New Nytemare
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 3,333
- 2,484
Hajakutana na mbabe Nissan skyline GT
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujawahi kuniangusha mkuuMzee baba kuna Toyota zinatembea huyo Vw Golf mchumba tu, uje ujaribu mziki wa Toyota Celica yenye 3s-gte.
Au Toyota yeyote yenye 1Jz-Gte iwe ni Toyota Supra,Mark 2,Cresta au Tourer V. Achana na hizo 1jz-ge au 1jz-fse zilizo kwenye Brevis.
Mjapani watu wanamchukulia poa kwa kuwa wanalinganisha gari yake ya kawaida na Mjerumani ambayo ni sport edition.Hujawahi kuniangusha mkuu
Mkuu hizi 109/110 sio mchezo, tulikua njian na cruiser hizi za tour kuelekea loksale masaini, huko barabara kwa wakati huo haikua rafiki kutokana na mvua kubwa kunyesha nachomanisha korongo zakutosha kupelekea na sisi kukwama na ilibidi safari kuharishwa, sasa alikuja masai na na 110 imejaa watu na mizigo alipita tuliponasa kama lami toka siku hio naheshimu 110.Hawataki kukubali kwamba cruiser zilikaa 109 ikapita
Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
Zinakaa vizuri sana tu.Sawa, Mkuu 1HZ mpaka inakwama labda iwe imekalia diff. Ila madereva wengi kwenye kutumia 4WD inakuwa changamoto na Land Cruiser ukiwa humo kwenye swamp usiibembeleze sana. Na inatabia ya kuhama au kuzunguka sasa dereva mwingine anataka anyooke kama yupo lami.
Na Cruiser kama sikosei series 76 zina diff rock button unakwama vipi na 1HZ.
Madereva kama wewe mnakuaga na ungese flani ambao haulipi, ndio wasababishaji wakubwa wa ajaliAchana na mjerumani kabisa, hawa jamaa magari yao ni next level. Sintosahau siku tuko safarini na Harrier matako ya nyani tuko spid mbaya mara naangalia kwenye kioo kuna MB G Class moja inaomba kupita nikambania.
Tumeenda nae ivo ivo anaibia apite mi namtishia bodi anatulia, tumefika sehem barabara ina vipara nikajichanganya nipunguze kulipisha lile shimo, mwamba kanipita vuup. Aisee yule jamaa sikuwahi kumuona tena njiani utasema alifika sehem akapaa
Sawa mkuu ila Rover hata akiendesha dereva ambaye sio mzoefu atapita kutokana na uwezo wake.Zinakaa vizuri sana tu.
Zinachomzidi rover ni kua sio trip moja pori trip ingine garage na speed basi.
Wengi hawaijui supra wao wanaangalia hizi za kawaida tu,hiyo chombo huwa inaondoka kwa speed mpaka inanyanyuka mbeleMjapani watu wanamchukulia poa kwa kuwa wanalinganisha gari yake ya kawaida na Mjerumani ambayo ni sport edition.
Miaka ya 1980-90 mjapani alizalisha gari sport zilizosumbua dunia kwa ubora wa injini na nguvu.Hiyo miaka ndio wakina Toyota Supra, Celica GT, Nissan Skyline Gt-r, Mitsubishi Lancer, Subaru zilitamba...
Nilikua nakuheshimu sana kumbe na ww UTOPOLO tu
Ha ha haMadereva kama wewe mnakuaga na ungese flani ambao haulipi, ndio wasababishaji wakubwa wa ajali
Wanzingua sana mkuuHa ha ha
mzee bongo Supra naipata wapi?Hao wajerumani wanatamani wawe na Supra au Nissan Skyline Gt-r.
Hizo gari zikipita popote duniani watu lazima watoke nje, ila Golf haina attention.
Mkuu Eminentia kwa nini VW waongope kuwa hizo Golf zina speedmeter za 280, 300 kama madai yako ni kweli je taasisi zinazodeal na issue za viwango especially calibration za speedometer zimelala usingizi mpaka wanunuzi waibiwe mchana kweupee? je mitsubishi lancer evo x yenye speedometer ya 300 nao wamedanganya? au kwa kuwa hawa ni wajapani basi wao huwa siyo waongo? yaani mjerumani anashindwa kutengeneza gari zenye kasi ya zaidi ya 180, mfano gari zenye uwezo wa 280, 300?Kwa akili ako inafika 240🤔🤔
Ndo yale yale unakuta toyo ya cc150 imewekwa speedo za 180km/h unaaza jisifu na kuisifu piki piki kwamba ina speed sana ila jamaa kaishia 100 tu😁😁 na kuizarau honda xl kisa speedo yake labda mwsho ni 160 au 140😁
Hilo ni swala lamarket na wamefanikiwa ndo mana umekuja kulitapa huku lina 240 ....😁 Speedo isikuchangenye mkuu tambua tu huwa kuna power inahitajika kulifikisha gari la uzito flan lenye umbo fulani kwnye speed fulani NO MATTER HOW A CAR I GEARED kama hiyo nguvu haipo basi speed flan haitafikiwa
Naendesha LEXUS RX300 ya 2002 ina 220kph na inafika vizuri kabisa. Mafinga to makambako kuna sehemu unaenda 220kph na dodoma to babati kuna sehemu unaendeshaMkuu Eminentia kwa nini VW waongope kuwa hizo Golf zina speedmeter za 280, 300 kama madai yako ni kweli je taasisi zinazodeal na issue za viwango especially calibration za speedometer zimelala usingizi mpaka wanunuzi waibiwe mchana kweupee? je mitsubishi lancer evo x yenye speedometer ya 300 nao wamedanganya? au kwa kuwa hawa ni wajapani basi wao huwa siyo waongo? yaani mjerumani anashindwa kutengeneza gari zenye kasi ya zaidi ya 180, mfano gari zenye uwezo wa 280, 300?
Subaru hiyo mafinga to makambako.....Naendesha LEXUS RX300 ya 2002 ina 220kph na inafika vizuri kabisa. Mafinga to makambako kuna sehemu unaenda 220kph na dodoma to babati kuna sehemu unaendesha
pamoja sana mkuu kuna corolla altis nazo zina 240 k/h na unakanyaga vizuri kabisa na kufika 240 kutegemea na ujasiri wa driver na hali ya road hivyo kama toyota wanazo sedan za 240 k/h au pengine zaidi na hiyo speed inafikika why kampuni mnyamaa VW adanganye golf kuwa na 280 km/hr 300km/hrNaendesha LEXUS RX300 ya 2002 ina 220kph na inafika vizuri kabisa. Mafinga to makambako kuna sehemu unaenda 220kph na dodoma to babati kuna sehemu unaendesha
Hizo watu tunaendesha na tunafika 240kph vizuri kabisa kutegemea na barabarapamoja sana mkuu kuna corolla altis nazo zina 240 k/h na unakanyaga vizuri kabisa na kufika 240 kutegemea na ujasiri wa driver na hali ya road hivyo kama toyota wanazo sedan za 240 k/h au pengine zaidi na hiyo speed inafikika why kampuni mnyamaa VW adanganye golf kuwa na 280 km/hr 300km/hr
Mzee, hio vitz new model matata sana. Yaris na vitz ndio hao hao, toyota wahuni tu 😀Yes. Huwezi linganisha Hot Hatch na gari za kizembe. Lazima utafute mshindani wake wanaoendana.
Toyota wametengeneza hot hatch mpya GR Yaris ya kupambana na kina VW..