Volkswagen Touareg gari ambayo imetokea kunikonga nyoyo sana of all the German makes

Ewaaaaa mule mule...

Kwenye kunesa nesa Body la Nissan ndio mwenyewe,

Prado sijawahi kuendesha lkn wamiliki naona wanalalamika kuwa ukiwa kwenye mwendo mkali ni utafikiri unasukumwa na kitu kwa nyuma full kuweweseka, na ndio maana wanapiga ngwala sana! Sijui ni hizo suspensions
 
Ujue gari kwa wengine kama ni simu mkuu.. kitu kidogo sana kwenye wenye roho za ki rasi.. mapenzi kujengana hata kama mtaachana.. kama hela ipo una mpa tu ... πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Si ndo maana hayo maisha nayaona kwenye movie, wazungu kumpa gari mwanamke ni kitu cha kawaida hata wakiachana kesho.ila mbongo ikitokea akakupa gari usitegemee akupe kadiπŸ˜‚
 
Prado mchagaa ndio zilikua na shida ya ma ball joints,Prado za siku hizi umeziona zilivyo?
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ ukitoka kwa mjapan ukaingia kwa mzungu.. lazima upagawe mzungu yupo serious na kazi zake
 
Hahahahah unanifunga mota nisije nikawa chizi mzee πŸ˜… unampa demu funguo kisha anakusaliti baada ya mwezi! Smart911 ana uzoefu wa vibinti vya mjini akina MahondawπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ baada ya kugawa zawadi za maua ya pesa!
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.. wasariti ndio wazuri unapata sababu ya kuwaacha ukiwachoka
 
Ni kweli, kabisa. Pia wengine tunapenda ma mbio that why sedan inabaki kuwa namba moja.. SUV ni tamu sana
....ila binafsi sijawahi ona mbio za saloon car honestly

Kuna majinga daily yanashindana barabarani hasa hawa majesta [emoji146], sienta, brevis, huwaga naamua kuwaonesha mfano wakileta dharau barabarani ninawapita kama wamesimama halafu huko mbele kwenye mataa nashusha kioo kimakusudi[emoji16][emoji16][emoji23]

Basi mkaka anakuangalia jicho baya la kikatili na akijua ni mdada ndo kaniletea ligi hiyo hasira ake haahaa[emoji16][emoji16]

Huwa nacheka sana sana, hii mida huwa ni saa 11 alfajiri hamna mifoleni kabisa!

Huu mchezo naupenda sana sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…