Mkuu nimekupata,
Japo suala la barabara za Japani Ni hoja Japo haina mashiko,
Kama ni hivyo kwa nini wasitengeneze magari kwa External market? Zenye speed wanazotaka vijana?
Mbona LAND CRUISER V8 zina speed mpaka 240km/hr je hazitumiki Japan? au hazikutengenezwa kwa Internal market?
Mara nyingi nasikiaga kuwa Mjapani alitengeneza CROWN, ALTEZA, BREVIS kwa ajili ya performance na kushindana mjerumani sokoni.
Mimi naona factor za barabra siyo mashiko sana Ila Technology za magari,
Ndiyo maana mjapani ili atengeneze gari yenye speed lazima aweke Engine kubwa mpaka CC 4,000 na Bado unakuta mjerumani mwenye 1,500 Cc au 2,000 Cc anamkalisha mbaya.
Hata hayo magari mnayoyasema huku kwetu Hamna ndiyo maana Reference mpaka tuzitafute YOUTUBE n.k huenda Ni magari yaliyotengenezwa miaka ya karibuni wakati mjerumani tangu miaka ya 90 anaupiga mwingi.