Magari damu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2020
- 433
- 759
Gari ya mzungu kama huna pesa ya kueleweka boss bora ubaki kwa mjapan tunaomba ushauri nilikua nataka ninunue vw golf ni gari imara ukitengeneza unasahau(reliability) au route za garage nyingi inabidi uwe umejipanga kufanya maintainance au tubaki tu kwenye toyota zetu
Kuna Toyota zina balaa huyo Golf atamzidi kwa luxury Toyota. Jaribu kufatilia moto Toyota Runx Rsi Trd au Toyota Yaris Trd hizi zote ni sport car. Wa South wamekubali mziki wake ukimuweka na Golf lazima akae.
W ushaambiwa kuna gari za toyota huyo golf n mchumba tu ww unabisha, acha kukariri broo, pia usijifanye kama vile unajua sana magari yote ya toyota.
Inamaana hujaelewa kilichofanya cron kupitwa na golf au, crown speedlimit inaishia 180 na golf ina zaidi ya 200 ww ulitegemea nn hapo wakitembea umbali mrefuuuu....japo najua wakitoka kwa pamoja golf ataachwa vizur tu mpaka crown atakapo maliza 180
Hizo hizo gari za Asia zimefanya makubwa sana mpaka zimeingia kwenye rekodi ya injini bora na zenye nguvu kutengenezwa na Japan.
1jz-gte,2jz-gte na RB26DETT ya Nissan ndio injini zenye balaa duniani mpaka sasa. Hakuna Benz,BMW,Porsche, Vw,Audi na gari yoyote ya mzungu iliyoweza kusumbua gari ya mjep yenye injini hizo kwa speed au sauti ya kibabe.
Ila kweli mkuu, watu huwa tunaponda toyota kumbe kuna matoleo ambayo ni hatar ila cc hatuyataki kwa kushindwa kuyamudu. Ivi ni kweli golf inaweza kuchnganya haraka kuliko mark x au crown?
GT-R anawacheulisha hata akina Lamborghini. Buggati yenyewe anaifua kwenye sekunde za mwanzo kabla hajachanganya.
Japan sheria yao ya magari mwisho ni 180kmh ukiikuta gari ya yoyote ya kijapan ina speed zaidi ya 180 hio sio for domestic consumption kuna JDM (Japan Domestic Market) mfano Altezza ni 180km ila ikiwa Singapore inakua Lexus IS200 speed ometer ni 240 km/hView attachment 2131457
View attachment 2131458
Naomba Jina la gari yoyote ya TOYOTA yenye 300km/hr mkuu.
Kwa magari ya kijapan ambayo budget yake itafanana na GTi yaani kuanzia 15 - 25million bado hayawezi kutamba mbele ya golf..Japan sheria yao ya magari mwisho ni 180kmh ukiikuta gari ya yoyote ya kijapan ina speed zaidi ya 180 hio sio for domestic consumption kuna JDM (Japan Domestic Market) mfano Altezza ni 180km ila ikiwa Singapore inakua Lexus IS200 speed ometer ni 240 km/h
Mkuu acha watu wafurahie maisha yao ikiwa tu hawavunji sheria na taratibu![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Bongo kituko sana.
Mtu anaweza linganisha speed ya gari ya mizigo na gari ya kutembelea mjini. Ili mradi tu nafsi yake ifurahi.
Ujuaji mwingii, vigari vikianza kizingua wanakuna vichwa hadi nywele zinaisha..
Wewe nunua gari unaloona linakufaa, kila mtu ana malengo yake.. Mwingine anamalengo ya kupata gari imsogeze aepuke daladala, mwingine lengo ni aone speed 320 kwenye kisaani japo haina matumizi, mwingine confotability, mwingine mwonekano wa gari, mwingine size ya gari, reliability, pride nk
Kujilinganisha linganisha daily ni dalili za ushamba.
Mbona umejijibu mwenyewe....kama watu wananunua magari ili kuwarahisishia usafiri basi na wengine wananunua kwasababu ya performance ndiyo maana kuna mpaka super cars watu wanamiliki.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Bongo kituko sana.
Mtu anaweza linganisha speed ya gari ya mizigo na gari ya kutembelea mjini. Ili mradi tu nafsi yake ifurahi.
Ujuaji mwingii, vigari vikianza kizingua wanakuna vichwa hadi nywele zinaisha..
Wewe nunua gari unaloona linakufaa, kila mtu ana malengo yake.. Mwingine anamalengo ya kupata gari imsogeze aepuke daladala, mwingine lengo ni aone speed 320 kwenye kisaani japo haina matumizi, mwingine confotability, mwingine mwonekano wa gari, mwingine size ya gari, reliability, pride nk
Kujilinganisha linganisha daily ni dalili za ushamba.
Mkuu unajua kuna jambo moja haulielewi..ngoja nikupe shule...ujerumani wao wana barabara zao zinaitwa Autobahn..barabara hizo unaadikiwa kabisa nenda spidi zaidi ya 100 na kuna baadhi ya barabara huko ujerumani haina speed limit yani wewe ni kutembea tu kumaliza kisahani..kwaio gari ya kijeurmani inatengenezwa kwa kuzingatia mahitaji hayo yani lazima iwe na mbio..za kutosha kukidhi matakwa ya hizo autobahn..twende Japan sasa wao Japan wanalimit spidi na pia wanalimit specification i.e CC za gari ili walipe kodi ndogo ya gari huko nchini JapanKwa magari ya kijapan ambayo budget yake itafanana na GTi yaani kuanzia 15 - 25million bado hayawezi kutamba mbele ya golf..
