Volkswagen Polo Gti huyu mnyama acha kabisa!

Volkswagen Polo Gti huyu mnyama acha kabisa!

Hawaelewi kwamba Toyota ana version za Sport. Ajaribu vyuma vya TRD aone balaa lake. Toyota ni myama sema mnakutana na gari zake za daily commuters.
Ila kweli mkuu, watu huwa tunaponda toyota kumbe kuna matoleo ambayo ni hatar ila cc hatuyataki kwa kushindwa kuyamudu. Ivi ni kweli golf inaweza kuchnganya haraka kuliko mark x au crown?
 
Nilipita hicho kipande siku za karibuni.. kina mashimo mashimo labda kama wame yafukia sasa hivi.. unatembea na gari huku unakodoa macho tuuu... 😀😀😀.. ila kuna kipande flani unaeza tembea hata 320km/h
Watakuwa washakiziba mkuu
 
Ila kweli mkuu,watu huwa tunaponda toyota kumbe kuna matoleo ambayo ni hatar ila cc hatuyataki kwa kushindwa kuyamudu. Ivi ni kweli golf inaweza kuchnganya haraka kuliko mark x au crown?
Sio watu hawayataki hizo Toyota Supra au Matoleo ambayo ni TRD, tatizo bei zipo juu sana. Ndio maana sport car za Subaru watu wanaanza nazo sababu gharama za kununua wanazimudu.
 
Ifunda nimevuka...wazee now jamaa anapiga mpaka,150, 180 kuna muda aligika mpaka 200 na chuma imetulia dah umaskini huu nakosa vitu vitamu l..hii chuma inanifunza kitu breki hata ukiwa 180 sekunde si zaidi ya 6 tu imesimama...

Mzee Pureview mzee wa chamazi mzeee wa Carina Ti [emoji28][emoji28][emoji28]
Kujq hapa.

Ni hatari laki salama
 
Back
Top Bottom