Capitano
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 1,959
- 1,633
HahahaTaratibu bro
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaTaratibu bro
Umenikumbusha zamani tulienda Msimbati msafara ulikuwa na toota yenye engine 1HZ najua unazijua ni cc zaidi ya alfu nne tulikuwa nazo tisa. Wakati tunaelekea mto ruvuma yaani mpakani naNchumbiji, tulikutana na swamp la kutisha karibu tu na mto Ruvuma basi mkonga nje zoote tulinasa matopeni.Hizo hizo gari za Asia zimefanya makubwa sana mpaka zimeingia kwenye rekodi ya injini bora na zenye nguvu kutengenezwa na Japan.
1jz-gte,2jz-gte na RB26DETT ya Nissan ndio injini zenye balaa duniani mpaka sasa. Hakuna Benz,BMW,Porsche, Vw,Audi na gari yoyote ya mzungu iliyoweza kusumbua gari ya mjep yenye injini hizo kwa speed au sauti ya kibabe.
View attachment 1511460Wakuu habari za jioni,
Volkswagen Polo Gti
Niko safarini kwenda Tunduma, niko na jamaa yangu kaniomba kampani tuongozane kwenye msiba wa mkwewe.
Wazee nimebadili mawazo yangu na leo nakubaliana kabisa na wale wanaosema Toyota ni Usafiri sio Gari ,huyu mnyama ana pepea speed 240 hahaha lakini hatujafika huko mwamba mwisho 140 kwake lakini kinachofanya niandike sio hiyo speed maana ni kawaida..
Hizo 4GR kawatishie wenye premio labda, ila kwa golf ni utopolo tu. Ile clip crown iliachwa na golf ikiwa speed 180 uliiona?
Kwa akili ako inafika 240[emoji848][emoji848]
Ndo yale yale unakuta toyo ya cc150 imewekwa speedo za 180km/h unaaza jisifu na kuisifu piki piki kwamba ina speed sana ila jamaa kaishia 100 tu[emoji16][emoji16] na kuizarau honda xl kisa speedo yake labda mwsho ni 160 au 140[emoji16]...
Hiyo 140 itakuwa MPH.
Sijawahi ona mjerumani mwenye 180kph kushuka chini.
Hizo hizo gari za Asia zimefanya makubwa sana mpaka zimeingia kwenye rekodi ya injini bora na zenye nguvu kutengenezwa na Japan.
1jz-gte,2jz-gte na RB26DETT ya Nissan ndio injini zenye balaa duniani mpaka sasa. Hakuna Benz,BMW,Porsche, Vw,Audi na gari yoyote ya mzungu iliyoweza kusumbua gari ya mjep yenye injini hizo kwa speed au sauti ya kibabe.
Umenikumbusha zamani tulienda Msimbati msafara ulikuwa na toota yenye engine 1HZ najua unazijua ni cc zaidi ya alfu nne tulikuwa nazo tisa. Wakati tunaelekea mto ruvuma yaani mpakani naNchumbiji, tulikutana na swamp la kutisha karibu tu na mto Ruvuma basi mkonga nje zoote tulinasa matopeni...
Mzee mbona kama povu...unabisha Polo kufika 200 ?
Nenda kasome specification zake kwanza ile gari speed inafika nakumbuka kuna sehemu tulikua 160 kuna gari ilitukata kama tumesimama ikabidi jamaa aongeze mpaka 200 tukakaa nyuma ya ile gari kwa mita kadhaa.
Sio tairi peke yake ziko factor nyingine nyingi tu ukitoa ukubwa wa engineCosta ina four wheel?? Umewah angalia tairi za costa niza mazingira gani ,, je za 109 ni mazingira gani na unajua ina four wheel . Mchawi si nguvu ni traction hata ukipewa engine ya hp 300 kama traction hauna kuna kigari cha 90hp kitapita wewe ukiwa hapo hapo unapasha tairi moto
Sio tairi peke yake ziko factor nyingine nyingi tu ukitoa ukubwa wa engine
Itakua mini cooper hizo balaaaWakuu....saa 11 tunarejea Dar es salaam...ila kwa uchache niseme yafuatayo japo mimi si mjuvi wa masuala ya magari maana hata baiskeli sina japo nimeendesha tugari vya kugongea ila kulekule Dar.
Mbeya niliingia saa 9 usiku na Tunduma saa 12 kasoro dk 23,kutoka mbeya na Tunduma hatukukimbia sana ni mwendo wa kiistaarabu.
Nilichojifunza kwenye huu mnyama...
Mkuu Porsche Cayman ni matoleo ya kisasa zaidi. Mimi nilimaanisha Porsche 911 yale matoleo ya nyuma ikiwa stock ukishindanisha na Supra yenye 1jz-Gte stock.Hii sasa ni kamba
Kuna porsche cayaman enyewe ako na four hundred and twenty...420hp stock sasa hiyo 1jz gte yenye 280hp inaingiaje hapo🤔
Arusha-Namanga ndio kuna maeneo ya kupiga hizi mashine mzeeNilipita hicho kipande siku za karibuni.. kina mashimo mashimo labda kama wame yafukia sasa hivi.. unatembea na gari huku unakodoa macho tuuu... [emoji3][emoji3][emoji3].. ila kuna kipande flani unaeza tembea hata 320km/h
Swala la spare vipi? Mdudu huyu unamsifia nieshamuona kuna jamaa yangu hapa ofisini anaye. Ni kweli tupu unachosemaView attachment 1511460Wakuu habari za jioni,
Volkswagen Polo Gti
Niko safarini kwenda Tunduma, niko na jamaa yangu kaniomba kampani tuongozane kwenye msiba wa mkwewe...
Mkuu Mlikuwa na Land Cruiser mkonga nje yenye 1hz au 14B au 2H kama ni gari za watu binafsi wengi Land Cruiser wanazonunua Msumbiji au Malawi ni zile zenye 2H.Umenikumbusha zamani tulienda Msimbati msafara ulikuwa na toota yenye engine 1HZ najua unazijua ni cc zaidi ya alfu nne tulikuwa nazo tisa. Wakati tunaelekea mto ruvuma yaani mpakani naNchumbiji, tulikutana na swamp la kutisha karibu tu na mto Ruvuma basi mkonga nje zoote tulinasa matopeni...
Swala la spare vipi? Mdudu huyu unamsifia nieshamuona kuna jamaa yangu hapa ofisini anaye. Ni kweli tupu unachosema