Jagina
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 8,428
- 4,022
Wanzilishi wa sunna hii kwao isiwe capital, capital ije kuwa Israel. 😁ajabu hii, waarabu ndio chanzo cha kuwachezesha wenzao "kibao kata"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanzilishi wa sunna hii kwao isiwe capital, capital ije kuwa Israel. 😁ajabu hii, waarabu ndio chanzo cha kuwachezesha wenzao "kibao kata"
Duuuh.... Is this Pascal Mayalla a real human creature or jini? Or system man? Whatever he posts as prediz becomes real... lol.. let's welcome the sultan in the next two weeks...Wanabodi,
Baada ya kuisoma hii story hapa chini, nimeisikia sauti ya ndani yangu, the voices from within ikiniambia huyu Sultan Jamshid bin Abdullah Al Said, ambaye alizaliwa tarehe 16 Septemba 1929 na kuwa Sultan wa Zanzibar baada ya kifo cha babake, Abdullah Bin Khalifa mwezi Julai 1963, sasa akiwa na umri wa miaka 95, sauti hiyo imeniambia huyu Sultani anatamani sana kurejea Zanzibar, kuja kukamilisha ile safari..., na kuwa atafurahi sana, na atakuwa na amani sana, iwapo kama ile siku, itamkuta akiwa Zanzibar mahali alipozaliwa!.
Natoa wito kwa Rais Samia, na rais Mwinyi, kufanya application ya zile 4R za Rais Samia kwa kumsamehe, kumjengea mazingira wezeshi arejee Zanzibar, ili ile siku yake ikifika, ifike ikimkuta akiwa Zanzibar, mahali alipozaliwa!.
Huko nyuma niliandika Dear Mama, Can you Offer An Unconditional Amnesty to All Zanzibaris Waliokimbia After Revolution, Incl Sultan, Be Free to Return & Start Afresh?
Hili likifanyika, then lifuatiwe na kuundwa kwa truth and reconciliation commission kama ile ya South Africa, Rais Samia na rais Mwinyi, mtabarikiwa sana for healing machungu ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, na Zanzibar itabarikiwa sana!, ambapo wapinzani wakishinda, watapewa. Kila mtu mwenye akili timamu anajua kuwa wapinzani huwa wanashinda lakini hawapewi kwa uoga wa kitakachofuata!, hata uchaguzi wa 2015 ni CUF ilishinda Zanzibar kidume akapindua meza, Elections 2015 - Imethibitishwa pasi na shaka kuwa ni kweli kabisa, Zanzibar, Maalim Seif na CUF ndio walioshinda
The story ni C&P from BBC Swahili.
Jamshid bin Abdullah Al Said: Fahamu aliko Sultani wa mwisho wa Zanzibar
29 Septemba 2020
Imeboreshwa 12 Januari 2021
![]()
CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES: Maelezo ya picha, Jamshid bin Abdullah Al Said
Rejea za Mwandishi kuhusu Zanzibar
Ombi kwa Rais Samia ni kufuatia Ombi hili Watanzania tumshukuru Mungu kupata mtu mwenye moyo wa kusamehe. Je, tumuombe asamehe tu bila kuombwa msamaha au akomae naye? ambapo Rais Samia alimsamehe mtu bila kuombwa msamaha. Hivyo anaweza kabisa kumsamehe Sultan Jamshid bila hitaji la Sultan huyo kuomba msamaha.
NB. Kuna gaps nimeziacha, ili ujumbe huu uwafikie wale tuu wenye uwezo to read in between the lines!.
Nawatakia Mapumziko mema ya maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Paskali.
Sauti hii imejibiwa Mapendekezo 10 Muhimu, Ujio Sultan wa Zanzibar, apewe Ving'ora, Kasri, atangaze Utalii,Mshindi wa Kweli Zanzibar 2025 Atangazwe To Heal Zanzibar!。Wanabodi,

Maneno ya busara sana haya。Makaburu walibagua, walitesa , waliua na kuwafunga akina Mandela vifungo vya maisha.
Mwisho blacks under Mandela walitokomeza ubaguzi, wakasamehe kwani walichopigania ni Africa Kusini yenye kuheshimu haki sawa kwa watu wote . Alihamasisha msamaha kwa makaburu bila kulipiza kisasi.
Hivyo kusahau mabaya ya waarabu na kumkubali Sultani arudi ni jambo la afya saana.
