Voices From Within: Nimeambiwa Watanzania wote Wazalendo wa kweli kwa Taifa, Tumuombee Rais Samia Afya njema

Kusema ukweli sipendi kusikia taarifa ya afya mbaya au kifo kuhusiana na mwanachama yeyote kuanzia chadema au ccm, sipendi jinsi samia anavyoongoza lakini haiondoi ukweli kuwa bado namtakia afya njema regardless ya matendo yake, akiamua kujiuzulu itakuwa vyema ila siombei afe, awe na maisha marefu, mwisho wa siku wote ni binadamu, na Mungu ndiyo muamuzi

Kwako nguli wa Habari

Anko Pasco
 
Ila paskali unatumia Kila aina ya porojo ili mfumo ukuone lakin so sad mfumo kwa sasa upo bize kuchambuana wao kwa wao ndani kwa ndani Yani wanabaganzana wao kwa wao hawataki mtu wa nje au wakuja aingie kuona maugomvi Yao. Pasikali home boy Mimi nakuombea tu Raisi mama Samia kupitia machawa wake nguli Tlaatlaah na makebo Lucas Mwashambwa wakupigie chapuo aangalie namna akupachike hata ka ukuu wa wilaya amtoe yule wa kisarawe dogo Magoti🙏maana unakoelekea Bado kidogo utauvuka ule MSTARI MWEMBAMBA UNAOTENGANISHA UCHAWA NA unanlii.

All in all Kila la kheri home boy kwenye kupigania kacheo ndani ya utawala huu wa SSH angalau na wewe hata migambo wawe wanakupigia saluti si unamuona DC MAGOTI katoto kadogo tu tena kafupi fupi😀😀
 
ikiniambia, niwaambie Watanzania wote Wazalendo wa ukweli wa taifa letu, tumuombee Rais Samia afya njema!.
Uzalendo ni kwa mtu au kwa nchi??

Kwa sasa nchi imepoteza Dira sababu ya utawala mbovu na matendo mengi ya ajabu mno..


Tanzania yazidi kuchafuka duniani: Hati ya Mashtaka Marekani yatuhumu nyaraka za manunuzi ya silaha haramu zilitoka Tanzania kwa rushwa | JamiiForums Tanzania https://share.google/PfGvOCRKA7MmjWY5j
 
Iwapo itanilazimu kufanya hivyo bora nimuombee Nchimbi. Mpambanaji ambaye nitamuombea pasipo na kinyongo ni Tundu Lisuu tu
 
Lolote baya limkute.
 
Amen 🙏
 
Mkutano upi huo wa Iringa
 
Akiombewa na mke mwenza/mjane mwenzie, Abdul, Wanu , Mchengerwa na familia yako wewe Pascal inatosha.

Wengine hapa tutaomba augue na apitie mateso ya kujiuguza [either cancer au autoimmune disease] na kifo cha mateso kama wale vijana waliouwawa October 29.

Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…