Voices From Within: Nimeambiwa Watanzania wote Wazalendo wa kweli kwa Taifa, Tumuombee Rais Samia Afya njema

Voices From Within: Nimeambiwa Watanzania wote Wazalendo wa kweli kwa Taifa, Tumuombee Rais Samia Afya njema

Kosa mojawapo la Dkt Magufuli kama ilivyo kwa sisi wengi ni kushindwa kabisa kuweka nafasi ya Mungu ktk utendaji wetu. Yaani kudhani tuna akili kuzidi Mungu (ambaye tunamkili ila tunampata 20% ya yeye atatenda).

Kikwetu, marehemu hasemwi maana ameshamaliza yanayomuhusu. Tumebaki mimi na wewe na hali zetu.

Tusemane sasa...marehemu wetu pamoja na marehemu wote, kwake Mungu aliye nahuruma na ni mwema daima, tunawaombea pumziko lenye amani
 
Naona una tumia mbinu za kivita kujilinda, " pretend to be strong when you are weak and weak when you are strong".
Hapana mkuu, hunijui.

Na haya mambo sijaanza mimi, ni utamaduni wa nyumbani kwetu.

Mshua wangu alimchana Mkapa live kuhusu ubinafsishaji. Kesho yake Magufuli (alivyokuwa waziri) akampigia simu kumpongeza, akimwambia kuwa kasema mambo mengi ambayo wao kina Magufuli wanataka kusema katika cabinet lakini Mkapa anawaburuza kitemi sana.

So it is a long family tradition hata sikuanza mimi.
 
Hapana mkuu, hunijui.

Na haya mambo sijaanza mimi, ni utamaduni wa nyumbani kwetu.

Mshua wangu alimchana Mkapa live kuhusu ubinafsishaji. Kesho yake Magufuli (alivyokuwa waziri) akampigia simu kumpongeza, akimwambia kuwa kasema mambo mengi ambayo wao kina Magufuli wanataka kusema katika cabinet lakini Mkapa anawaburuza kitemi sana.

So it is a long family tradition hata sikuanza mimi.
Hapo sawa mkuu kama unatokea kwenye aristocratic family hakuna wa kukuleteq shida, kila mtu apambane na hali yake.
 
"Ee Mungu Baba, asante kwa zawadi ya uhai uliyotukirimu. Asante kwa maisha yake yote hapa duniani ya huyu mama mpaka sasa. Kupitia yeye na roho yake ametupa kukujia wewe zaidi na kwamba Bwana, sisi tunaposhindwa wewe humalizia. Mapenzi yako juu ya nchi yetu ee Bwana yanatimia na ile saa wala isikawie. Tunakupenda, tunakuabudu, tunakuogopa na kukutii. Wwe uyafutae machozi ya waliopondeka mioyo na kurejesha faraja na tumaini kwa waliopoteza, Jehova-Nisi ukathibitike ukuu wako ulio juu sana ya mwanadamu."
 
Wanabodi

Saa hizi ni usiku mkubwa, wengine wanaita ni usiku wa manane, nilikuwa nasoma bandiko hili humu JF:

Mara ghafla nikaisikia ile Sauti, The Voices from Within
ikiniambia, niwaambie Watanzania wote Wazalendo wa ukweli wa taifa letu, tumuombee Rais Samia afya njema!.

Sauti hiyo imeishia hapo!

Japo hii hoja ya kumuombea Rais Samia, aombewe, sijaianza leo, https://www.jamiiforums.com/threads...ombe-rais-samia-tuliombee-taifa-letu.2420340/ lakini leo ndio nimeambiwa na The Voices From Within!.

Tunamuombea Rais Samia Afya Njema!

Mzee Pasco.
Gudubaiiii
 
Mzee anajituma lakini wapi
Labda chawa waandamizi Tlaatlaah na Lucas Mwashambwa wampe muongozo
Huyo Tlaatlaah sio chawa ni mwenezi wa CCM ngazi ya mkoa. Alishafanya kazi CCM HQ kipindi fulani. Huyu Lucas Mwashambwa ni mtumishi wa umma njaa kali anapambana wakubwa wamuone ila wamemfungia vioo. Faili lake lilifika mahali likawekwa kwenye dustbin, yeye hana habari anaendelea tu kupayuka jukwaani.
 
Back
Top Bottom