Volkswagen Polo Gti huyu mnyama acha kabisa!

Ndio boss tena tungefika zaidi ya hapo tulisimama Doma kwa dk zaidi ya 40 na Makambako saa 1 tulifika Tunduma saa 12 kasoro badala ya saa 1 asubuhi.
Safi sana...zikusanye nawe uchukue kitu cha mkoloni wetu
 
Speed 140 nayo ya kuianzishia thread?
Bado kuna zingine 100 amezibakiza. Nadhani hicho ndicho kilichomsababisha akaanzisha uzi. Huyu mdudu kwa kweli ni hatari mimi nimeshamuona kwa macho yangu
 
Kumbuka speed za magari zimewekwa kulingana na ubora wa barabara.

Barabara zetu mwisho 80 ulizidi sana 100.. hi sio kwamba huwezi zidi hapo ula ukizidi hapo upo kwenye danger zone...[/QUOTE]
 
Hapana tulikuwa na gari za serikali engine 1HZ kutokea pale mnazi bay kunako marine parks tukaelekea mto Ruvuma sasa kabla hujafika mtoni kuna kitambo kirefu kidogo kuna bonge la swamp kama mashamba ya mpunga vile
 
Hawataki kukubali kwamba cruiser zilikaa 109 ikapita

Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
 
Hapana tulikuwa na gari za serikali engine 1HZ kutokea pale mnazi bay kunako marine parks tukaelekea mto Ruvuma sasa kabla hujafika mtoni kuna kitambo kirefu kidogo kuna bonge la swamp kama mashamba ya mpunga vile
Sawa, Mkuu 1HZ mpaka inakwama labda iwe imekalia diff. Ila madereva wengi kwenye kutumia 4WD inakuwa changamoto na Land Cruiser ukiwa humo kwenye swamp usiibembeleze sana. Na inatabia ya kuhama au kuzunguka sasa dereva mwingine anataka anyooke kama yupo lami.

Na Cruiser kama sikosei series 76 zina diff rock button unakwama vipi na 1HZ.
 
Mimi niliwawahi ondoka bukoba saa kumi na mbili na nusu asubuhi saa sita usiku niko dar nilitembea almost 1700kms na sikuwa na benz wala sports car nilikuwa na toyota allion. Na niliweka kituo kahama na dodoma gari ilikuwa kuna muda inasumbua ila ilikuwa ikichanganya imechanganya balaa kumbe ilikuwa imeharibika oxygen sensor sema ilisababisha ikawa inakula wese kama v8 yani nilitumia mafuta kama ya lak tano kasoro mpaka nafika dar wakati kwenda nilitumia mafta kama ya lak 2 hivi.
 
Ulianzia sehemu gani mkuu? Dar -bukoba ni 1400+
 
nilianzia bukoba mjini ila according to google map ni zaidi ya hapo hata mimi niliwahi fikiria ni 1500km.
Mkuu ukitokea hapo dar kwenda bukoba via mwanza-geita-chato-muleba ni 1600+,

Dar-kahama-bukoba haiwezi kuwa 1700 ni 1400+ .yaani hiyo ni gear after gear hakuna cha Google map
 
Mkuu ukitokea hapo dar kwenda bukoba via mwanza-geita-chato-muleba ni 1600+,

Dar-kahama-bukoba haiwezi kuwa 1700 ni 1400+ .yaani hiyo ni gear after gear hakuna cha Google map
Nilipita kahama nikapita chato nikapita muleba labda ndiyo sababu nilikuwa ninafuata googlemap wakati naenda same wakati narudi. Wakati naenda nilipofika tinde googlemap ikanipoteza nikajikuta niko tabora mjini ikabidi nilale tabora asubuhi nikarudi mpaka tinde ndiyo nikaunga tena
 
[emoji3][emoji3][emoji3] pole mkuu! Uwe unasoma vibao njiani vinaweza kuwa msaada!
 
Mzee baba kuna Toyota zinatembea huyo Vw Golf mchumba tu, uje ujaribu mziki wa Toyota Celica yenye 3s-gte.

Au Toyota yeyote yenye 1Jz-Gte iwe ni Toyota Supra,Mark 2,Cresta au Tourer V. Achana na hizo 1jz-ge au 1jz-fse zilizo kwenye Brevis.
Hapo unajidanganya mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…