Kwa magari ya kijapan yenye performance kubwa bei zake ni jiwe Sana na hapa Tanzania huwezi kuziona barabarani.
Kwa mfano Leo uwe na milioni 20 alafu unataka kununua Toyota ni Toyota ipi itaweza kushindana na Volkswagen golf GTi? Kwa gari ya budget hiyo?
Kwa magari ya kijapan ambayo budget yake itafanana na GTi yaani kuanzia 15 - 25million bado hayawezi kutamba mbele ya golf..
Kwa magari ya kijapan yenye performance kubwa bei zake ni jiwe Sana na hapa Tanzania huwezi kuziona barabarani.
Kwa mfano Leo uwe na milioni 20 alafu unataka kununua Toyota ni Toyota ipi itaweza kushindana na Volkswagen golf GTi? Kwa gari ya budget hiyo?
Mkuu unajua kuna jambo moja haulielewi..ngoja nikupe shule...ujerumani wao wana barabara zao zinaitwa Autobahn..barabara hizo unaadikiwa kabisa nenda spidi zaidi ya 100 na kuna baadhi ya barabara huko ujerumani haina speed limit yani wewe ni kutembea tu kumaliza kisahani..kwaio gari ya kijeurmani inatengenezwa kwa kuzingatia mahitaji hayo yani lazima iwe na mbio..za kutosha kukidhi matakwa ya hizo autobahn..twende Japan sasa wao Japan wanalimit spidi na pia wanalimit specification i.e CC za gari ili walipe kodi ndogo ya gari huko nchini Japan
.sasa hao wajapan wameamua kuidevelop platform yao kwa kutoa magari yenye Horsepower kubwa miaka ya karibuni tu kwaio kimsingi kwenye maswala ya mbio Japan ana magari machache sana yenye kukidhi matakwa hayo kwaio hio Golf GTi inaenda sambamba na Toyota Yaris..ngoja nikupe mfano wa limitations za gari za Japan..kuna gari inaitwa Toyota Caldina GT four hio ni AWD na ina 256 Horsepower toka kiwandani ina gia 4 tu na imekuja Automatic tu hakuna manual engije yake inaitwa 3S-GTE lakini ukija kwenye Altezza yenyewe unakuta kuna Version 2(3S-GE) ikiwa auto(A650) transmission ina 197 horsepower na ina gia 5..ila ikiwa manual inakua na 215 horse power na inakua na gia 6 transmission J160 ukiangalia kwa umakini Japan lengo lao halikua kwenye mbio wala horsepower wao wanatengeneza gari kwa ajili ya soko lao tu JDM ila huko ulaya wao barabara zao nyingi hazina limit au kama kuna limit unatakiwa uendeshe kwa speed kubwa ndo maana unakuta unapewa gari yenye nguvu na spidi pia sasa pata picha hio caldina ingekua manual na ina gia sita moto wake ungekuaje?
Soma uelewe mkuu..Mbona umejijibu mwenyewe....kama watu wananunua magari ili kuwarahisishia usafiri basi na wengine wananunua kwasababu ya performance ndiyo maana kuna mpaka super cars watu wanamiliki.
Kila MTU ana chaguzi zake kwenye maisha hatuwezi wote tukapenda kitu cha Aina moja
Mkuu naona haukunielewa au labda sijawasilisha vizuri..wao Japan Motors Assosication wameweka limit ya 180 km/h kwa JDM (Japanede Domestic Market) jua kwamba magari tunayoununua sisi ni kwa ajili ya soko la Japan sio europe..kama unataka kwa ajili ya external market ndo unakutana na wakina Lexus, Acura, Infiniti nk..yani kwaio gari ikiwa nin special for Japan Domestic use hio inapigwa 180km/h ingawa kuna vifaa vya kuondoa limit ambavyo HKS wanatengeneza nk...Mkuu nimekupata,
Japo suala la barabara za Japani Ni hoja Japo haina mashiko,
Kama ni hivyo kwa nini wasitengeneze magari kwa External market? Zenye speed wanazotaka vijana?
Mbona LAND CRUISER V8 zina speed mpaka 240km/hr je hazitumiki Japan? au hazikutengenezwa kwa Internal market?
Mara nyingi nasikiaga kuwa Mjapani alitengeneza CROWN, ALTEZA, BREVIS kwa ajili ya performance na kushindana mjerumani sokoni.
Mimi naona factor za barabra siyo mashiko sana Ila Technology za magari,
Ndiyo maana mjapani ili atengeneze gari yenye speed lazima aweke Engine kubwa mpaka CC 4,000 na Bado unakuta mjerumani mwenye 1,500 Cc au 2,000 Cc anamkalisha mbaya.
Hata hayo magari mnayoyasema huku kwetu Hamna ndiyo maana Reference mpaka tuzitafute YOUTUBE n.k huenda Ni magari yaliyotengenezwa miaka ya karibuni wakati mjerumani tangu miaka ya 90 anaupiga mwingi.
Mkuu naona haukunielewa au labda sijawasilisha vizuri..wao Japan Motors Assosication wameweka limit ya 180 km/h kwa JDM (Japanede Domestic Market) jua kwamba magari tunayoununua sisi ni kwa ajili ya soko la Japan sio europe..kama unataka kwa ajili ya external market ndo unakutana na wakina Lexus, Acura, Infiniti nk..yani kwaio gari ikiwa nin special for Japan Domestic use hio inapigwa 180km/h ingawa kuna vifaa vya kuondoa limit ambavyo HKS wanatengeneza nk...