Voices From Within: Sultan Jamshid bin Abdullah Al Said atafurahi zaidi kama atarudi Zanzibar. Rais Samia, Rais Mwinyi, sameheni, utabarikiwa sana!

Oman walikataa kumpokea sababu waliogopa angewapindua...

Babu yake aliongoza Zanzibar na Oman, alipofariki wanae wawili wakamrithi. Mkubwa akatawala Zanzibar na mdogo akatawala Oman... Kumkubali mtoto wa mkubwa kuingia Oman angeweza kupindua na kujigeuza kuwa sultan na badae angekuja kupindua zanzbar
 
Mkuu Seyyid Baraghash upo?, Asalaam Aleykum, nimemuombea Jamshid msamaha, aruhusiwe kurejea Zanzibar Voices From Within: Sultan Jamshid bin Abdullah Al Said Atafurahi Zaidi, Kama Ata... Zanzibar!, Rais Samia, Rais Mwinyi, Sameheni, Mtabarikiwa Sana!.
Nawatakia maadhimisho mema ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
P
 
Wamsamehe kwani ana kosa lipi?

Labda useme wao wamuombe Jamshid msamaha.
 
Wamsamrhe kwani ana kosa lipi?

Labda useme wao wamuombe msamaha.
Waliopindua walipindua kwasababu ya kukosewa, japo mkosaji sio Sultan kwasababu Zanzibar ilikuwa ni nchi ya constitutional monarch, wapinduzi waliamini Sultan alihusika ndio wakamtafuta roho yake.

Tangu pale Zanzibar imeendelea kuwa ni nchi ya kimapinduzi ikiongizwa na SMZ chini ya slogan ya Mapinduzi Daima.

Wamemseme kuwa sasa yuko huru kurejea Zanzibar, hakuna tena mtu anayeitaka roho yake.

Hata kama hatahitaji kurejea Zanzibar kwasababu Oman ni second home kwake ndio his ancestors land, lakini wakimtangazia amnesty watabarikiwa sana!.
P
 
Hakuna yeyote aliyeitaka Roho ya Jamshid. Wangeitaka wangemuuwa hata huko UK.

Hakuwa na sababu ya kurudi, Jamshid hakuwa kwenye siasa.
 
Mmh hii kali sasa!! Tumsamehe sultani au Yeye atuombe msamaha sisi kwa kuwafanya babu zetu vinyago
Siye yeye ni mababu zake!. Yeye alipotawala utumwa ulikuwa umekwisha pigwa marufuku.
Sultani anakumbukwa tena kwa mara ya kwanza basi ujue maisha yamekuwa magumu sana huko zenj
Hapana, Zanzibar maisha ni mazuri kuliko bara.
Hawa si ndio walioleta mambo ya LGBT zanzibar kwa wakati huo na kuyarasimisha kabisa
Hapana, haya mambo yameletwa na wazungu, japo...
Mkuu Pascal,Kwani huelewi kwanini mambo ya kinyume na maumbile yameshamiri zanzibar? Chanzo ni hao akina Sultani
Kiukweli hili silielewi!.
Huyo sultani alipaswa kuwaomba msamaha Wanzanzibar kama utawala wa Kibelgiji huko Congo
Msamaha uwe ni kwa mababu zake lakini siye yeye!.
Tatizo la zanzibar la kimaadili hata Rais Samia alishaliongea kuwa kuna shida kubwa zanzibar ya LGBT ingawa hakutaja chanzo kwa kuheshimu diplomasia
Duh...!
Cha kushangaza na kusikitisha unakutana na Msukuma huko Zanzibar mweusi kama mkaa lakini anajifanya na yeye ni Mwarabu na kudharau Wasukuma wenzake wa Shinyanga na Mwanza
Duh...!
Lakini kwa kuwa wenyewe wamesahau mateso ya Sultani na bado wameendeleza LGBT hakuna haja ya Sultani kutuomba msamaha bali akaribishwe tu kuendeleza alipoachia kwenye LGBT
Duh...!.
Ikitokea kura ya maoni na ukawauliza Wazanzibari wanataka wawe Oman au Tanganyika watachagua Oman
Duh...!
Hawa unaowaita weusi wajukuu wamsamehe Sultani kwanza ndio wanakanda vichogo vionekane kama Sultani

Unakutana na mtu amekanda chogo aonekane kama Sultani ,
Duh...!
P
 
Wamsamehe kwani ana kosa lipi?

Labda useme wao wamuombe Jamshid msamaha.
K-vant ya Jana hadi leo, duh haijaisha kichwani... 😁
-kwa kuwa ni Mwarabu mwenzenu japo alizikejeli qur'an na kuzitupa baharini si mbaya tukamsamee pia tukamjengea kasri kuubwa, akawepo hapo kama statue, au mwaonaje wana wa kubaz?
 


Naona sasa Umekuwa msemaji wa Jemshid
 

Itakuwa ulifanyiwa hayo mambo ya LGBT usingekuja kwa hasira hizi
 


YANAYOTUFIKA CHINI YA MISULTANI YA KIAFRIKA



View: https://youtu.be/gmxrblkDnbc
 


SULTANI YUPI ALIYAFANYA HAYA ?? LABDA HII MISULTANI YA KIAFRIKA


View: https://youtu.be/gmxrblkDnbc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…