Volkswagen Polo Gti huyu mnyama acha kabisa!

Achana na mjerumani kabisa, hawa jamaa magari yao ni next level. Sintosahau siku tuko safarini na Harrier matako ya nyani tuko spid mbaya mara naangalia kwenye kioo kuna MB G Class moja inaomba kupita nikambania.

Tumeenda nae ivo ivo anaibia apite mi namtishia bodi anatulia, tumefika sehem barabara ina vipara nikajichanganya nipunguze kulipisha lile shimo, mwamba kanipita vuup. Aisee yule jamaa sikuwahi kumuona tena njiani utasema alifika sehem akapaa
Vuuuup
 
Wakuu....saa 11 tunarejea Dar es salaam...ila kwa uchache niseme yafuatayo japo mimi si mjuvi wa masuala ya magari maana hata baiskeli sina japo nimeendesha tugari vya kugongea ila kulekule Dar.

Mbeya niliingia saa 9 usiku na Tunduma saa 12 kasoro dk 23,kutoka mbeya na Tunduma hatukukimbia sana ni mwendo wa kiistaarabu.

Nilichojifunza kwenye huu mnyama...
Safari njema mkuu, muwe makini mlima Mbalizi leo umefanya yake kama kawaida yake.
 
[emoji16][emoji16]Pole mkuu halafu hatukubeba yeyote maana mwamba alisema ukibeba mtu ataanza masharti mara ooh spidi mara oh taratibu dereva lakini kama ningeona comment yako basi tusingekuacha mkuu.
Aise mkuu nimechelewa kuuona huu uzi siku unasafiri nilisubiri sanaaa IT sheli ya PUMA pale Msamvu ningechangia hata mafuta[emoji16] na mshageuka mkuu?
 
Amin mkuu ,,,ni kweli nimesikia hiyo ajali ila nadhani kurudi hatutakimbia maana tulichokiwahi tushatekeleza..na ukizingati tupo wanne sasa.
Safari njema mkuu, muwe makini mlima Mbalizi leo umefanya yake kama kawaida yake.
 
Kweli mkuu hata jamaa angu hii gari haitumii sana mara chache mno...na tangu ainunue ina miezi 5
Gari za Europe nyingi ni nzuri,ussue ni bei,na kingine unapopata hitilafu upatikanaji wa spea sio rafiki sana kama gari za Japan...
 
Wakuu....saa 11 tunarejea Dar es salaam...ila kwa uchache niseme yafuatayo japo mimi si mjuvi wa masuala ya magari maana hata baiskeli sina japo nimeendesha tugari vya kugongea ila kulekule Dar.

Mbeya niliingia saa 9 usiku na Tunduma saa 12 kasoro dk 23,kutoka mbeya na Tunduma hatukukimbia sana ni mwendo wa kiistaarabu.

Nilichojifunza kwenye huu mnyama.
1.Inachanganya fasta yaani kutoka 0-100 humalizi sec 10(kwa haraka haraka) na kutoka 0-200 humalizi hata sec 20(nimekadiria tu hapa).

2.Ina balance mno hata ukipishana na lori hutajua japo ni kadogo.

3.Mfumo wake wa spilingi(hapa sijui tunasemaje mnivumilie) ni imara hata ukipiga shimo ni tofauti sana na hata mark x yaani husikii imetulia.

4.unaweza piga bumps kwenye 100+ lakini ukawa salama mara kadhaa jamaa alipiga bumps maana njia anaijua yote.

5.Hii gari mziki wake ni ule ule uliokuja na gari lakini unapiga poa sana kama umeweka mziki wa kununua wa wastani.

6.Siti ya abiria ya mbele iko poa haichoshi wala kuumiza miguu(nyuma sikukaa) na ni gari iko kisasa zaidi kiufupi nimenjoy safari...niliwahi safiri mara nyingi na magari mbali mbali kama Mark2 gx 110,verossa,Land cruiser vx ilikua na engine 1Hdt ,noah na kadhalika ila hii imenikosha sana .

7.Hii gari ni chuma halisi maana huo mlango ukifungua tu unajua tu hapa nipo kwenye gari ni tofauti kabisa na vigari vidogo vya toyota nilivyozoea.

8.Mfumo wake break uko vizuri hata ukiwa 100+ inawahi simama fasta.

Cha kuongezea hii njia ya Dar -Mbeya -Tunduma inabidi uwe makini sana hasa safari za usiku maana kuna ligi sio mchezo nakumbuka kipande cha Ruaha mpaka Makambako tulikua tunakimbizana na magari ya IT wale jamaa noma sana wanatembeza gari vibaya na hao ndio waliombusti jamaa kutembea sana maana kuna Chuma sijajua inaitwaje wanakaa abiria wawili tu ilitukata pale mbuyuni tukiwa 160 tulisumbuana nayo mpaka Iringa mjini tukaiachana pale kwenye beria lakini tulifika hadi 200 lakini ilikua mbele mita si zaidi ya 100 na hatukuvuka ikabidi jamaa akae nyuma tu ile ni sport car iko poa sana(naitafuta picha nikiona nitaijua ile gari).

