Volkswagen Polo Gti huyu mnyama acha kabisa!

Volkswagen Polo Gti huyu mnyama acha kabisa!

Hizo 4GR kawatishie wenye premio labda, ila kwa golf ni utopolo tu. Ile clip crown iliachwa na golf ikiwa speed 180 uliiona?
Ila kweli mkuu,watu huwa tunaponda toyota kumbe kuna matoleo ambayo ni hatar ila cc hatuyataki kwa kushindwa kuyamudu. Ivi ni kweli golf inaweza kuchnganya haraka kuliko mark x au crown?
 
Hizo 4GR kawatishie wenye premio labda, ila kwa golf ni utopolo tu. Ile clip crown iliachwa na golf ikiwa speed 180 uliiona?
W ushaambiwa kuna gari za toyota huyo golf n mchumba tu ww unabisha, acha kukariri broo, pia usijifanye kama vile unajua sana magari yote ya toyota.

Inamaana hujaelewa kilichofanya cron kupitwa na golf au, crown speedlimit inaishia 180 na golf ina zaidi ya 200 ww ulitegemea nn hapo wakitembea umbali mrefuuuu....japo najua wakitoka kwa pamoja golf ataachwa vizur tu mpaka crown atakapo maliza 180
 
Wewe umeelewa ulichoandika?
W ushaambiwa kuna gari za toyota huyo golf n mchumba tu ww unabisha, acha kukariri broo, pia usijifanye kama vile unajua sana magari yote ya toyota. Inamaana hujaelewa kilichofanya cron kupitwa na golf au, crown speedlimit inaishia 180 na golf ina zaidi ya 200 ww ulitegemea nn hapo wakitembea umbali mrefuuuu....japo najua wakitoka kwa pamoja golf ataachwa vizur tu mpaka crown atakapo maliza 180
 
Niliwahi toka Dar hadi Makambako na Mercedes Benz . Ilikua ni burudani barabarani.

Mbezi nilitoka saa 1 hivi jioni, saa 11 niko makambako. Na tulilala njiani kama masaa mawili kasoro.

Gari nitazomiliki panapo Majaliwa
1. Mercedes Benz (zile za chini)
2. BMW ×6
3. Range Rover Sport

Lakini nitaanza na Toyota kupata expiriensi[emoji2]
View attachment 1511303
 
Endeleeni kukimbiakimbia hovyo barabarani, mkifanya mchezo mtakua wageni wa Yesu jioni hii. Maafande tunasema mwendokasi unaua.

PS: mkipigwa tochi tukiwaambia leta leseni sio unatoa tu lileseni lako, weka 10k kwa chini ebo!
Hela ya Kiwi ni Muhimu.
 
Niliwahi toka Dar hadi Makambako na Mercedes Benz . Ilikua ni burudani barabarani.

Mbezi nilitoka saa 1 hivi jioni, saa 11 niko makambako. Na tulilala njiani kama masaa mawili kasoro.

Gari nitazomiliki panapo Majaliwa
1. Mercedes Benz (zile za chini)....
Hujaachana sana na sisi tunaowaza kununua sport rims wakati hata licence hatuna wala hatujui tutakulaje..[emoji4][emoji4][emoji4]

Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
 
Achana na mjerumani kabisa, hawa jamaa magari yao ni next level. Sintosahau siku tuko safarini na Harrier matako ya nyani tuko spid mbaya mara naangalia kwenye kioo kuna MB G Class moja inaomba kupita nikambania.

Tumeenda nae ivo ivo anaibia apite mi namtishia bodi anatulia, tumefika sehem barabara ina vipara nikajichanganya nipunguze kulipisha lile shimo, mwamba kanipita vuup. Aisee yule jamaa sikuwahi kumuona tena njiani utasema alifika sehem akapaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] halafu hyo gari ikiwa kwenye mwendo hata mlio unabadilika......
 
Achana na mjerumani kabisa, hawa jamaa magari yao ni next level. Sintosahau siku tuko safarini na Harrier matako ya nyani tuko spid mbaya mara naangalia kwenye kioo kuna MB G Class moja inaomba kupita nikambania.

Tumeenda nae ivo ivo anaibia apite mi namtishia bodi anatulia, tumefika sehem barabara ina vipara nikajichanganya nipunguze kulipisha lile shimo, mwamba kanipita vuup. Aisee yule jamaa sikuwahi kumuona tena njiani utasema alifika sehem akapaa
Gari za Ujerumani acha kabisa,sitaisahau siku tuko kwenye V8 inatembea 160 mpaka 170,tumeenda tukasikia honi kuangalia nyuma yetu ni Mini Cooper, dereva wangu hakuipa nafasi, kumbe jamaa alikuwa anatafuta mahali paliponyooka, alikuja kutupita kama mshale,sikujua alitupita na speed gani lakini nguvu iliotumika kutuovertake ilikuwa ni kama tumesimama....
 
