Volkswagen Polo Gti huyu mnyama acha kabisa!

Mkuu niliona kuna toyota ipsum 2.4l imevikwa injini ya 1jz -gte huko ulaya sijui vipi kitaalamu hii imekaaje, je ufanisi utaongezeka na nguvu ya gari itaongezeka pia

Na injini nzuri ipi kwa mbio kidogo kuivika kwenye min van/ wagon yyte yenye kuanzia siti 7 na kuendele

Bila kuathiri ubora wake wa gari????????
Mzee baba kuna Toyota zinatembea huyo Vw Golf mchumba tu, uje ujaribu mziki wa Toyota Celica yenye 3s-gte.

Au Toyota yeyote yenye 1Jz-Gte iwe ni Toyota Supra,Mark 2,Cresta au Tourer V. Achana na hizo 1jz-ge au 1jz-fse zilizo kwenye Brevis.
 
Kuna Supra ina 2JZ-GTE (One of the best engine ambayo toyota amewahi kuitumia, bahati mbaya ndio ilishakuwa discontinued)

Ukifanya ligi na mtu mwenye gari yenye hiyo engine lazima uite maji mma.
 
Mkuu niliona kuna toyota ipsum 2.4l imevikwa injini ya 1jz -gte huko ulaya sijui vipi kitaalamu hii imekaaje, je ufanisi utaongezeka na nguvu ya gari itaongezeka pia

Na injini nzuri ipi kwa mbio kidogo kuivika kwenye min van/ wagon yyte yenye kuanzia siti 7 na kuendele

Bila kuathiri ubora wake wa gari????????
Ukiweka 1jz-gte kwenye Ipsum New Model, body ya gari ndio itakayochoka zaidi kwa kushindwa kuhimili mikiki mikiki.
Gari itakuwa na nguvu na ufanisi utaongezeka maradufu.
 
So hii engine haifai kuiweka kwenye minvan yyte yenye kuanzia seat 7?? Vipi toyota voxy za 2013 ni nzuri upande wa performance na durability??

Inafaa ila utumiaji wako ndio utaipa body ya gari lako maisha.

Hiyo 1jz-gte ni performance engine Kama itaitumia gari kawaida body haitochoka, ila ukiishurutisha Kama sport car hiyo body ya min van haiwezi kuhimili stress itakubidi utafute hatch back body.
 
Asante, hatch back gani nzuri kwa kuivika hyo engine

Navutiwa sana na toyota innova ile body imekaa kibabe sanaaa
 
View attachment 1511460
Volkswagen Polo Gti
Wakuu habari za jioni,

Niko safarini kwenda Tunduma, niko na jamaa yangu kaniomba kampani tuongozane kwenye msiba wa mkwewe.

Wazee nimebadili mawazo yangu na leo nakubaliana kabisa na wale wanaosema Toyota ni Usafiri sio Gari ,huyu mnyama ana pepea speed 240 hahaha lakini hatujafika huko mwamba mwisho 140 kwake lakini kinachofanya niandike sio hiyo speed maana ni kawaida, bali jinsi ilivyo na nguvu na nyepesi wakati wa kusepa Huyu mnyama njiani hana anayembakisha na jamaa yangu anataka saa 1 asubuhi itukute Tunduma na hapa ndo kwanza tumeiacha Chalinze doh mniombe.

Nikiokota hela nitanunua mnyama wowote wa German si kwa hii raha yaani chuma kimetulia barabarani hakuna hata kudundadunda.

Nimemaliza nitakieni safari njema.

Mrejesho
Weka picha ya dash board tuone ubao unasoma ngapi....
 
Mzee baba kuna Toyota zinatembea huyo Vw Golf mchumba tu, uje ujaribu mziki wa Toyota Celica yenye 3s-gte.

Au Toyota yeyote yenye 1Jz-Gte iwe ni Toyota Supra,Mark 2,Cresta au Tourer V. Achana na hizo 1jz-ge au 1jz-fse zilizo kwenye Brevis.
Hauifahamu hii gari vizuri. Ni gari ndogo ila inachapa mwendo. Na Specifications zake si za kawaida. Hebu jaribu kuijua japo kidogo. Hakuna Toyota inaigusa hii gari kwa nguvu na mbio!
 
Acha kuvuta bangi mkuu.

Kama VW ni GTI hasa Golf nakaa pembeni kuangalia huo mpambano....

Nikiikumbuka ile video ya BMW yuko 240Km/h halafu jamaa mwenye VW golf GTI anampita kama amesimama, niliona nimechoka.

Picha linaanza golf GTI kisahani kina 320 na chache zina 280 halafu DSG gear 8.
 
Hakuna GTI stock inayoweza kufika 320km/h maisha yaani haipo na haitakuwepo.Golf R yenyewe haifiki hio top speed.Tukisema tunings hapo lugha inaweza ikabadilika.
 
Mimi sizungumzii tuning... Ndo nmezitaja kabisa Golf gti aina zote mbili.... Zipo za 280 na zipo za 320
 
View attachment 1511460
Volkswagen Polo Gti
Wakuu habari za jioni,

Niko safarini kwenda Tunduma, niko na jamaa yangu kaniomba kampani tuongozane kwenye msiba wa mkwewe.

Wazee nimebadili mawazo yangu na leo nakubaliana kabisa na wale wanaosema Toyota ni Usafiri sio Gari ,huyu mnyama ana pepea speed 240 hahaha lakini hatujafika huko mwamba mwisho 140 kwake lakini kinachofanya niandike sio hiyo speed maana ni kawaida, bali jinsi ilivyo na nguvu na nyepesi wakati wa kusepa Huyu mnyama njiani hana anayembakisha na jamaa yangu anataka saa 1 asubuhi itukute Tunduma na hapa ndo kwanza tumeiacha Chalinze doh mniombe.

Nikiokota hela nitanunua mnyama wowote wa German si kwa hii raha yaani chuma kimetulia barabarani hakuna hata kudundadunda.

Nimemaliza nitakieni safari njema.

Mrejesho
Picha
 
Saw a sawa
 
Mkuu habari ya Toyota Supra hata iwe toleo la nyuma hao wakina Golf,BMW au Benz hawafati.

Hiyo Supra wazungu wenyewe wamenyoosha mikono.Bado habari za jini mkata kamba Nissan Skyline Gt-r.

Hapa ndio umeongea mkuu
Hizo ndio gari zangu enzi nilikuwa bado nina meno ya juu [emoji23]
Nilikuwa napenda sana sport cars nikajiongeza ili niendeshe zote itabidi niwe nanunua na kuuza

Huku nazijaribu nguvu za gari hizo huku nikiuza na kupata faida

Supra, Celica, Nissan Zx, Mazda RX7
Skyline Gt 1976, 81, na 82,
Nissan Fairlady Z, Nissan 280Z 75
Golf gti nilikuwa nazo black and red ila sikuzipenda kwa sababu hazitulii kwenye speed sana
Ila Mjapani kwa speed na utulivu nazikubali mkuu
Nimekumbuka mbali sana enzi nilikuwa nikishindwa kwenye mchuano na gari yoyote lazima nilipize sikubali [emoji23]
 
Back
Top Bottom