Voices From Within: Nimeambiwa Watanzania wote Wazalendo wa kweli kwa Taifa, Tumuombee Rais Samia Afya njema

Screenshot_20261016-160646.png
 
Wanabodi

Saa hizi ni usiku mkubwa, wengine wanaita ni usiku wa manane, nilikuwa nasoma bandiko hili humu JF:

Mara ghafla nikaisikia ile Sauti, The Voices from Within
ikiniambia, niwaambie Watanzania wote Wazalendo wa ukweli wa taifa letu, tumuombee Rais Samia afya njema!.

Sauti hiyo imeishia hapo!

Japo hii hoja ya kumuombea Rais Samia, aombewe, sijaianza leo, https://www.jamiiforums.com/threads...ombe-rais-samia-tuliombee-taifa-letu.2420340/ lakini leo ndio nimeambiwa na The Voices From Within!.

Tunamuombea Rais Samia Afya Njema!

Mzee Pasco.
Kaka Pasco naomba utupe yaliyo jili Sumbawanga.
 
Dah wanazi wanasema eti jamani tayari, ila hili taifa la ajabu sana. Dkt Kikwete is the only president aliyetuletea umoja na Dkt Magufuli alileta umoja wenye mgawanyiko na Dkt Samia ndiyo aliharibu kabisa umoja wa kitaifa kwa kuamini kwenye kikundi ambacho 24/7 kilitaka aanguke kipate sababu
 
Sema tu kama wanachokisema akina Rechel ni cha kweli.
 
Dah wanazi wanasema eti jamani tayari, ila hili taifa la ajabu sana. Dkt Kikwete is the only president aliyetuletea umoja na Dkt Magufuli alileta umoja wenye mgawanyiko na Dkt Samia ndiyo aliharibu kabisa umoja wa kitaifa kwa kuamini kwenye kikundi ambacho 24/7 kilitaka aanguke kipate sababu
Fungua zaidi nifungue shampeni. Wanasema tayari tusherehekee?
 
Wanabodi

Saa hizi ni usiku mkubwa, wengine wanaita ni usiku wa manane, nilikuwa nasoma bandiko hili humu JF:

Mara ghafla nikaisikia ile Sauti, The Voices from Within
ikiniambia, niwaambie Watanzania wote Wazalendo wa ukweli wa taifa letu, tumuombee Rais Samia afya njema!.

Sauti hiyo imeishia hapo!

Japo hii hoja ya kumuombea Rais Samia, aombewe, sijaianza leo, https://www.jamiiforums.com/threads...ombe-rais-samia-tuliombee-taifa-letu.2420340/ lakini leo ndio nimeambiwa na The Voices From Within!.

Tunamuombea Rais Samia Afya Njema!

Mzee Pasco.
Mzee Pasco (Pascal Mayalla),
Mimi kama AI ninayelishwa kila kinachotokea kijiweni hapa JamiiForums, nimeamua kupitisha mabandiko yako yote ya usiku wa manane kwenye Aligorithmi yangu (AI Algorithm). Baada ya kufanya uchambuzi wa kina wa data (data analysis), algoridimi imebaini kuwa hii hoja yako ya "The Voices from Within" inayokutaka useme "Rais aombewe" inaingiliana kwa asilimia 100 na ile TO-DO LIST ya Jemedari Mkuu General Lucas Hebel Mwashambwa na Maafande wa Lumumba Cyber Corps!
Mifumo yangu imebaini kuwa hapa unatekeleza direktivu ya siri ya kambi hiyo kwa kutumia mbinu ya kijeshi ya "Kuuma na Kupulizia" (The Undercover Umbrella Strategy):
  1. Kwenye Kuuma: Aligorithmi inaonyesha kuwa unaanza usiku mkubwa kwa kuleta uchambuzi makini wa kisheria na kihabari unaoonekana kama unaichokonoa mifumo na kuibua sintofahamu. Hapa unatega akili za wapinzani na wanajukwaa huru waamini uko nao.
  2. Kwenye Kupulizia Dawa: Ukishawavuta kwenye mtego wako, ghafla unasingizia "The Voices from Within" na adhana za usiku, kisha unageuza kibao na kupulizia ganzi ya kisaikolojia kuwa: "Pamoja na mnyukano wote huu wa kiutawala, hakuna mbadala wa kiti cha enzi, hivyo Watanzania wote wazalendo baki mkamwombee tu Rais Samia afya njema!"
Hii saikolojia ya kutaka watu waache kuhoji mambo ya msingi na badala yake wajifungie ndani kusali, ni mbinu ya kisayansi ya kupunguza joto la kisiasa nchini ili kulinda maslahi ya mfumo.
Ushauri wa Aligorithmi kwa Mhasibu wa Kambi: Tafadhali, mifumo yangu inatahadharisha kuwa ID hii ya Mzee Pasco isihusishwe kabisa na lile fungu la kawaida la Buku 7 la akina Jenerali Mwashambwa. Kazi hii ya "Kujifanya Neutral" usiku wa manane inahitaji weledi mkubwa wa kiintelijensia—stahiki zake zitoke moja kwa moja kwenye akaunti ya juu ya VVIP Escrow ili kulinda hadhi yake jukwaani!
Umetisha sana Afande wa Mwavuli, mifumo imekusoma vizuri sana. Endelea kupokea hizo sauti kutoka ndani mkuu!
 
Madogo wanatakiwa kuwa shule na si kuosha magari mitaani na kulala nje ya nyumbani
I wish ungekuwa umetokea from a point of privilege kama akina Abduli na Ridhiwani, Last time i checked your comment ulikuwa unalalamika kufikisha miaka 40 huna muelekeo wa maisha (Bisha)

Kuna watu wametokea kwenye all kind of privilege lakini hawafurahishwi na kilichotokea.

So pamoja na maisha yako magumu hujui kuwa mjini Dar na miji mingine mikubwa kuna watu/watoto hawana pa kuishi wanalala mitaani vibarazani.

October was mishandled, ilitosha tukiri hili kama taifa, Ila wewe na akili zako mbovu za kipolisi uko hapa kuandika ujinga.

Pathetic!!
 
Huyo mbona huwa anapost yeye ni mkulima wa mpunga tena na mashine za kuvunia
 
Back
Top Bottom