Volkswagen Touareg gari ambayo imetokea kunikonga nyoyo sana of all the German makes

Volkswagen Touareg gari ambayo imetokea kunikonga nyoyo sana of all the German makes

Hahahah unapenda kunesa nesa hewani [emoji28][emoji28][emoji28] aisee hio feeling ndio hata mie ninayoipenda sema upate ambalo liko stable with anti roll bars kama za mjerumani! Maana mie napenda kukimbia hasa nikiwa route ndefu gari isepe [emoji28][emoji28][emoji28]!!! Touareg performance inakup hadi 280km/h
Ewaaaaa mule mule...

Kwenye kunesa nesa Body la Nissan ndio mwenyewe,

Prado sijawahi kuendesha lkn wamiliki naona wanalalamika kuwa ukiwa kwenye mwendo mkali ni utafikiri unasukumwa na kitu kwa nyuma full kuweweseka, na ndio maana wanapiga ngwala sana! Sijui ni hizo suspensions
 
Ujue gari kwa wengine kama ni simu mkuu.. kitu kidogo sana kwenye wenye roho za ki rasi.. mapenzi kujengana hata kama mtaachana.. kama hela ipo una mpa tu ... 😀😀😀
Si ndo maana hayo maisha nayaona kwenye movie, wazungu kumpa gari mwanamke ni kitu cha kawaida hata wakiachana kesho.ila mbongo ikitokea akakupa gari usitegemee akupe kadi😂
 
Ewaaaaa mule mule...

Kwenye kunesa nesa Body la Nissan ndio mwenyewe,

Prado sijawahi kuendesha lkn wamiliki naona wanalalamika kuwa ukiwa kwenye mwendo mkali ni utafikiri unasukumwa na kitu kwa nyuma full kuweweseka, na ndio maana wanapiga ngwala sana! Sijui ni hizo suspensions
Prado mchagaa ndio zilikua na shida ya ma ball joints,Prado za siku hizi umeziona zilivyo?
 
Mkuu acha kabisa..

Ujue nyie ( wewe na holy) mnalionaga tu hamjawahi kuingia ndani na kulitekenya (kuwasha), ukafungua music [emoji134][emoji134]


Gari lile ni ndege ya ardhini, kitu kimetulia barabarani, sterling laini soft kama ngozi ya Zari

Aah acha nitafute hela asee, yule mzungu anaenjoy asee na huu mchuma[emoji848]
😀😀😀 ukitoka kwa mjapan ukaingia kwa mzungu.. lazima upagawe mzungu yupo serious na kazi zake
 
Ni kweli, kabisa. Pia wengine tunapenda ma mbio that why sedan inabaki kuwa namba moja.. SUV ni tamu sana
....ila binafsi sijawahi ona mbio za saloon car honestly

Kuna majinga daily yanashindana barabarani hasa hawa majesta [emoji146], sienta, brevis, huwaga naamua kuwaonesha mfano wakileta dharau barabarani ninawapita kama wamesimama halafu huko mbele kwenye mataa nashusha kioo kimakusudi[emoji16][emoji16][emoji23]

Basi mkaka anakuangalia jicho baya la kikatili na akijua ni mdada ndo kaniletea ligi hiyo hasira ake haahaa[emoji16][emoji16]

Huwa nacheka sana sana, hii mida huwa ni saa 11 alfajiri hamna mifoleni kabisa!

Huu mchezo naupenda sana sana
 
Back
Top Bottom