Hahahah kweli bana nimeona IST juzi ina ngao kama ndege! Nikashangaa af jamaa anaichochea balaa πππ anakatisha mataa ya makaburini anaitafuta Mwenge!Vijana wa ma subaru tunapenda sana hayo mambo kama tumerogwa flani vilee πππ
πππ vijana wanafanya vile kujipa faraja kwa mengi mkuu. Huwezi mkuta ana Toureg V6 anamwazo hayo.. automatic unakuta mtu ambae yupo smart kichwani na mwilini.. ila shida ni sie pangu pa kavu lazima mtaa ututambue..Hahahah kweli bana nimeona IST juzi ina ngao kama ndege! Nikashangaa af jamaa anaichochea balaa πππ anakatisha mataa ya makaburini anaitafuta Mwenge!
Hayo madude ya vijana mie niko tofauti kidogo ndio maana Touareg inanikosha huwezi kuta ina miplastic ya ajabu ajabu!
Dahπππ
Sasa hivi unamuweka kwenye kiti mbele, na ka harufu flani ya utuli amazing πππππ..Mtoto anainjoy balaa hehehe kumbe uzoefu uliupatia mbali sana mzee πππ
Huu wimbo, upo juu kabisa kwenye kisikilizio changu.. nikiwasha tu gari kama na hamu ya mziki basi naanza na huo ππDahπππ
Wafuasi wako wa mjapenga tutaambia nini watu π€¦ββοΈHio nafuu mzee sema tu nimekuja gundua hii gari imetengenezwa na mfumo special wanadai ni kama millitary car ndio maana bei zake ni mkasi! Latest model ime clock $157,500 mzee
Hahahah kuna dogo mmoja alikuja nayo pale Arusha Car wash juzi ya blue kama ile A4, dogo smart kichizi yani! Ukimcheki kabody kama pharell williams katulia na laptop yake kali na wireless headset zake hana habari na mtu! Sasa ingekuwa dereva wa Subaru dah kelele zake tusingekaaπππ vijana wanafanya vile kujipa faraja kwa mengi mkuu. Huwezi mkuta ana Toureg V6 anamwazo hayo.. automatic unakuta mtu ambae yupo smart kichwani na mwilini.. ila shida ni sie pangu pa kavu lazima mtaa ututambue..
Kaisha wakataaa mkuuu.. ππWafuasi wako wa mjapenga tutaambia nini watu π€¦ββοΈ
Naona unarusha mawe gizani ππππHahahah kuna dogo mmoja alikuja nayo pale Arusha Car wash juzi ya blue kama ile A4, dogo smart kichizi yani! Ukimcheki kabody kama pharell williams katulia na laptop yake kali na wireless headset zake hana habari na mtu! Sasa ingekuwa dereva wa Subaru dah kelele zake tusingekaa
ππ binafsi mambo yakikaa sawa nitanunua gari ya mzungu,mjapenga atakua kama back up tuKaisha wakataaa mkuuu.. ππ
Mzungu pia anaweza akawa backup mkuu.. binafsi namoango wa kupiga chini wajapan mazima.. backup anakuwa mzungu kwa mzunguππ binafsi mambo yakikaa sawa nitanunua gari ya mzungu,mjapenga atakua kama back up tu
Hahahah kuningβiniza funguo naonaga kama utoto! Gari ni kitu basic siku hizi sio lazma utafute identity kwa kuningβiniza funguo ku approve kuwa unalo!Naona unarusha mawe gizani ππππ
Na ka fungua vyetu huwa tuna weka kwenye viuno, piga ka pensi flani hivi kama mbele... hamtuambii kitu mtu mbad ππ...
ππππ Sio sana Hip Hop, kuna siku na siku.. nakuwa na mzuka nazo na zipo chache sana.. ila kwa sana Worhsip Songs kama zote, hata shetani anakaa mbaliHahahah kumbe unasikilizaga na Hip Hop mzee? Nikajua Joel Lwaga tu πππ
Mjapan hakikisha yupo Uwani kwako maana atakuvusha kipindi cha dhiki πππ kuna siku nilishawaambia Mjapan ni kama wife material na mzungu ni slay queen! Sasa kama unaelewa tofauti za hao watu wawili hutapata tabu!ππ binafsi mambo yakikaa sawa nitanunua gari ya mzungu,mjapenga atakua kama back up tu
Kuna gari basic mkuu, na kuna magari yasio basic ππππ.. G Wagon 2021 sio basics chief.. ila Staret ni basics need kabisa ππHahahah kuningβiniza funguo naonaga kama utoto! Gari ni kitu basic siku hizi sio lazma utafute identity kwa kuningβiniza funguo ku approve kuwa unalo!
Sio wimbo tu wimbo mtamu na vyote vilivyomo vitamuπHuu wimbo, upo juu kabisa kwenye kisikilizio changu.. nikiwasha tu gari kama na hamu ya mziki basi naanza na huo ππ