Voices From Within: Nimeambiwa Watanzania wote Wazalendo wa kweli kwa Taifa, Tumuombee Rais Samia Afya njema

Voices From Within: Nimeambiwa Watanzania wote Wazalendo wa kweli kwa Taifa, Tumuombee Rais Samia Afya njema

Wanabodi

Saa hizi ni usiku mkubwa, wengine wanaita ni usiku wa manane, nilikuwa nasoma bandiko hili humu jf https://www.jamiiforums.com/threads...eli-ili-kumsaidia-aomba-rais-aombewe.2418533/

Mara ghafla nikaisikia ile Sauti, The Voices from Within
ikiniambia, niwaambie Watanzania wote Wazalendo wa ukweli wa taifa letu, tumuombee Rais Samia afya njema!.

Sauti hiyo imeishia hapo!

Japo hii hoja ya kumuombea Rais Samia, aombewe, sijaianza leo, https://www.jamiiforums.com/threads...ombe-rais-samia-tuliombee-taifa-letu.2420340/ lakini leo ndio nimeambiwa na The Voices From Within!.

Tunamuombea Rais Samia Afya Njema!

Mzee Pasco.
Akiombewa na wanu na INEC inatasha ndugu yangu pascal mayala

Mimi nina mambo yangu kibao ya kuombea na hata mdaa haujawai kunitoshaa
 
Pascal Mayalla ni ukweli usiopingika, sisi wote ni viumbe wa udongo ambao hauna uhai isipokuwa roho. Kipindi Dkt Magufuli anafariki, kuna walioumia na kuna waliofurahi (mimi binafsi niliumia sana). Somo tunalojifunza ni kuwa ukiwa na taifa la watu wanao Mtaja Mungu basi ogopa hata kama hauamini hasa linapokuja suala la watu kufa na wewe kusingiziwa hata kama haujafanya moja kwa moja. Kosa mojawapo la Dkt Magufuli kama ilivyo kwa sisi wengi ni kushindwa kabisa kuweka nafasi ya Mungu ktk utendaji wetu. Yaani kudhani tuna akili kuzidi Mungu (ambaye tunamkili ila tunampata 20% ya yeye atatenda). Dkt Samia, Rais wetu kapotoshwa sana na kundi fulani, tumuombee sana, maana nimeona ile Iringa ule haukuwa ujumbe rahisi ule ulikuwa Mkutano wa Nchi na muelekeo wake. Narudia tena Mkutano wa Iringa ulibeba ujumbe mzito sana wa kifaifa.
Kwamba Magufuli angeweka nafasi ya Mungu asingekufa!!?
 
Palikua na amri ya kutotoka nje

na ndiyo maana hii ni incompetent regime, kuwa na amri ya “kutokutoka nje” haimaanishi ku-shoot kila kilicho mbele yako, hata vitani kwenyewe ambako kuna all out war bado hairuhusiwi ku-shoot women and children, hairuhusiwi ku-shoot innocent people na ndiyo maana kuna neno “war criminals” au wahalifu wa kivita.

a well trained soldier hapigi risasi watoto na wanawake kwa sababu kuna amri ya kutokutoka nje, kwa hiyo mama mja mzito kazidiwa akikimbizwa hospitali atapigwa risasi kwa kuwa amri ya kutokutoka nje?

hii ni incompetent regime na ndiyo maana hata askari hawana nidhamu, lkn mwisho incomoetence ni self destruction na ndicho kinachoendelea …
 
na ndiyo maana hii ni incompetent regime, kuwa na amri ya “kutokutoka nje” haimaanishi ku-shoot kila kilicho mbele yako, hata vitani kwenyewe ambako kuna all out war bado hairuhusiwi ku-shoot women and children, hairuhusiwi ku-shoot innocent people na ndiyo maana kuna neno “war criminals”.

a well trained soldier hapigi risasi watoto na wanawake kwa sababu kuna amri ya kutokutoka nje, kwa hiyo mama mja mzito kazidiwa asikimbizwe hospitali atapigwa risasi kwa kuwa amri ya kutokutoka nje?

hii ni incompetent regime na ndiyo maana hata askari hawana nidhamu, lkn mwishi incomoetence ni self destruction na ndicho kinachoendelea …
Pakisemwa usitoke nje na wabeba silaha basi usitoke,yale yalikua mapinduzi na wabeba silaha hawacheki na kima wakati wa mapinduzi
Martial law,kaa ndani
 
Tupo smart kuliko unavyotudhania sema nyie wapinzani mpo kwenye mkwamo wa kifikra hamjataka kumove on bora sisi wajinga tukishaambiwa imekwisha ila kwa nyinyi wapumbavu hambadiliki. Now you know ujinga ni ignorance na upumbavu ni foolishness
Mimi usiniite mpinzani dadeki zako 😅
Mie sipingi kila kitu na siwezi kusifia kila kitu jinga wewe

Mf: kuna mantiki gani mtu kutaka aombewe?

Unalipwa tsh ngap kwanza kama ni mshiko niunge juhudi maana sio kwa kujizima data hivyo
 
Pakisemwa usitoke nje na wabeba silaha basi usitoke,yale yalikua mapinduzi na wabeba silaha hawacheki na kima wakati wa mapinduzi
Martial law,kaa ndani

hata martial law hakuna kinacho justify shooting of innocent children, a well trained soldier knows that, ukiona askari anapiga risasi na kufwatua risasi hovyo kwa chochote na yoyote huyo siyo “a well trained soldier”, and you dont want that kama kiongozi believe me.

hiyo ni incompetence na incompetence itakuja kumtafuna pia …
 
Hio nataka kukuonyesha mlivyo majinga ndio nchi imefika hapa na hakuna cha maana chochote mlichofanya,
Kijana hii nchi hapo 1990s tu lami ilikua dar-moro-arusha,na manispaa,lami kwa wengi ilikua hadithi ya ajabu, usafiri ilikua shida,dar-mwanza siku tatu
Shule za sekondari zilikua chache, kufaulu la saba wilaya nzima ingekujua,chuo kikuu kimoja udsm, vyombo vya moto vilikua vya serikali,waasia au kanisa,nyumba zilikua za udongo na nyasi
Hizo kauli zenu hakuna mlichofanya wakati umeenda chuo na division 3 ni uhayawani tu unakusumbua
Nakuuliza tena

VYOMBO VYA DOLA NI MALI YA CCM
VYOMBO VYA DOLA MALI YA WANANCHI
Vyombo vya dola ni mali ya dola
kwa mujibu wa katiba nani yuko sahihi
Kati ya KABUDI NA CHACHA?
Kabudi na chacha wote ni Wana CCM
 
hata martial law hakuna kinacho justify shooting of innocent children, a well trained soldier knows that, ukiona askari anapiga risasi na kufwatua risasi hovyo kwa chochote na yoyote huyo siyo “a well trained soldier”, and you dont want that kama kiongozi believe me.

hiyo ni incompetence na incompetence itakuja kumtafuna pia …
Innocent child anafanya nini nje kwenye martial law we fala!?
 
Back
Top Bottom