Volkswagen Touareg gari ambayo imetokea kunikonga nyoyo sana of all the German makes

Nimekubali Mkuu hasa Kwenye Toyota....
Kumbe Volkswagen ni trusted brand duniani kote
Hapo kikubwa ni bei. VW ni bei rafiki then zinafuata Toyota, ila BMW,Benz bei zake ni juu kwa si ajabu kuwa na chache kwenye soko.
VW imeongoza 2019, 2020 duniani
 
Mnyama hatari Sana huyu.Nimepishana Nazo kadhaa .Dom moja mwanza nishaona kama tatu hivi.
Naikubali Sana VW Touareg.

Screenshot_20210706-173847.png
17.jpg
16.jpg
 
Hii gari bana kila nikiiona inanipa hasira sana za kutafta hela wazee ni gari flani ambayo ni sort of a cross over SUV ila design yake imekaa makini sana kwa picha inaonekana ndogo ila in reality its a huge machine. Nimeiweka kwenye wishlist yani ikatokea siku nimepiga mshindo tu imma cop this whip!

View attachment 1841907View attachment 1841908View attachment 1841909

Ukiniambia ni gari gani naiwaza na kuiota kuja kuimiliki basi this is it. Its a dream hasa ile V6! Wenye uzoefu na hii gari karibuni mnipe mchanganuo wa wasifu wake zaidi sababu muda ukifika sitajiuliza mara 2!
Mkuu Extrovert tusiache kusuka matren hasa yale ya betpawa. Ipo siku tu mkuu
 
Hii gari bana kila nikiiona inanipa hasira sana za kutafta hela wazee ni gari flani ambayo ni sort of a cross over SUV ila design yake imekaa makini sana kwa picha inaonekana ndogo ila in reality its a huge machine. Nimeiweka kwenye wishlist yani ikatokea siku nimepiga mshindo tu imma cop this whip!

View attachment 1841907View attachment 1841908View attachment 1841909

Ukiniambia ni gari gani naiwaza na kuiota kuja kuimiliki basi this is it. Its a dream hasa ile V6! Wenye uzoefu na hii gari karibuni mnipe mchanganuo wa wasifu wake zaidi sababu muda ukifika sitajiuliza mara 2!
Ndugu Extrovert mademu wadangaji nao wamekuweka kwenye wishlist yao, wanasubiri tu upate hili gari wajilete kwako na kukuletea list ya matatizo ya ukoo wao usolve.
 
Hahahah nimecheka sana mzee 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂! Wataniua aisee wale team kuhudumiwa!!!
 
Aisee #TeamKuhudumiwa ni issue hapa mjini, lakini nawaona tu wanajadiliana juu yako na wanapiga ramli kuona lini utapata huo usaifiri. Nakupa pole ya usumbufu wao in advance😴
 
Nitawasaidia lift tu na sio kingine 😂 wakinilipa fadhila pia sitazikataa!
Ushapatikana tayari, wao wanachotaka ni hiyo lift tu, akiingia ndani ya gari anakupulizia unga toka kwa babu, Mshana Jr anajuwa hili. Utashanga anakuambia nimeshafika kwetu naomba nishushe unaanza kukataa mwenyewe na kumbembeleza mkatembee mjini au kwenda mkoa mwingine kutembea tu ili umfurahishe mdangaji asiye na mapenzi kwako. Mwisho wa siku unaacha mkeo na kuanza kutunza UKOO mzima wa mdangaji. Pole sana, Uncle Mshana Jr ebu njoo umpe somo huyu ndugu yetu asije potea, tunampenda sana.
 
Aisee hilo somo wakati linafundishwa sikua online,,,liludiwe liludiwe
 
Back
Top Bottom