korokwincho
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 1,054
- 1,269
Mkuu niliona kuna toyota ipsum 2.4l imevikwa injini ya 1jz -gte huko ulaya sijui vipi kitaalamu hii imekaaje, je ufanisi utaongezeka na nguvu ya gari itaongezeka pia
Na injini nzuri ipi kwa mbio kidogo kuivika kwenye min van/ wagon yyte yenye kuanzia siti 7 na kuendele
Bila kuathiri ubora wake wa gari????????
Na injini nzuri ipi kwa mbio kidogo kuivika kwenye min van/ wagon yyte yenye kuanzia siti 7 na kuendele
Bila kuathiri ubora wake wa gari????????
Mzee baba kuna Toyota zinatembea huyo Vw Golf mchumba tu, uje ujaribu mziki wa Toyota Celica yenye 3s-gte.
Au Toyota yeyote yenye 1Jz-Gte iwe ni Toyota Supra,Mark 2,Cresta au Tourer V. Achana na hizo 1jz-ge au 1jz-fse zilizo kwenye Brevis.