Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
- Thread starter
- #361
Hahahah kweli bana nimeona IST juzi ina ngao kama ndege! Nikashangaa af jamaa anaichochea balaa πππ anakatisha mataa ya makaburini anaitafuta Mwenge!Vijana wa ma subaru tunapenda sana hayo mambo kama tumerogwa flani vilee πππ
Hayo madude ya vijana mie niko tofauti kidogo ndio maana Touareg inanikosha huwezi kuta ina miplastic ya ajabu ajabu!