Mkuu Mpaji, Mpaji Mungu ,nikipenyezewa huwa nasema nimepenyezewa kama hii Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli lakini hizi voices from within,ni sauti za kweli kutoka ndani yangu na mfano mzuri ni huu Voices from within: Nimesikia sauti, Dr. Tulia Ackson ndiye Spika ajaye! Sauti hiyo imenieleza Ndugai, japo atatamani aendelee lakini...Mkuu Pascal Mayalla itakua ulipenyezewa za ndani ukaja kutuandaa kisaikolojia
Upo mbele ya wakatiMkuu Mpaji, Mpaji Mungu ,nikipenyezewa huwa nasema nimepenyezewa kama hii
P
Hiyo nguvu unayo peke yako wengine hawana? au kuna namna huwa unapata taarifa?Mkuu Mpaji, Mpaji Mungu ,nikipenyezewa huwa nasema nimepenyezewa kama hii Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli lakini hizi voices from within,ni sauti za kweli kutoka ndani yangu na mfano mzuri ni huu
P
Kila mtu anayo,ila wengi hawajitambui,Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?Hiyo nguvu unayo peke yako wengine hawana? au kuna namna huwa unapata taarifa?
Kama rais wenu ana moyo wa kusamehe kama ni kweli na siyo kusukumwa na kuabudia watasha, basi na muingereza arejee aendelee kufanya vitu vyake. Hawa akina Jamshid ni wakoloni waliouza watu wetu wengi utumwani. Tungekuwa nchi kama za kwao, angefika na kukamatwa na kunyongwa hapo hapo lau alipie madhambi yake. Kweli CCM imeishiwa kiasi hiki. Maybe, huu nao ni uwekezaji wa kikumbaff kama tulivyozoea. Si ajabu Deep Weed walitangulia kumfagilia habithi huyu. Akija asite mguu Bara habithi huyu.Wanabodi,
Baada ya kuisoma hii story hapa chini, nimeisikia sauti ya ndani yangu, the voices from within ikiniambia huyu Sultan Jamshid bin Abdullah Al Said, ambaye alizaliwa tarehe 16 Septemba 1929 na kuwa Sultan wa Zanzibar baada ya kifo cha babake, Abdullah Bin Khalifa mwezi Julai 1963, sasa akiwa na umri wa miaka 95, sauti hiyo imeniambia huyu Sultani anatamani sana kurejea Zanzibar, kuja kukamilisha ile safari..., na kuwa atafurahi sana, na atakuwa na amani sana, iwapo kama ile siku, itamkuta akiwa Zanzibar mahali alipozaliwa!.
Natoa wito kwa Rais Samia, na rais Mwinyi, kufanya application ya zile 4R za Rais Samia kwa kumsamehe, kumjengea mazingira wezeshi arejee Zanzibar, ili ile siku yake ikifika, ifike ikimkuta akiwa Zanzibar, mahali alipozaliwa!.
Huko nyuma niliandika Dear Mama, Can you Offer An Unconditional Amnesty to All Zanzibaris Waliokimbia After Revolution, Incl Sultan, Be Free to Return & Start Afresh?
Hili likifanyika, then lifuatiwe na kuundwa kwa truth and reconciliation commission kama ile ya South Africa, Rais Samia na rais Mwinyi, mtabarikiwa sana for healing machungu ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, na Zanzibar itabarikiwa sana!, ambapo wapinzani wakishinda, watapewa. Kila mtu mwenye akili timamu anajua kuwa wapinzani huwa wanashinda lakini hawapewi kwa uoga wa kitakachofuata!, hata uchaguzi wa 2015 ni CUF ilishinda Zanzibar kidume akapindua meza, Elections 2015 - Imethibitishwa pasi na shaka kuwa ni kweli kabisa, Zanzibar, Maalim Seif na CUF ndio walioshinda
The story ni C&P from BBC Swahili.
Jamshid bin Abdullah Al Said: Fahamu aliko Sultani wa mwisho wa Zanzibar
29 Septemba 2020
Imeboreshwa 12 Januari 2021
![]()
CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES: Maelezo ya picha, Jamshid bin Abdullah Al Said
Rejea za Mwandishi kuhusu Zanzibar
Ombi kwa Rais Samia ni kufuatia Ombi hili Watanzania tumshukuru Mungu kupata mtu mwenye moyo wa kusamehe. Je, tumuombe asamehe tu bila kuombwa msamaha au akomae naye? ambapo Rais Samia alimsamehe mtu bila kuombwa msamaha. Hivyo anaweza kabisa kumsamehe Sultan Jamshid bila hitaji la Sultan huyo kuomba msamaha.