Naanza safari yangu japo leo hatuko wawili tupo wanne mniombee.

Jioni Njema
Hiyo chuma iliyowapita itakuwa ni Mazda Rx 7 au Rx 8. Wazambia na wazimbabwe siku hizi wanaziagiza sana. Zimbabwe wao hawaogopi Mazda kule zipo nyingi na Mazda walikuwa wana Assembly gari zao miaka ya nyuma.
 
[emoji16][emoji16]Pole mkuu halafu hatukubeba yeyote maana mwamba alisema ukibeba mtu ataanza masharti mara ooh spidi mara oh taratibu dereva lakini kama ningeona comment yako basi tusingekuacha mkuu.
Hakuna shida mkuu nilipata usafiri, mpaka Iwambi👍
 
Wakuu....saa 11 tunarejea Dar es salaam...ila kwa uchache niseme yafuatayo japo mimi si mjuvi wa masuala ya magari maana hata baiskeli sina japo nimeendesha tugari vya kugongea ila kulekule Dar.

Mbeya niliingia saa 9 usiku na Tunduma saa 12 kasoro dk 23,kutoka mbeya na Tunduma hatukukimbia sana ni mwendo wa kiistaarabu.

Nilichojifunza kwenye huu mnyama.
1.Inachanganya fasta yaani kutoka 0-100 humalizi sec 10(kwa haraka haraka) na kutoka 0-200 humalizi hata sec 20(nimekadiria tu hapa).

2.Ina balance mno hata ukipishana na lori hutajua japo ni kadogo.

3.Mfumo wake wa spilingi(hapa sijui tunasemaje mnivumilie) ni imara hata ukipiga shimo ni tofauti sana na hata mark x yaani husikii imetulia.

4.unaweza piga bumps kwenye 100+ lakini ukawa salama mara kadhaa jamaa alipiga bumps maana njia anaijua yote.

5.Hii gari mziki wake ni ule ule uliokuja na gari lakini unapiga poa sana kama umeweka mziki wa kununua wa wastani.

6.Siti ya abiria ya mbele iko poa haichoshi wala kuumiza miguu(nyuma sikukaa) na ni gari iko kisasa zaidi kiufupi nimenjoy safari...niliwahi safiri mara nyingi na magari mbali mbali kama Mark2 gx 110,verossa,Land cruiser vx ilikua na engine 1Hdt ,noah na kadhalika ila hii imenikosha sana .

7.Hii gari ni chuma halisi maana huo mlango ukifungua tu unajua tu hapa nipo kwenye gari ni tofauti kabisa na vigari vidogo vya toyota nilivyozoea.

8.Mfumo wake break uko vizuri hata ukiwa 100+ inawahi simama fasta.

Cha kuongezea hii njia ya Dar -Mbeya -Tunduma inabidi uwe makini sana hasa safari za usiku maana kuna ligi sio mchezo nakumbuka kipande cha Ruaha mpaka Makambako tulikua tunakimbizana na magari ya IT wale jamaa noma sana wanatembeza gari vibaya na hao ndio waliombusti jamaa kutembea sana maana kuna Chuma sijajua inaitwaje wanakaa abiria wawili tu ilitukata pale mbuyuni tukiwa 160 tulisumbuana nayo mpaka Iringa mjini tukaiachana pale kwenye beria lakini tulifika hadi 200 lakini ilikua mbele mita si zaidi ya 100 na hatukuvuka ikabidi jamaa akae nyuma tu ile ni sport car iko poa sana(naitafuta picha nikiona nitaijua ile gari).

Naanza safari yangu japo leo hatuko wawili tupo wanne mniombee.

Jioni Njema
Asee huu ni noma
 
Shida analinganisha na Spacio 🙂🙂
Hapo ndipo wanapokosea Vw Polo zipo zenye V6 engine na nyingine zinaenda mpaka 2800 cc, sasa ukimlinganisha na wakina Ist,Spacio,Carina hutendi haki.

Huyu Vw Polo ukimpa Mazda Rx ina 1300cc,Nissan Skyline Gt-r injini RB26DETT 2600cc inline 4 au Toyota Supra/Soarer/Celica Gt 1jz-gte inline 6 yenye 2490cc hiyo Vw Golf haiwezi kusumbua.
 
Yes. Huwezi linganisha Hot Hatch na gari za kizembe. Lazima utafute mshindani wake wanaoendana.

Toyota wametengeneza hot hatch mpya GR Yaris ya kupambana na kina VW.

Check video hapo chini. Huyo Polo hatii mguu. Kumbuka Yaris ni kama Vitz tu. Japo GR ni supercharged.
 
Wazee mwendo mchubuyu kama juzi tu...now tushavuka Doma

Ila kuna sehemu karibu na mikumi kwenye ule mlima wa mwisho unateremsha mikumi,tumemuona dada mazingira hatujayaelewa maana hakuna nyumba wala kitu chochote ila kasimama pembeni ya barabara ana kibegi anasimamisha gari mmh hatujasimama...mtu amtagi Mshana jr aje atuelezee ana hisi nini nahisi yule ni kigagula.
 
Back
Top Bottom