Achana na mjerumani kabisa, hawa jamaa magari yao ni next level. Sintosahau siku tuko safarini na Harrier matako ya nyani tuko spid mbaya mara naangalia kwenye kioo kuna MB G Class moja inaomba kupita nikambania.

Tumeenda nae ivo ivo anaibia apite mi namtishia bodi anatulia, tumefika sehem barabara ina vipara nikajichanganya nipunguze kulipisha lile shimo, mwamba kanipita vuup. Aisee yule jamaa sikuwahi kumuona tena njiani utasema alifika sehem akapaa
Uzuri wa Benzi ni stability barabarani.

Hata akiwa 220 hana presha kama mwenye harrier akiwa 140.
 
Hakuna gari yeyote kutoka Asia ya kuizidi gari ya ulaya kwa kigeo chochote kile
Toyota Supra,Soarer,Celica kwa Nissan kuna Nissan Skyline Gt-r kwa mbio gari za ulaya hazitii mguu.

Wewe unabisha hapa JF, wazungu wenyewe na gari zao ilibidi waipe heshima Toyota Supra na Nissan Skyline Gt-r na kuzipa tuzo za most performance car.
 
Hakuna gari yeyote kutoka Asia ya kuizidi gari ya ulaya kwa kigeo chochote kile

Hizo hizo gari za Asia zimefanya makubwa sana mpaka zimeingia kwenye rekodi ya injini bora na zenye nguvu kutengenezwa na Japan.

1jz-gte,2jz-gte na RB26DETT ya Nissan ndio injini zenye balaa duniani mpaka sasa. Hakuna Benz,BMW,Porsche, Vw,Audi na gari yoyote ya mzungu iliyoweza kusumbua gari ya mjep yenye injini hizo kwa speed au sauti ya kibabe.
 
Wakuu. saa 11 tunarejea Dar es salaam...ila kwa uchache niseme yafuatayo japo mimi si mjuvi wa masuala ya magari maana hata baiskeli sina japo nimeendesha tugari vya kugongea ila kulekule Dar.

Mbeya niliingia saa 9 usiku na Tunduma saa 12 kasoro dk 23,kutoka mbeya na Tunduma hatukukimbia sana ni mwendo wa kiistaarabu.

Nilichojifunza kwenye huu mnyama.

1. Inachanganya fasta yaani kutoka 0-100 humalizi sec 10(kwa haraka haraka) na kutoka 0-200 humalizi hata sec 20(nimekadiria tu hapa).

2. Ina balance mno hata ukipishana na lori hutajua japo ni kadogo.

3. Mfumo wake wa spilingi(hapa sijui tunasemaje mnivumilie) ni imara hata ukipiga shimo ni tofauti sana na hata mark x yaani husikii imetulia.

4. unaweza piga bumps kwenye 100+ lakini ukawa salama mara kadhaa jamaa alipiga bumps maana njia anaijua yote.

5. Hii gari mziki wake ni ule ule uliokuja na gari lakini unapiga poa sana kama umeweka mziki wa kununua wa wastani.

6. Siti ya abiria ya mbele iko poa haichoshi wala kuumiza miguu(nyuma sikukaa) na ni gari iko kisasa zaidi kiufupi nimenjoy safari...niliwahi safiri mara nyingi na magari mbali mbali kama Mark2 gx 110,verossa,Land cruiser vx ilikua na engine 1Hdt ,noah na kadhalika ila hii imenikosha sana .

7. Hii gari ni chuma halisi maana huo mlango ukifungua tu unajua tu hapa nipo kwenye gari ni tofauti kabisa na vigari vidogo vya toyota nilivyozoea.

8. Mfumo wake break uko vizuri hata ukiwa 100+ inawahi simama fasta.

Cha kuongezea hii njia ya Dar -Mbeya -Tunduma inabidi uwe makini sana hasa safari za usiku maana kuna ligi sio mchezo nakumbuka kipande cha Ruaha mpaka Makambako tulikua tunakimbizana na magari ya IT wale jamaa noma sana wanatembeza gari vibaya na hao ndio waliombusti jamaa kutembea sana maana kuna Chuma sijajua inaitwaje wanakaa abiria wawili tu ilitukata pale mbuyuni tukiwa 160 tulisumbuana nayo mpaka Iringa mjini tukaiachana pale kwenye beria lakini tulifika hadi 200 lakini ilikua mbele mita si zaidi ya 100 na hatukuvuka ikabidi jamaa akae nyuma tu ile ni sport car iko poa sana(naitafuta picha nikiona nitaijua ile gari).

Naanza safari yangu japo leo hatuko wawili tupo wanne mniombee.

Jioni Njema
 
Aise mkuu nimechelewa kuuona huu uzi siku unasafiri nilisubiri sanaaa IT sheli ya PUMA pale Msamvu ningechangia hata mafuta😁 na mshageuka mkuu?
 
Back
Top Bottom