufa,lisu atakufa,,hata heche anaedhani ataishi milele atakufa😂🤗,so ni ujinga wa hali juu sana kuombea mtu afe ,ilihali hata wewe utakufa,,
Nyani ngabu mwenyewe original nasikia alishakufa na akazikwa huko kwao IGAGANULWA,huyu anaepost humu ni imposter,,huyu mayala nae ndo hivyo anazidi kusinyaa,means his shelf life iko ukingoni na anahitaji tumuombee😂🙆🏾‍♂️
Inaweza isiwe Adhabu, lakini Kifo chako kikawa Zawadi kwa wanaobaki. Hivyo watu hawajali juu ya kuwa utaumia ama laa, ila wanachofurahia ni ZAWADI ya kifo chako.
TUISHI katika namna ambayo hatutakuwa na hatia nafsini mwetu hata kama kuna watu watachukulia vifo vyetu kuwa zawadi kwao.
 
Nilitoa maoni yangu humu humu kuwa huyu Mama Samia asigombee tena ile miaka 4.5 ilitosha kabisa kumpa maisha ya amani , furaha ,heshima na mwisho mwema wa kukumbukwa ....... lakini akusikia alidhani maisha ya amani atayapata kwakuwa anapesa na anauongozi , ona sasa Mama wa watu amepoteza furaha , amani , na zaidi atakumbukwa kama kiongozi aliyeondoka na damu ,vilio ,vilema na zaidi sifa mbaya kimataifa na kwa kila sifa mbaya ............kila alipo shauriwa hakusikia , kila walipopaza sauti yeye akusikia ,zaidi alipenda kuwasikiliza machawa na wale wanyonyaji wa taifa ( Jk ,Rostam nk ) bali wale wazalendo kama Warioba , Kitima ,Gwajima ,Tibaijuka ,nk aliwapuuza na zaidi alikuwa akiwajibu kwa dharau na vijembe vya taarabu ..........ona sasa hana furaha kabisa , hana nuru , hajiamini , kapoteza matumaini kwa wananchi wake .....kila siku ni maumivu tu wale machawa waliokuwa wanamsifia wote wamemkimbia kabakia Makonda tu

Fact
 
Kwa bahati mbaya humjui pascal sio mtu wa njaa...
So sad kukwambia kuwa bwana Pascal Mayalla ndiye aliyenimotivate kusoma course alizosoma yeye pia ni home boy na humu JF tokea 2011 maandiko yake mengi nimekuwa mfuatiliaji wake ukiachana na magazetini na huwa nakutana nae mara kadhaa kwenye utafutaji wangu Nina mengi ya kujifunza kwake. Itoshe tu kusema Mzee pasikali Kuna fungu analipigania kimya kimya na siku likitiki hizi nyuzi zake za sasa mtakuwa mnazisoma kimya kimya
 
Issue kama Ile mpaka swala Serengeti watasikia
Tanzania tupo watu 50m+, tangazo lilitolewa Oktoba 29, 2025 na Jeshi la Polisi, lilitangaza amri ya dharura ya kutotoka nje kuanzia saa 12 jioni katika Jiji la Dar es Salaam lenye watu approx 6m+.

Embu tukumbushe leta na source ya katazo la kutokutoka nje nchi nzima likihusisha watu zaidi ya 45m+
 
Back
Top Bottom