Voices From Within: Nimeambiwa Watanzania wote Wazalendo wa kweli kwa Taifa, Tumuombee Rais Samia Afya njema

Voices From Within: Nimeambiwa Watanzania wote Wazalendo wa kweli kwa Taifa, Tumuombee Rais Samia Afya njema

Wanabodi

Saa hizi ni usiku mkubwa, wengine wanaita ni usiku wa manane, nilikuwa nasoma bandiko hili humu JF:

Mara ghafla nikaisikia ile Sauti, The Voices from Within
ikiniambia, niwaambie Watanzania wote Wazalendo wa ukweli wa taifa letu, tumuombee Rais Samia afya njema!.

Sauti hiyo imeishia hapo!

Japo hii hoja ya kumuombea Rais Samia, aombewe, sijaianza leo, https://www.jamiiforums.com/threads...ombe-rais-samia-tuliombee-taifa-letu.2420340/ lakini leo ndio nimeambiwa na The Voices From Within!.

Tunamuombea Rais Samia Afya Njema!

Mzee Pasco.


nilishasema hapa bro kama Samia hata omba msamaha kwa Lissu either public or private hata maliza muda wake hata mkiomba vipi. Mungu hajampa Uraisi aje kuiba kura na kuonea watu bila sababu. Mkifanya maombi ndiyo mtamuarakisha zaidi. Yeye ameshaambiwa kwenye ndoto na anajua cha kufanya amekuwa mbishi stroke sasa inakuja ya pili
 
Wanabodi

Saa hizi ni usiku mkubwa, wengine wanaita ni usiku wa manane, nilikuwa nasoma bandiko hili humu JF:

Mara ghafla nikaisikia ile Sauti, The Voices from Within
ikiniambia, niwaambie Watanzania wote Wazalendo wa ukweli wa taifa letu, tumuombee Rais Samia afya njema!.

Sauti hiyo imeishia hapo!

Japo hii hoja ya kumuombea Rais Samia, aombewe, sijaianza leo, https://www.jamiiforums.com/threads...ombe-rais-samia-tuliombee-taifa-letu.2420340/ lakini leo ndio nimeambiwa na The Voices From Within!.

Tunamuombea Rais Samia Afya Njema!

Mzee Pasco.
Mara ghafla nikaisikia ile Sauti, The Voices from Within
ikiniambia, niwaambie Watanzania wote Wazalendo wa ukweli wa taifa letu, tumuombee Rais Samia afya njema!.

Yaani tumuombee mtu ambaye ameua vijana na hajaomba msamaha, mtu ambaye hataki katiba mpya na rushwa kwa familia yake. Yaani wewe Bro kwa umri wako bado unaunga haya mkono kwa faida ya nani? Uchawa unakusaidia nini kwa umri huu badala ya kupigania haki nyie ndiyo mnaendeleza huu utamaduni wa Tanzania isiyo jielewa maana mnaenda kwa system ya kinafiki.
 
😂😂,watu wako obbssessed sana na kifo,,in case hamjui kila mtu atakufa,na kufa siyo adhabu,kufa ni stage ambayo lazima tuipitie sote,,nduguzanguni wakristo wenzangu,hii obbssession na kifo,eti kwamba ukifa ni kama umepewa adhabu,itawatoka lini?😂,nyerere alikufa,ghandi alikufa,JFK alikufa,Bush alikufa,mkwawa alikufa,Yesu alikufa,nabii samwel alikufa,,kila mtu atakufa,hata Pengo aliedhani ataishi milele na akawa anamtukana mzee Ruxa kila siku naye alikufa,hata mzee Ruxa richa ya wema wake alikufa,Lowasa alikufa,,kila mtu atakufa,paskal mayala atakufa,kitima atakufa,lisu atakufa,,hata heche anaedhani ataishi milele atakufa😂🤗,so ni ujinga wa hali juu sana kuombea mtu afe ,ilihali hata wewe utakufa,,
Nyani ngabu mwenyewe original nasikia alishakufa na akazikwa huko kwao IGAGANULWA,huyu anaepost humu ni imposter,,huyu mayala nae ndo hivyo anazidi kusinyaa,means his shelf life iko ukingoni na anahitaji tumuombee😂🙆🏾‍♂️
 
Pascal Mayalla ni ukweli usiopingika, sisi wote ni viumbe wa udongo ambao hauna uhai isipokuwa roho. Kipindi Dkt Magufuli anafariki, kuna walioumia na kuna waliofurahi (mimi binafsi niliumia sana). Somo tunalojifunza ni kuwa ukiwa na taifa la watu wanao Mtaja Mungu basi ogopa hata kama hauamini hasa linapokuja suala la watu kufa na wewe kusingiziwa hata kama haujafanya moja kwa moja. Kosa mojawapo la Dkt Magufuli kama ilivyo kwa sisi wengi ni kushindwa kabisa kuweka nafasi ya Mungu ktk utendaji wetu. Yaani kudhani tuna akili kuzidi Mungu (ambaye tunamkili ila tunampata 20% ya yeye atatenda). Dkt Samia, Rais wetu kapotoshwa sana na kundi fulani, tumuombee sana, maana nimeona ile Iringa ule haukuwa ujumbe rahisi ule ulikuwa Mkutano wa Nchi na muelekeo wake. Narudia tena Mkutano wa Iringa ulibeba ujumbe mzito sana wa kifaifa.
I'm just thinking why wakakutane Iringa (na iwe habari kubwa) wakati wangeweza kukutana Dar???
 
Dah wanazi wanasema eti jamani tayari, ila hili taifa la ajabu sana. Dkt Kikwete is the only president aliyetuletea umoja na Dkt Magufuli alileta umoja wenye mgawanyiko na Dkt Samia ndiyo aliharibu kabisa umoja wa kitaifa kwa kuamini kwenye kikundi ambacho 24/7 kilitaka aanguke kipate sababu
Magufuli ndo source ya maovu mengi.
Na wewe kipindi cha JPM ulikuwa unajitoa akili sana husikii lolote
But right now akili zimekurudi (time is a good teacher)
 
Ila paskali unatumia Kila aina ya porojo ili mfumo ukuone lakin so sad mfumo kwa sasa upo bize kuchambuana wao kwa wao ndani kwa ndani Yani wanabaganzana wao kwa wao hawataki mtu wa nje au wakuja aingie kuona maugomvi Yao. Pasikali home boy Mimi nakuombea tu Raisi mama Samia kupitia machawa wake nguli Tlaatlaah na makebo Lucas Mwashambwa wakupigie chapuo aangalie namna akupachike hata ka ukuu wa wilaya amtoe yule wa kisarawe dogo Magoti🙏maana unakoelekea Bado kidogo utauvuka ule MSTARI MWEMBAMBA UNAOTENGANISHA UCHAWA NA unanlii.

All in all Kila la kheri home boy kwenye kupigania kacheo ndani ya utawala huu wa SSH angalau na wewe hata migambo wawe wanakupigia saluti si unamuona DC MAGOTI katoto kadogo tu tena kafupi fupi😀😀
Kwa bahati mbaya humjui pascal sio mtu wa njaa...
 
Back
Top Bottom