Voices From Within: Nimeambiwa Watanzania wote Wazalendo wa kweli kwa Taifa, Tumuombee Rais Samia Afya njema

Voices From Within: Nimeambiwa Watanzania wote Wazalendo wa kweli kwa Taifa, Tumuombee Rais Samia Afya njema

Nilitoa maoni yangu humu humu kuwa huyu Mama Samia asigombee tena ile miaka 4.5 ilitosha kabisa kumpa maisha ya amani , furaha ,heshima na mwisho mwema wa kukumbukwa ....... lakini akusikia alidhani maisha ya amani atayapata kwakuwa anapesa na anauongozi , ona sasa Mama wa watu amepoteza furaha , amani , na zaidi atakumbukwa kama kiongozi aliyeondoka na damu ,vilio ,vilema na zaidi sifa mbaya kimataifa na kwa kila sifa mbaya ............kila alipo shauriwa hakusikia , kila walipopaza sauti yeye akusikia ,zaidi alipenda kuwasikiliza machawa na wale wanyonyaji wa taifa ( Jk ,Rostam nk ) bali wale wazalendo kama Warioba , Kitima ,Gwajima ,Tibaijuka ,nk aliwapuuza na zaidi alikuwa akiwajibu kwa dharau na vijembe vya taarabu ..........ona sasa hana furaha kabisa , hana nuru , hajiamini , kapoteza matumaini kwa wananchi wake .....kila siku ni maumivu tu wale machawa waliokuwa wanamsifia wote wamemkimbia kabakia Makonda tu
Wascenge wascenge kama nyinyi mpo wengi, yaani wewe umpe maoni mtu(rais) asigombee na utake yafuatwe!?..acha umaku
 
Wanabodi

Saa hizi ni usiku mkubwa, wengine wanaita ni usiku wa manane, nilikuwa nasoma bandiko hili humu jf https://www.jamiiforums.com/threads...eli-ili-kumsaidia-aomba-rais-aombewe.2418533/

Mara ghafla nikaisikia ile Sauti, The Voices from Within
ikiniambia, niwaambie Watanzania wote Wazalendo wa ukweli wa taifa letu, tumuombee Rais Samia afya njema!.

Sauti hiyo imeishia hapo!

Japo hii hoja ya kumuombea Rais Samia, aombewe, sijaianza leo, https://www.jamiiforums.com/threads...ombe-rais-samia-tuliombee-taifa-letu.2420340/ lakini leo ndio nimeambiwa na The Voices From Within!.

Tunamuombea Rais Samia Afya Njema!

Mzee Pasco.
Mida hii wenzio tuko kwenye deep meditation, we uko na wanasiasa! Mida hii nakuwa macho ila ni maombi bila kushika simu.
 
Nilitoa maoni yangu humu humu kuwa huyu Mama Samia asigombee tena ile miaka 4.5 ilitosha kabisa kumpa maisha ya amani , furaha ,heshima na mwisho mwema wa kukumbukwa ....... lakini akusikia alidhani maisha ya amani atayapata kwakuwa anapesa na anauongozi , ona sasa Mama wa watu amepoteza furaha , amani , na zaidi atakumbukwa kama kiongozi aliyeondoka na damu ,vilio ,vilema na zaidi sifa mbaya kimataifa na kwa kila sifa mbaya ............kila alipo shauriwa hakusikia , kila walipopaza sauti yeye akusikia ,zaidi alipenda kuwasikiliza machawa na wale wanyonyaji wa taifa ( Jk ,Rostam nk ) bali wale wazalendo kama Warioba , Kitima ,Gwajima ,Tibaijuka ,nk aliwapuuza na zaidi alikuwa akiwajibu kwa dharau na vijembe vya taarabu ..........ona sasa hana furaha kabisa , hana nuru , hajiamini , kapoteza matumaini kwa wananchi wake .....kila siku ni maumivu tu wale machawa waliokuwa wanamsifia wote wamemkimbia kabakia Makonda tu
Upo sahihi hata haijulikani alipo yupo kama digidigi, so sad for presidency. Enzi za kampeni aliweka chawa Kila mahali eti mama hadaiwi! Ona sasa wanajaribu kujisafisha kwa entertainment badala hata ya kutatua kero za wananchi wapo busy kutumia hela kuleta watu mashuhuri TZ
 
Kwenye dunia ya leo uwajibikaji ndio jambo bora na la msingi
Mwambie awajibike wala hataweweseka kutaka aombewe

Anawambia watu wamuombee aliowaulia ndugu zao watoto wao wazazi wao ?

Swali kwako : hivi ukiwa chawa lazima ufikiri kama una mtindio wa ubongo?
Maana wengi wenu ni kama hamnazo
Tupo smart kuliko unavyotudhania sema nyie wapinzani mpo kwenye mkwamo wa kifikra hamjataka kumove on bora sisi wajinga tukishaambiwa imekwisha ila kwa nyinyi wapumbavu hambadiliki. Now you know ujinga ni ignorance na upumbavu ni foolishness
 
Gen z ndiyo kizazi pekee chenye uwezo mdogo wa kifikra kuliko kizazi kilichowatangulia
Mmezoea maisha ya kutohoji?
Sasa gen z ndio kizazi bora kuliko chenu na kinahoji sio mambo ya kupelekeshwa hovyo hovyo.

VYOMBO VYA DOLA MALI YA CCM CHACHA
VYOMBO VYA DOLA MALI YA WANANCHI
KABUDI

👆🏼 hapa tukiwaambia nyinyi ni wajinga mtakataa?
 
Back
Top Bottom