Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 5,489
- 14,091
Kuna Corrola SUV..
Umeiona?
Wewe G wagon wajeda wabongo watembelee kiholelaholela vile 😂😂😂Ina maana yale sio mjerumani yale kumbe!?😟😟😟 mi huwa nahisi ni model za 1990 zile
We jamaa umeniacha hoi leo. Nikisoma comment zako na akili zako za leo ni vitu viwili tofauti kabisa. Unahamasisha Toyota kumbe una wish list tofauti.My love for Germany is in Touareg, Audi Q5 ama BMW x1
Toyota for reliability mzee baba ila hizi gari za ndoto sio Toyota! Tunazungumzia mazingira mazuri ya kiuchumi yanaweza ku accomodate uagizaji wa vipuri anytime 😅😅😅 ila kwa hali ya sasa nilio nayo sina budi kukomaa na kiwanda cha Toyopet Japan.We jamaa umeniacha hoi leo. Nikisoma comment zako na akili zako za leo ni vitu viwili tofauti kabisa. Unahamasisha Toyota kumbe una wish list tofauti.
Choka mbaya ni wamarekani?Nilikuwa sijui hicho kitu aisee....
Toyota ni top sellers in US? Kwa Magari gani ambayo ameuza Hadi kufikia hivyo,
Ila sishangai Kwa USA kuuza Magari mengi kwasabb hawa jamaa ni choka mbaya Tu Kwa asilimia kubwa
Niliona Khloe Kardashian ana harrier tako la nyani nikashangaa[emoji848][emoji848]Toyota zinazouzwa ulaya na Marekani hazifananj na hizi zetu.
Usije ukaona zote zimeandikwa toyota ukajua ziko sawa.
Kuna vitu wanatofautisha....Niliona Khloe Kardashian ana harrier tako la nyani nikashangaa[emoji848][emoji848]
Nikasema hadi huu ushudu Khloe anausukuma?
Hakika nimeshangaa...watu wanasukuma Lamborghini kama IST tu kule..Huyu mwamba kavuta bangi!
Vitu ganiKuna vitu wanatofautisha....
Halafu poyoyo mmoja wa kutoka mabibo mwisho anadiss GDP ya $63,000 kwa mwaka! Hio ni Equivalent kama na 150M za kibongo bongo kwa kila mwananchi mmoja wa Marekani😅😅😅!Hakika nimeshangaa...watu wanasukuma Lamborghini kama IST tu kule..
Sasa hivi wameintroduce Jet-car...ukiona mifoleni unachange gear kitu kinapaa mawinguni, ukichoka kuelea huko kwa Sir God, unachange gear unashuka tena hapa kuzimu, umeona hiyo ....
Wamarekani kwa magari ya kifahari hakuna anayemgusa duniani