Amen."Ee Mungu Baba, asante kwa zawadi ya uhai uliyotukirimu. Asante kwa maisha yake yote hapa duniani ya huyu mama mpaka sasa. Kupitia yeye na roho yake ametupa kukujia wewe zaidi na kwamba Bwana, sisi tunaposhindwa wewe humalizia. Mapenzi yako juu ya nchi yetu ee Bwana yanatimia na ile saa wala isikawie. Tunakupenda, tunakuabudu, tunakuogopa na kukutii. Wwe uyafutae machozi ya waliopondeka mioyo na kurejesha faraja na tumaini kwa waliopoteza, Jehova-Nisi ukathibitike ukuu wako ulio juu sana ya mwanadamu."
Utaota ndoto mbaya jamaa. Amka ulale upyaWanabodi
Saa hizi ni usiku mkubwa, wengine wanaita ni usiku wa manane, nilikuwa nasoma bandiko hili humu JF:
PNA: Makamo wa Rais Dr Nchimbi, atamsaidia sana Rais Samia na Taifa, Ni Mkweli Anayeweza Kumweleza Rais Ukweli!. Ili Kumsaidia Aomba Rais Aombewe!, mara ghafla nikaisikia ile Sauti, The Voices from Within
ikiniambia, niwaambie Watanzania wote Wazalendo wa ukweli wa taifa letu, tumuombee Rais Samia afya njema!.
Sauti hiyo imeishia hapo!
Japo hii hoja ya kumuombea Rais Samia, aombewe, sijaianza leo, Wito kwa Watanzania, Wazalendo wa Kweli wa Nchi Yao, na Wenye Mapenzi Mema na Taifa Lao, Tumuombe Rais Samia!, Tuliombee Taifa Letu!, na hapa
Hoja ya Rais Kuombewa: Je, Rais anapaswa kuombewa na viongozi wa dini tuu pekee au na Watanzania wote wenye mapenzi mema na taifa lao? lakini leo ndio nimeambiwa na The Voices From Within!.
Tunamuombea Rais Samia Afya Njema!
Mzee Pasco.
Kwani Magu alikwambia anaumwa ?Kwani kakwambia anaumwa?
Hahaha hii kauli inamtesa sana mama ,wanakujaga andika vitabu na kujifanya hawakumaanisha hivoKifo ni kifo tu - Samia Suluhu Hassan.
Huyu labda aandikiwe, maana kuandika akianza sentensi moja kabla hajaimaliza kashasahau alitaka kuandika nini 😂😂Hahaha hii kauli inamtesa sana mama ,wanakujaga andika vitabu na kujifanya hawakumaanisha hivo
Wanabodi
Saa hizi ni usiku mkubwa, wengine wanaita ni usiku wa manane, nilikuwa nasoma bandiko hili humu JF:
PNA: Makamo wa Rais Dr Nchimbi, atamsaidia sana Rais Samia na Taifa, Ni Mkweli Anayeweza Kumweleza Rais Ukweli!. Ili Kumsaidia Aomba Rais Aombewe!, mara ghafla nikaisikia ile Sauti, The Voices from Within
ikiniambia, niwaambie Watanzania wote Wazalendo wa ukweli wa taifa letu, tumuombee Rais Samia afya njema!.
Sauti hiyo imeishia hapo!
Japo hii hoja ya kumuombea Rais Samia, aombewe, sijaianza leo, Wito kwa Watanzania, Wazalendo wa Kweli wa Nchi Yao, na Wenye Mapenzi Mema na Taifa Lao, Tumuombe Rais Samia!, Tuliombee Taifa Letu!, na hapa
Hoja ya Rais Kuombewa: Je, Rais anapaswa kuombewa na viongozi wa dini tuu pekee au na Watanzania wote wenye mapenzi mema na taifa lao? lakini leo ndio nimeambiwa na The Voices From Within!.
Tunamuombea Rais Samia Afya Njema!
Mzee Pasco.
Naunga mkono hoja, kwasababu baada yake ni yeye ndie anafuata!Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amesema kuwa Watanzania wanapopata nafasi ya kuwaombea viongozi wa nchi, wanapaswa kuwaombea watu wawili pekee, ambao ni Rais Samia Suluhu Hassan na yeye mwenyewe.
Na pili mnikumbuke. Haleluya. Mnikumbuke mimi shauku yangu siku moja mle bungeni mle yalipuke mapepo
Kwa jinsi anavochukiwa huyu kijana sijui alikosea watu wapiNaunga mkono hoja, kwasababu baada yake ni yeye ndie anafuata!
