Volkswagen Touareg gari ambayo imetokea kunikonga nyoyo sana of all the German makes

Mzee baba huoni au hujala mchicha siku nyingi?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!!!

Hicho kiuchafu cha TaTa hapo juu kimekaa kama demu anakupa mbuzi kagoma utafananisha na Touareg na huo usafiri wa hapo chini!
Kuna siku nimekutana na Volkswagen Tuareg V8 anaendesha mhindi aisee Ile mashine ni Balaaa...
Wazungu wako mbali Sana Kwenye technology ya Magari
 
Kwa hio inawezekana hata huko Ulaya(ambako Toyota wameshika nafasi ya 2 kwa mauzo) na huko US ambako Toyota ni 1 ya Top sellers nako Maisha yao inaonekana hayajatulia sio mkuu?
Nilikuwa sijui hicho kitu aisee....
Toyota ni top sellers in US? Kwa Magari gani ambayo ameuza Hadi kufikia hivyo,
Ila sishangai Kwa USA kuuza Magari mengi kwasabb hawa jamaa ni choka mbaya Tu Kwa asilimia kubwa
 
Mashine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…