Hapo kikubwa ni bei. VW ni bei rafiki then zinafuata Toyota, ila BMW,Benz bei zake ni juu kwa si ajabu kuwa na chache kwenye soko.Nimekubali Mkuu hasa Kwenye Toyota....
Kumbe Volkswagen ni trusted brand duniani kote
Mkuu Extrovert tusiache kusuka matren hasa yale ya betpawa. Ipo siku tu mkuuHii gari bana kila nikiiona inanipa hasira sana za kutafta hela wazee ni gari flani ambayo ni sort of a cross over SUV ila design yake imekaa makini sana kwa picha inaonekana ndogo ila in reality its a huge machine. Nimeiweka kwenye wishlist yani ikatokea siku nimepiga mshindo tu imma cop this whip!
View attachment 1841907View attachment 1841908View attachment 1841909
Ukiniambia ni gari gani naiwaza na kuiota kuja kuimiliki basi this is it. Its a dream hasa ile V6! Wenye uzoefu na hii gari karibuni mnipe mchanganuo wa wasifu wake zaidi sababu muda ukifika sitajiuliza mara 2!
Hii gari muungurumo wake tu ni shida af takeoff ya maana πππ achilia body yake ilivyo makini! Designer aliitendea hakiMnyama hatari Sana huyu.Nimepishana Nazo kadhaa .Dom moja mwanza nishaona kama tatu hivi.
Naikubali Sana VW Touareg.
View attachment 1843438View attachment 1843439View attachment 1843440
Kitu making Sana hii machine.Wacha tuzichange siku moja yes! tutakuwa behind the VW Touareg wheel tuna kata kmHii gari muungurumo wake tu ni shida af takeoff ya maana πππ achilia body yake ilivyo makini! Designer aliitendea haki
Ndugu Extrovert mademu wadangaji nao wamekuweka kwenye wishlist yao, wanasubiri tu upate hili gari wajilete kwako na kukuletea list ya matatizo ya ukoo wao usolve.Hii gari bana kila nikiiona inanipa hasira sana za kutafta hela wazee ni gari flani ambayo ni sort of a cross over SUV ila design yake imekaa makini sana kwa picha inaonekana ndogo ila in reality its a huge machine. Nimeiweka kwenye wishlist yani ikatokea siku nimepiga mshindo tu imma cop this whip!
View attachment 1841907View attachment 1841908View attachment 1841909
Ukiniambia ni gari gani naiwaza na kuiota kuja kuimiliki basi this is it. Its a dream hasa ile V6! Wenye uzoefu na hii gari karibuni mnipe mchanganuo wa wasifu wake zaidi sababu muda ukifika sitajiuliza mara 2!
Hahahah nimecheka sana mzee πππππππππππππππππππππππ! Wataniua aisee wale team kuhudumiwa!!!Ndugu Extrovert mademu wadangaji nao wamekuweka kwenye wishlist yao, wanasubiri tu upate hili gari wajilete kwako na kukuletea list ya matatizo ya ukoo wao usolve.
Aisee #TeamKuhudumiwa ni issue hapa mjini, lakini nawaona tu wanajadiliana juu yako na wanapiga ramli kuona lini utapata huo usaifiri. Nakupa pole ya usumbufu wao in advanceπ΄Hahahah nimecheka sana mzee πππππππππππππππππππππππ! Wataniua aisee wale team kuhudumiwa!!!
Nitawasaidia lift tu na sio kingine π wakinilipa fadhila pia sitazikataa!Aisee #TeamKuhudumiwa ni issue hapa mjini, lakini nawaona tu wanajadiliana juu yako na wanapig aramli kuona lini utapata huo usaifiri. Nakupa pole ya usumbufu wao in advanceπ΄
Ushapatikana tayari, wao wanachotaka ni hiyo lift tu, akiingia ndani ya gari anakupulizia unga toka kwa babu, Mshana Jr anajuwa hili. Utashanga anakuambia nimeshafika kwetu naomba nishushe unaanza kukataa mwenyewe na kumbembeleza mkatembee mjini au kwenda mkoa mwingine kutembea tu ili umfurahishe mdangaji asiye na mapenzi kwako. Mwisho wa siku unaacha mkeo na kuanza kutunza UKOO mzima wa mdangaji. Pole sana, Uncle Mshana Jr ebu njoo umpe somo huyu ndugu yetu asije potea, tunampenda sana.Nitawasaidia lift tu na sio kingine π wakinilipa fadhila pia sitazikataa!
Aisee hilo somo wakati linafundishwa sikua online,,,liludiwe liludiweUshapatikana tayari, wao wanachotaka ni hiyo lift tu, akiingia ndani ya gari anakupulizia unga toka kwa babu, Mshana Jr anajuwa hili. Utashanga anakuambia nimeshafika kwetu naomba nishushe unaanza kukataa mwenyewe na kumbembeleza mkatembee mjini au kwenda mkoa mwingine kutembea tu ili umfurahishe mdangaji asiye na mapenzi kwako. Mwisho wa siku unaacha mkeo na kuanza kutunza UKOO mzima wa mdangaji. Pole sana, Uncle Mshana Jr ebu njoo umpe somo huyu ndugu yetu asije potea, tunampenda sana.
Ah wapiiiHii fortuner si wanazengo wanasema ni hilux iliyochangamka?
Toyota forturer na Toyota Surf ni Hilux zilizofunikwa kwa nyuma/zilizochangamka.Ah wapiii
Hilux kibanda wazi na hii wapi na wapi
Kwanini unaikataa kiongozi?Hii gari hapana [emoji23][emoji23][emoji23]