NB. Kuna gaps nimeziacha, ili ujumbe huu uwafikie wale tuu wenye uwezo to read in between the lines!.
Nawatakia Mapumziko mema ya maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Paskali.
Huu ni upuuzi kabisa, yaani Mkoloni aliyewafanya watu watumwa, asamehe arudi kuishi sehemu aliyonyanyasa watu na kuwaona kama mbwa?Wanabodi,

Basi wenye vipawa hivi mpo wachache...huu uzi nimeusoma mda mrefu sana hadi ishu ya kumshitukia ..... wako alipotoka kwenye sherehe nadhani ni kwenye huu uzi uliweka kama skosei.Kila mtu anayo,ila wengi hawajitambui,Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?
P
Tupe ya mshindi kati ya lissu na mboweKila mtu anayo,ila wengi hawajitambui,Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?
P
Mshindi nilimtangaza hapa Kuelekea 2025 - Baada ya Mbowe kutetea uenyekiti wake, masikini Tundu Lissu, kwishney! Je, atabaki ama atatimka? Lissu Cool down, usiitishe Press kumjibu Mbowe!Tupe ya mshindi kati ya lissu na mbowe
watu wote wanavyo ila kujitambua ndio issueBasi wenye vipawa hivi mpo wachache...
Kama kawaida ya mtu mweusi. Atashika bunduki ataua mweusi mwenzake atatajwa Marekani.Mmh hii kali sasa!! Tumsamehe sultani au Yeye atuombe msamaha sisi kwa kuwafanya babu zetu vinyago
Sultani anakumbukwa tena kwa mara ya kwanza basi ujue maisha yamekuwa magumu sana huko zenj
Hawa si ndio walioleta mambo ya LGBT zanzibar kwa wakati huo na kuyarasimisha kabisa
Mkuu Pascal,Kwani huelewi kwanini mambo ya kinyume na maumbile yameshamiri zanzibar? Chanzo ni hao akina sultani
Huyo sultani alipaswa kuwaomba msamaha wanzanzibar kama utawala wa kibelgiji huko kongo
Tatizo la zanzibar la kimaadili hata Rais Samia alishaliongea kuwa kuna shida kubwa zanzibar ya LGBT ingawa hakutaja chanzo kwa kuheshimu diplomasia
Cha kushangaza na kusikitisha unakutana na msukuma huko zanzibar mweusi kama mkaa lakini anajifanya na yeye ni mwarabu na kudharau wasukuma wenzake wa shinyanga na mwanza
Lakini kwa kuwa wenyewe wamesahau mateso ya sultani na bado wameendeleza LGBT hakuna haja ya sultani kutuomba msamaha bali akaribishwe tu kuendeleza alipoachia kwenye LGBT
Ikitokea kura ya maoni na ukawauliza wanzanzibar wanataka wawe Oman au Tanganyika watachagua Oman ,
Hawa unaowaita weusi wajukuu wamsamehe sultani kwanza ndio wanakanda vichogo vionekane kama sultani
Unakutana na mtu amekanda chogo aonekane kama sultani ,
Naanza kukufatilia kwa jicho la tatu...wewe kama si mtu wa mfumo basi una kitu kikubwa sana (nguvu za kiroho) ndani yako.Mkuu Mpaji, Mpaji Mungu ,nikipenyezewa huwa nasema nimepenyezewa kama hii Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli lakini hizi voices from within,ni sauti za kweli kutoka ndani yangu na mfano mzuri ni huu Voices from within: Nimesikia sauti, Dr. Tulia Ackson ndiye Spika ajaye! Sauti hiyo imenieleza Ndugai, japo atatamani aendelee lakini...
na kubwa kuliko ni HII
P
Karibu anzia hapa Thread '"Ombeni Mtapewa", "Tafuteni Mtapata", "Bisheni Hodi Mtafunguliwa" Je, Wajua Kuna "Kauli" na "Kauli Umba" Ambazo Huumba? Shuhudia' "Ombeni Mtapewa", "Tafuteni Mtapata", "Bisheni Hodi Mtafunguliwa" Je, Wajua Kuna "Kauli" na "Kauli Umba" Ambazo Huumba? ShuhudiaNaanza kukufatilia kwa jicho la tatu...wewe kama si mtu wa mfumo basi una kitu kikubwa sana (nguvu za kiroho) ndani yako.