P
Umemombea ili aendelee kuua watu wengine? Paskali kuna shida gani umepata?Wanabodi
Saa hizi ni usiku mkubwa, wengine wanaita ni usiku wa manane, nilikuwa nasoma bandiko hili humu JF:
PNA: Makamo wa Rais Dr Nchimbi, atamsaidia sana Rais Samia na Taifa, Ni Mkweli Anayeweza Kumweleza Rais Ukweli!. Ili Kumsaidia Aomba Rais Aombewe!, mara ghafla nikaisikia ile Sauti, The Voices from Within
ikiniambia, niwaambie Watanzania wote Wazalendo wa ukweli wa taifa letu, tumuombee Rais Samia afya njema!.
Sauti hiyo imeishia hapo!
Japo hii hoja ya kumuombea Rais Samia, aombewe, sijaianza leo, Wito kwa Watanzania, Wazalendo wa Kweli wa Nchi Yao, na Wenye Mapenzi Mema na Taifa Lao, Tumuombe Rais Samia!, Tuliombee Taifa Letu!, na hapa
Hoja ya Rais Kuombewa: Je, Rais anapaswa kuombewa na viongozi wa dini tuu pekee au na Watanzania wote wenye mapenzi mema na taifa lao? lakini leo ndio nimeambiwa na The Voices From Within!.
Tunamuombea Rais Samia Afya Njema!
Mzee Pasco.
Ni wivu tuu dhidi ya mafanikio yake!, Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho dhidi ya mafanikio yake! Makonda wapuuze,Kwa jinsi anavochukiwa huyu kijana sijui alikosea watu wapi
Unajua Kuna watu kwenye jamii wanachukiwa coz walipewa script inayochukiza waicheze yaani wawe kama majambazi wakuu makatili kwenye movie!!!Kwa jinsi anavochukiwa huyu kijana sijui alikosea watu wapi
Huyo Makonda ndiye aliyesema kuwa watu wanalalamika kwa sababu hawapo jikoni? Au ni mwingine? Huyu ndiye Makonda anayeleta wachezaji wa stars wa nje, kwa pesa zake (Kwa kadiri ya maelezo ya Gerson Msigwa). Huyu ndiye Makonda ambaye anateka, kuua na kupiga risasi wananchi wasio na hatia (Ujue kuna nchi amekataliwa kwenda na moja ya makosa yake ni kutesa, kupoteza na kuua), Wewe unamtetea......Hivi una shida gani wewe? Wakati mwingine punguza utani kwenye mambo muhimu yanayohusu taifa letu. Acha uchawa na kujipendekeza, sijui una shida gani? Makonda anayeendesha magari ya zaidi ya Mabilioni ya shilingi, anapata wapi hizo pesa?Ni wivu tuu dhidi ya mafanikio yake!, Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho dhidi ya mafanikio yake! Makonda wapuuze,
Mafanikio yenyewe yanayoonewa wivu ni haya Mafanikio ya Makonda ni Uthibitisho Wa Jiwe walilolikataa Waashi litafanywa kuwa Jiwe Kuu la Pembeni, na jinsi Mungu alivyo wa ajabu!, inaweza ikotokea, 2030, Mungu akamleta usiompenda!, na ikitokea akawa!, kiukweli atawanyoosha kama JPM alivyo wanyoosha!, kwasababu kwa hapa tuu alipo, Nikimwangalia Makonda, mambo anayoyafanya namuona kama Magufuli, na nikajiuluza
Bado kuna ubishi kuwa hiki ni chuma? Je, chuma hiki ni chuma kingine ila ni kama kile au chuma hiki ni kile kile kimerejea kivingine?, hivyo nimewaandaa kabisa watu kisaikolojia kuhusu 2030
Huyu Ndiye Makonda Ninaye Mjua na Niliye Mzungumza Humu!. Hapapasi, Hamung'unyi, Hakopeshi, ni Ananyoosha Tuu Kama Rula!. Kama ni YEYE, na Iwe! .l
P
Ataombewa na masheikh ubwabwa kama Mwaipopo inatoshaWanabodi
Saa hizi ni usiku mkubwa, wengine wanaita ni usiku wa manane, nilikuwa nasoma bandiko hili humu JF:
PNA: Makamo wa Rais Dr Nchimbi, atamsaidia sana Rais Samia na Taifa, Ni Mkweli Anayeweza Kumweleza Rais Ukweli!. Ili Kumsaidia Aomba Rais Aombewe!, mara ghafla nikaisikia ile Sauti, The Voices from Within
ikiniambia, niwaambie Watanzania wote Wazalendo wa ukweli wa taifa letu, tumuombee Rais Samia afya njema!.
