Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hajui mziki wa GTE machines.Mzee baba kuna Toyota zinatembea huyo Vw Golf mchumba tu, uje ujaribu mziki wa Toyota Celica yenye 3s-gte.
Au Toyota yeyote yenye 1Jz-Gte iwe ni Toyota Supra,Mark 2,Cresta au Tourer V. Achana na hizo 1jz-ge au 1jz-fse zilizo kwenye Brevis.
Kuna Toyota zina balaa huyo Golf atamzidi kwa luxury Toyota.
Jaribu kufatilia moto Toyota Runx Rsi Trd au Toyota Yaris Trd hizi zote ni sport car. Wa South wamekubali mziki wake ukimuweka na Golf lazima akae.
Hawaelewi kwamba Toyota ana version za Sport. Ajaribu vyuma vya TRD aone balaa lake. Toyota ni myama sema mnakutana na gari zake za daily commuters.Kuna Toyota zina balaa huyo Golf atamzidi kwa luxury Toyota.
Jaribu kufatilia moto Toyota Runx Rsi Trd au Toyota Yaris Trd hizi zote ni sport car. Wa South wamekubali mziki wake ukimuweka na Golf lazima akae.
Golf imetengenezwa for sport. Ist ni commuter sio sports car. Suspension walizofunga sio za sport ndio maana unaona haijatulia.Mzee hii chuma imetulia barabarani yaani imetulia sio kama Ist
Mkuu habari ya Toyota Supra hata iwe toleo la nyuma hao wakina Golf,BMW au Benz hawafati.Mkuu soma tena uzi vizuri tatizo sio spedd angalia chuma inavyoamka kuchanganya + imetulia barabarani mzee huyu mnyama balaa
Kweli mkuu watu wanalinganisha hizi Toyota za kawaida na Golf sport.Golf imetengenezwa for sport. Ist ni commuter sio sports car. Suspension walizofunga sio za sport ndio maana unaona haijatulia.
Eeh mkuu, Toyota ana mashine...Ikiwa na TRD kit ni msala.Kweli mkuu watu wanalinganisha hizi Toyota za kawaida na Golf sport.
Aje hajaribu Toyota Supra,Celica,Runx RSI au Yaris Trd.
Huko South wana Toyota zao sport zina badge ya Gazzoo Racing (GR) na ni TRD.
Nissan Skyline Gt-r humtendeei haki kumuingiza kwenye hizi ligi za kitoto mkuuMkuu habari ya Toyota Supra hata iwe toleo la nyuma hao wakina Golf,BMW au Benz hawafati.
Hiyo Supra wazungu wenyewe wamenyoosha mikono.Bado habari za jini mkata kamba Nissan Skyline Gt-r.
Hao wajerumani wanatamani wawe na Supra au Nissan Skyline Gt-r.Nissan Skyline Gt-r humtendeei haki kumuingiza kwenye hizi ligi za kitoto mkuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji28]Speed 140 nayo ya kuianzishia thread?
Nissan Skylin Gt-r nailewa sana hii gari.. bado najipiga piga ipo siku naivuta hii.. shida bara bara zetu huyu mnyama humfaidi sana... hapa hapa tuta hapa na hapa shimo mala tochi mala traficHao wajerumani wanatamani wawe na Supra au Nissan Skyline Gt-r.
Hizo gari zikipita popote duniani watu lazima watoke nje, ila Golf haina attention.
Nchi hii ni ngumu sana, nahisi UGALI umeharibu sana akili za wengiSpeed 140 nayo ya kuianzishia thread?
Tangu yale matatizo yakukute akili yako haijakaa sawa kabisa[emoji23]Usitufokee!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yesu hajawaandalia makao leo tafadhaliEndeleeni kukimbiakimbia hovyo barabarani, mkifanya mchezo mtakua wageni wa Yesu jioni hii. Maafande tunasema mwendokasi unaua.
PS: mkipigwa tochi tukiwaambia leta leseni sio unatoa tu lileseni lako, weka 10k kwa chini ebo!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kifo popote hata kitandani.