Escrowseal1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2014
- 4,618
- 4,605
kaka copy and paste yako uwe unasoma vema kwanza usikurupuke kuja kuwadanganya watanzania. serikali ya uingereza haikumpa pound 1,000 bali pound 100,000. kama si kukurupuka ni woga wa namba ukiwa shule. Sultani wa mchongo hakuhamia Modest hotel kama jina ila gazeti ulilocopy linapasha kuwa alihama toka hotel karibu na Buckingham palace kwenda hotel fulani modest likimaanisha moderate isyo na hadhi kama alikotoka . na kuongezea pesa aliyopewa aliweza kununua semi detached house sasa hiyo pound book uliyosema sina uhakika alifanyia nini.labda kununua kahawa.
Rais Salmin Amoul aliwahi kumsamehe kuwa anaweza kurudi Zanzibar kama Raia wa kawaida na si Sultan sasa mzee Mayala ni msamaha gani wa maridhiano unaomwombea Sultan .
Rais Salmin Amoul aliwahi kumsamehe kuwa anaweza kurudi Zanzibar kama Raia wa kawaida na si Sultan sasa mzee Mayala ni msamaha gani wa maridhiano unaomwombea Sultan .