Sauti hiyo imeishia hapo!
Japo hii hoja ya kumuombea Rais Samia, aombewe, sijaianza leo, Wito kwa Watanzania, Wazalendo wa Kweli wa Nchi Yao, na Wenye Mapenzi Mema na Taifa Lao, Tumuombe Rais Samia!, Tuliombee Taifa Letu!, na hapa
Hoja ya Rais Kuombewa: Je, Rais anapaswa kuombewa na viongozi wa dini tuu pekee au na Watanzania wote wenye mapenzi mema na taifa lao? lakini leo ndio nimeambiwa na The Voices From Within!.
Tunamuombea Rais Samia Afya Njema!
Mzee Pasco.
Ndo maana Kiranga alikwambia live ni either mnafiki sana au mjinga (yote si matusi ni kama husema mtu huyu mfupi au mrefu) mtu ambae ndie mtuhumiwa mkuu wa utekaji ,ulawiti,lissu kamtaja live ndie alitufanyia baba yetu wa taifa (Tundu lissu) awe kilema hadi leo,ndiye anaongoza kwa kuwa na mali zisizoshabihiana na hata angekuwa waziri mika 30 ,uahahidi upo alitumia ukuu wa mkoa kunyanganya nyumba ya GSM na kesi alishindwa,marekani haruhusiwi kuonekana kwa kile walichojithibitishia "KUWANYIMA WATU HAKI YA KUISHI " Na barua iliandikwa grobally nchi nyingi ananuka damu hawamtaki,hapo sijaweka kutekwa kwa mo ,kifo cha ruge etcNi wivu tuu dhidi ya mafanikio yake!, Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho dhidi ya mafanikio yake! Makonda wapuuze,
Mafanikio yenyewe yanayoonewa wivu ni haya Mafanikio ya Makonda ni Uthibitisho Wa Jiwe walilolikataa Waashi litafanywa kuwa Jiwe Kuu la Pembeni, na jinsi Mungu alivyo wa ajabu!, inaweza ikotokea, 2030, Mungu akamleta usiompenda!, na ikitokea akawa!, kiukweli atawanyoosha kama JPM alivyo wanyoosha!, kwasababu kwa hapa tuu alipo, Nikimwangalia Makonda, mambo anayoyafanya namuona kama Magufuli, na nikajiuluza
Bado kuna ubishi kuwa hiki ni chuma? Je, chuma hiki ni chuma kingine ila ni kama kile au chuma hiki ni kile kile kimerejea kivingine?, hivyo nimewaandaa kabisa watu kisaikolojia kuhusu 2030
Huyu Ndiye Makonda Ninaye Mjua na Niliye Mzungumza Humu!. Hapapasi, Hamung'unyi, Hakopeshi, ni Ananyoosha Tuu Kama Rula!. Kama ni YEYE, na Iwe! .l
P
Ukisha cheza scriprt ya kuua wadogozetu na sisi tuache tucheze script yetu ya kukuchukiaUnajua Kuna watu kwenye jamii wanachukiwa coz walipewa script inayochukiza waicheze yaani wawe kama majambazi wakuu makatili kwenye movie!!!
Mfano hili la October 29,Kuna chuki na lawama kibao,lakini ukute huo mchoro alichorewa MTU Fulani utokee kwa kujua Wala kuto kujua mradi chama kishike dola!!
Nilishaacha mihemko ya chuki za watu hasa viongozi coz maisha wanayoishi ya script walizochorewa na sio uhalisia wa maisha yao!!!inawezekana wakiwa huko sirini Huwa wanalia na kujuta sana lakini hawana namna wameingizwa kwenye mfumo huo na hawana namna ya kufanya kuepuka reputation Yao ya kiroho isianguke na kuwaumiza!
Makonda ni mmoja kati ya wengi kwenye hayo!!
JF ni user generated forum, ikiongozwa na freedom of opinion, kila mtu humu yuko free kutoa mawazo yake yoyote, hatupangiani, kama wengine mnachagua watu wa kuwaongelea, huo ni uhuru wenu, hamna mamlaka ya kupangia wengine, nani wamuongelee, na nani wasimuongelee, tusipangiane!,Mtu wa level ile wenzio tumechagua kutomuongelea .