Volkswagen Polo Gti huyu mnyama acha kabisa!

Hujawahi kuniangusha mkuu
Mjapani watu wanamchukulia poa kwa kuwa wanalinganisha gari yake ya kawaida na Mjerumani ambayo ni sport edition.

Miaka ya 1980-90 mjapani alizalisha gari sport zilizosumbua dunia kwa ubora wa injini na nguvu.Hiyo miaka ndio wakina Toyota Supra, Celica GT, Nissan Skyline Gt-r, Mitsubishi Lancer, Subaru zilitamba.

Japan watengenezaji wa magari ilifika kipindi wakawekeana makubaliano juu ya Kiasi cha Horsepower za kuishia kutengeneza injini isizidi 290Hp.Kutokana na kodi za mwaka kwa watumiaji wa ndani.Huko German wakina Porsche wao kwenye sport car walizalisha mpaka HP 300+.

Hizi gari sport za mjapani zimechukua tuzo za Car of the Year na Performance Car of the Year.

Supra na Skyline za miaka ya 90 ukiweka na Vw Polo ya sasa.Supra au Skyline lazima aweke adabu.

Wazungu wenyewe walikubali mziki wa Toyota Supra na Nissan Skyline Gt-r sasa wanaziita Legendary au Best ever Japanese Car to be build.
 
Hawataki kukubali kwamba cruiser zilikaa 109 ikapita

Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
Mkuu hizi 109/110 sio mchezo, tulikua njian na cruiser hizi za tour kuelekea loksale masaini, huko barabara kwa wakati huo haikua rafiki kutokana na mvua kubwa kunyesha nachomanisha korongo zakutosha kupelekea na sisi kukwama na ilibidi safari kuharishwa, sasa alikuja masai na na 110 imejaa watu na mizigo alipita tuliponasa kama lami toka siku hio naheshimu 110.
 
Zinakaa vizuri sana tu.

Zinachomzidi rover ni kua sio trip moja pori trip ingine garage na speed basi.
 
Madereva kama wewe mnakuaga na ungese flani ambao haulipi, ndio wasababishaji wakubwa wa ajali
 
Wengi hawaijui supra wao wanaangalia hizi za kawaida tu,hiyo chombo huwa inaondoka kwa speed mpaka inanyanyuka mbele
 
Mkuu Eminentia kwa nini VW waongope kuwa hizo Golf zina speedmeter za 280, 300 kama madai yako ni kweli je taasisi zinazodeal na issue za viwango especially calibration za speedometer zimelala usingizi mpaka wanunuzi waibiwe mchana kweupee? je mitsubishi lancer evo x yenye speedometer ya 300 nao wamedanganya? au kwa kuwa hawa ni wajapani basi wao huwa siyo waongo? yaani mjerumani anashindwa kutengeneza gari zenye kasi ya zaidi ya 180, mfano gari zenye uwezo wa 280, 300?
 
Naendesha LEXUS RX300 ya 2002 ina 220kph na inafika vizuri kabisa. Mafinga to makambako kuna sehemu unaenda 220kph na dodoma to babati kuna sehemu unaendesha
 
Naendesha LEXUS RX300 ya 2002 ina 220kph na inafika vizuri kabisa. Mafinga to makambako kuna sehemu unaenda 220kph na dodoma to babati kuna sehemu unaendesha
Subaru hiyo mafinga to makambako.....
Your browser is not able to display this video.
 
Naendesha LEXUS RX300 ya 2002 ina 220kph na inafika vizuri kabisa. Mafinga to makambako kuna sehemu unaenda 220kph na dodoma to babati kuna sehemu unaendesha
pamoja sana mkuu kuna corolla altis nazo zina 240 k/h na unakanyaga vizuri kabisa na kufika 240 kutegemea na ujasiri wa driver na hali ya road hivyo kama toyota wanazo sedan za 240 k/h au pengine zaidi na hiyo speed inafikika why kampuni mnyamaa VW adanganye golf kuwa na 280 km/hr 300km/hr
 
Hizo watu tunaendesha na tunafika 240kph vizuri kabisa kutegemea na barabara
 
Yes. Huwezi linganisha Hot Hatch na gari za kizembe. Lazima utafute mshindani wake wanaoendana.

Toyota wametengeneza hot hatch mpya GR Yaris ya kupambana na kina VW..
Mzee, hio vitz new model matata sana. Yaris na vitz ndio hao hao, toyota wahuni tu πŸ˜€

Watakaomiliki hio hapa bongo watajidai sana. Tezza na subaru hazifui dafu apo na zitapata aibu kubwa sana. 268HP kwenye baby walker si mchezo kabisa. Halafu cylinder tatu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…